Hii mimba kiboko anapenda kunusa soksi nateseka

wamkodowenye

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
263
500
hivi wanawake wakibeba mimba wanatufanyia makusudi au nini? Yaani hii mimba imekua kero maana kila siku inakuja na mpya mara anataka chipsy mayai, mara malta, mara sentiana, mara piza, nashangaa kwa nini asichague ugali dagaa? Kiukweli nimemchoka huyu mwanamke maana nateseka nikienda kazini unashangaa kaja juzi kanishangaza baada ya kusema mimba inatamani tuu arufu ya soksi zangu anuse najiuliza hivi wanawake mnafanya makusudi au mbona wafanyakazi wa ndani wakibeba mimba hawachagui vyakula au kudeka? Au mimba zinatofautiana? Ebu nipeni na nyie vituko vya mimba mlivyowahi kutana navyo......
 

Sirdirashy

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
2,392
2,000
Wengine maksudi tu wanawake bana asije akakwambia anatamani harufu ya ushuzi wako
 

kijani11

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
6,268
2,000
Wakati mdogo nilikuwa nikisikia kwamba mwanamke mjamzito akifanya kosa la jinai si rahisi kufungwa maana kwa namna moja ama nyingine kuna mambo wanafanya wakiwa na hali hiyo ila wanapokuwa hawana mimba hawawezi fanya.

Hivyo mvumilie tu ni miezi tisa tu.
 

famicho

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,897
2,000
Mkuu wahi mapema kuitoa hiyo mimba la sivyo unatuletea teja au kibaka huyo,akija mwizi mkubwa mbukwa kama chenge shukuru sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom