Hivi wanawake wanatongoza?

Hivi wanawake wanatongoza?

Mi nilishapigwa sound na wadada mara kibao. Mi mwenyewe enzi hizo nilikuwa nimechoka tu lakini mtoto wa kishua mmoja wakati tuko form five alikuwa kutwa kucha getho.

Mwingine chuo huyo ndo aliniita akanikalisha na kunieleza nia yake.

Kazini ndo usiseme duuuuu
unaonekana domo zege ... unalamba lamba lips
 
  • Thanks
Reactions: CTX
Mi wakinipiga sound huwa nauma uma kucha huku nachorachora chini kwa mguu...mwisho huwa cjui lakin najikuta niko kwa bed, halafu baada ya cku mbili tatu najifanya mi ndo mbabe kwake
 
Galadudu mi sijaelewa kitu kimoja.

Toka kupewa appoitment ya jumapili ukaja ukavusha story et ushakula mzigo na ukawa unashukuru.

?????? Au bastola ya jamaa ilihusika?

Sasa mkuu we ulitaka niwe nakwambia kila hatua inayoendelea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom