adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,616
Hii kweli kali,
Naomba tumsaidie huyu ndugu yetu aliekosa raha na amani ya kuishi duniani.
Kuna mdada alimtokea akakubali sasa kila siku zinavyoenda ni kupigiwa simu na msg na huyo dada yaani hampi nafasi ya kupumua!inatokea demu anafanyia hadi ziara za kushtukiza magetoni kwa jamaa. Jamaa imefikia hapokei simu yake wala hajibu msg anachotaka demu achoke tu maana yeye haitaji kuwa na mwanamke sasahivi!
Kila wkt demu akija jamaa hamfungulii mlango labda atakata tamaa lakini wapi demu analala hadi nje kusubiri jamaa huku akilia!jamaa anatamani hata kuhama lakini ndio kodi kashalipa ya mwaka.
Ana wakati mgumu afanyeje maana anaona maisha yake yanakuwa magumu sababu ya huyu manzi.
Kama kuna aliewahi kukutana na hii embu alete maujanja jinsi kuepuka makupe kama huyu manzi