Amaenizidi umri na utajiri

Fastaaa

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
449
500
Hellos,

Mwenzenu nimejikuta nimemtamani mdada anaonekana kanizidi umri na uwezo kidogo, huyu dada tunafanya naye kazi kampuni moja.

Kuna namna tunaangaliana ni wazi kabisa tunatakana. huyu dada hata nikikutana naye njia ya maliwato lazima anisalimia kwa nguvu, kwa kweli salam zake hazina idadi, nami zangu hazina idadi vile vile.

Mimi sina gari, yeye analo kanizidi kama miaka 2 experience.

Mimi binafsi nawiwa kumtawanya ila napata uzito kidogo hizo appointments zitakuweje, nahisi kama sitatoboa vile. Ukizingatia mwanamke mwenyewe ni wa moja ya yale makabila yanayopenda sifa sana.

Wenye uzoefu, ushauri wenu muhimu namna ya kwenda hapa
 

Mkwawe

JF-Expert Member
Jun 10, 2016
1,935
2,000
we "umemtamani" nae kakutamani hivyo hivyo
cha kuzingatia..
wewe sio wa kwanza na wala hutakuwa wa mwisho
sidhani hata Albert Einstein aliwaza kuwa na ubavu juu ya mahusiano na wanawake na mtindo huo
inabidi utumie zaidi ya akili kuendana na mwanamke wa mtindo huo
 

Fastaaa

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
449
500
we "umemtamani" nae kakutamani hivyo hivyo
cha kuzingatia..
wewe sio wa kwanza na wala hutakuwa wa mwisho
sidhani hata Albert Einstein aliwaza kuwa na ubavu juu ya mahusiano na wanawake na mtindo huo
inabidi utumie zaidi ya akili kuendana na mwanamke wa mtindo huo
yeah ni tamaa tu... sina future wala nn
 

Mulindi

JF-Expert Member
Mar 14, 2015
386
1,000
Kamua, timua! Usifanye kosa la kuwa na mwanamke aliyekuzidi kipato utanyanyasika. Mimi kuna mdada nilimsaidia sana wakati anasoma, nikamfundisha gari, kumnunulia gari na kumtafutia kazi. Alipoanza kupata kamshahara tu akaanza kubadilika. Nikamwambia isiwe tabu mama nenda tu manake hasira zangu za kikurya nitakumaliza bure. She remains my fcuk buddy, coming for the dong every now and then.Gist ya anecdote hii ni kuwa kamwe do not date or marry a woman who makes more than you do, utaumia. Wana maneno makali sana hawa.
 

SuperHb

JF-Expert Member
Mar 21, 2016
813
1,000
dah kukusalimia si kigezo cha kukutamani...

Mimi ishawai kunitokea...kwa kuona anvyorespond kwangu...nikaamua kumtamkia...aseee niliambulia 0...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom