Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

mapenzi
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Wadau nalileta kwenu hili, hivi ni kweli haya mambo mamiwili huwa hayaendi pamoja? Yani kipindi unapesa huwezi kupata mapenzi ya kweli na penzi la kweli unalipata pale unapokuwa huna pesa.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Toka nijiunge humu galz wahumu siyo wakuoa wala kuolewa wamekaa kimajungu na kingono ngono muda wote wanawaza kugegedwa tu na wote wapo jukwaa hili la mapenzi siwaoni hata majukwaa ya muhimu wao...
2 Reactions
101 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu bila shaka mu wazima wa afya na mlio wagonjwa poleni sana, mm nipo njiani naelekea dodoma hivyo naomba wana Jf wenzangu si vibaya tukionana na kubadilishana mawazo pia kuelezana...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
.
9 Reactions
130 Replies
11K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Siku hizi nimekuwa demoted, so niko branch Kariakoo nachoma mahindi tu, jamaniiii. Sasa huku kariakoo kwenda...
15 Reactions
131 Replies
35K Views
Mabadiliko katika mapenzi ni kitu cha kawaida sana, wakati mwingine mtu anahitaji muda wa peke yake, muda wa kutafakari mambo. Lakini kuna mambo mengine yakitokea unapaswa kuamka na kujua kua kuna...
11 Reactions
102 Replies
11K Views
Wasalaam wana MMU... Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Sio mbaya kwa marafiki wa karibu au ndugu na jamaa kufahamu kushirikiana nanyi katika mapenzi yenu kama vile wakati wa sherehe au...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Wadau nimemzimia sana huyu dada (video vixen) katika wimbo wa Somo wa Kassim Mganga na Nyota wa Njenje kama kuna mtu anaweza kueleza lolote juu yake kama jina anapoishi kabila gani n.k roho yangu...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Habarini,natumaini ni wazima. Ngoja niende kwenye pointi Ni hvi Inasemekana kama wazazi wako hawakuwahi kuwa na mtoto basi kuna uwezekano mkubwa sana na ww kukosa mtoto. Cc Heaven Sent Nifah
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Hii tabia inakera sana, suala la ndoa na harusi umelipanga mwenyewe, lakini kila muda simu kriii!! Kriiii! Kukumbushia mchango, kwani umelazimishwa na nani? Hii tabia Mimi binafsi inaniudhi sana...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
kujaribu kutambua msichana anajileta kwako, ni biashara yenye risk kubwa sana. ishara zinaweza kuwa zinaeleweka kabisa lakini ukizitafsiri ndivyosivyo, ni janga. lakini hata mwanamke akijaribu kwa...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Ndugu zangu nawaombeni msaada. maana anaecheza ngoma hawezi jua kama anajua. Mwenzenu aisee ninashida na hawa vimbaumbau. yaani imekua tabu nikiona demu kimbaumbau napagawa hatari. nn shida sio...
6 Reactions
115 Replies
15K Views
Haikuwa dhamira yangu kufanya hivyo, nilitaka kujua ana msimamo wa namna gani. Kanimwaga jamani bado nampenda sana lakini ndo hanielewi hadi marafiki zake nimemtumia lakini anawachomolea kwa...
6 Reactions
158 Replies
21K Views
Nimetoka Safar nimerud na tablet pamoja na sendo zikiwa ni zawadi zake na zipo kwenye mabox yake.Amepokea vzur tu Ile mie kuenda chooni tu kurudi ameshafungua kila kitu dah! Ameshapoteza maana ya...
0 Reactions
1 Replies
811 Views
Habari zenu wakuu, Jamani huyu mchepuko wangu ni zaidi ya mcharuko. Kiukweli sikutegemea kama ataweza kwenda kwa mke wangu na kumwambia ampe hela ya matumizi kajitambulisha kama mke mwenzie...
4 Reactions
39 Replies
7K Views
Mtoto anatoka rangi gani? Vipi baba akiwa mweupe mama mweusi mtoto atatokaje? Wajuvi tafadhali..
1 Reactions
73 Replies
21K Views
Salaam wakuu Mada tajwa yahusika Tangu Jana nipo Bar nimezunguka Bar nyingi Sana hapa mjini Mwanza yani nahama bar hii naingia hii hasa zile High class kama Villa,DV8, Gold crest,na nyingine...
7 Reactions
78 Replies
24K Views
Habari za jioni wanajamvi. Nimekuwa nikipata wakati mgumu na natumia udikteta tu Sijui we mwenzangu ikikutokea huwa unafanyaje Inatokea sana ninapokuwa ktk matembezi na mwanamke wauza vitu...
2 Reactions
48 Replies
4K Views
Back
Top Bottom