Kwa nini baadhi ya wanaume huanguka kiuchumi baada ya kuoa?

harder king

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
3,889
2,000
Wakuu bila shaka humu mpo poa..
Baada ya utafiti uliopita kuonyesha ulikua na ukweli mwingi sasa huu ni mwingine na ni zaidi ya makinikia

Ni kwamba baada ya utafiti wa mda nmegundua wanaume walioanza maisha na badae kuoa wakiwa wamefanikiwa kiasi wengi wao pale inapotokea gia ya maisha imefel basi lawama nyingi huwashushia wenza wao Japo utafiti wangu unaonyesha c kweli ila upande mwingine kuna ukweli kua wanawake huchangia hali hii..na hizi ni sehemu ya sample

1.Huyu rafiki yangu alioa akiwa hajui anasa ni nini, yan alijipakulia bila kuonja!..wakaanza maisha akiwa na uwezo tu na Bahati nzur shmej yangu nae alikua na kazi...gafla maisha ya mshikaji yakayumba,mda c mda shemu kalaza na mia..hapa cjajua nani alaumiwe ila kidogo Shem alichangia maana hakutoa ushirikiano Wa kuokoa jahazi.

2.Huyu nae ni mwanangu wa mda sana mjini..baada ya kuoa akiwa anajiweza ghafla akatoka kwenye mstari ila hyu alianguka na kuinuka baada ya kmpiga Shem chini nadhan aligundua chanzo cha tatizo ila mm cjui!

3.Hyu mwingine nae ndio cjui nisemeje ila alikua vizur sana tatizo cjui ni shem maana baada ya mshkaji kumshuku shem anabanduliwa na njemba flan akaamua kuuacha mji kabisa na kutokomea ajuako yy na kumuacha Shem akitanua mjini.

Je ni kwanini anguko la mwanaume kiuchumi wengi hudhani mwanamke kausika?

Na kwa nini baadh ya wanawake wanapoona maisha yanaenda kombo humuachia mwanaume msala Badala ya kutulia na kupambana na tatizo?
 
miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,894
2,000
bora nimepata sehemu ya kuwasema , nilisema nikianzisha thread mtaninyonyoa nywele moja moja ....

wanaume mnaojiita wenye uwezo kwanza huwa mnakuwa na mademu zenu wazuri tu kabla ya kufikia hapo mlipo ila mnaamuaga kuwapiga chini kwa kigezo hamuendani nao, siyo type yako ,.....

mnakuja kukutana na wawindanji kama miss chagga nipo muda wote kuwinda wenye nazo na hapo nitakuwa na adabu zote mi nikijua upo vyema , bata hapa na pale me kumbe hata sikupendi nimependa pesa... sasa ndugu yangu pesa zako zimeisha mi nipo kwako kwa ajili ya nini? wakati sina hata chembe ya hisia juu yako..

wanaume wengine wakishaoa wanasahahu kama gharama hupanda na mambo ya kuhudumia familia ni lazima, sasa hapo ajichangaje awe na side chick mchunaji na mke mchunaji kudadadeki lazima uyumbe tu usiposhtuka..

sasa ukiwa na pesa mwanaume kupata mwanamke mwenye penzi la kwel ni nadra sana we are after that pocket my dear, kuweni makini sana na msiwe mnadharau waliowavumilia kwenye shida..

nb: si wote
 
Tee Bag

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
7,209
2,000
bora nimepata sehemu ya kuwasema , nilisema nikianzisha thread mtaninyonyoa nywele moja moja ....

wanaume mnaojiita wenye uwezo kwanza huwa mnakuwa na mademu zenu wazuri tu kabla ya kufikia hapo mlipo ila mnaamuaga kuwapiga chini kwa kigezo hamuendani nao, siyo type yako ,.....

mnakuja kukutana na wawindanji kama miss chagga nipo muda wote kuwinda wenye nazo na hapo nitakuwa na adabu zote mi nikijua upo vyema , bata hapa na pale me kumbe hata sikupendi nimependa pesa... sasa ndugu yangu pesa zako zimeisha mi nipo kwako kwa ajili ya nini? wakati sina hata chembe ya hisia juu yako..

wanaume wengine wakishaoa wanasahahu kama gharama hupanda na mambo ya kuhudumia familia ni lazima, sasa hapo ajichangaje awe na side chick mchunaji na mke mchunaji kudadadeki lazima uyumbe tu usiposhtuka..

sasa ukiwa na pesa mwanaume kupata mwanamke mwenye penzi la kwel ni nadra sana we after that pocket my dear, kuweni makini sana na msiwemnadharau waliowavumilia kwenye shida..

nb: si wote
miss chagga ukiwacha kupenda pesa nitonye nijisogeze
 
SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
136,126
2,000
Wakuu bila shaka humu mpo poa..
Baada ya utafiti uliopita kuonyesha ulikua na ukweli mwingi sasa huu ni mwingine na ni zaidi ya makinikia

Ni kwamba baada ya utafiti wa mda nmegundua wanaume walioanza maisha na badae kuoa wakiwa wamefanikiwa kiasi wengi wao pale inapotokea gia ya maisha imefel basi lawama nyingi huwashushia wenza wao Japo utafiti wangu unaonyesha c kweli ila upande mwingine kuna ukweli kua wanawake huchangia hali hii..na hizi ni sehemu ya sample

1.Huyu rafiki yangu alioa akiwa hajui anasa ni nini, yan alijipakulia bila kuonja!..wakaanza maisha akiwa na uwezo tu na Bahati nzur shmej yangu nae alikua na kazi...gafla maisha ya mshikaji yakayumba,mda c mda shemu kalaza na mia..hapa cjajua nani alaumiwe ila kidogo Shem alichangia maana hakutoa ushirikiano Wa kuokoa jahazi.

2.Huyu nae ni mwanangu wa mda sana mjini..baada ya kuoa akiwa anajiweza ghafla akatoka kwenye mstari ila hyu alianguka na kuinuka baada ya kmpiga Shem chini nadhan aligundua chanzo cha tatizo ila mm cjui!

3.Hyu mwingine nae ndio cjui nisemeje ila alikua vizur sana tatizo cjui ni shem maana baada ya mshkaji kumshuku shem anabanduliwa na njemba flan akaamua kuuacha mji kabisa na kutokomea ajuako yy na kumuacha Shem akitanua mjini.

Je ni kwanini anguko la mwanaume kiuchumi wengi hudhani mwanamke kausika?

Na kwa nini baadh ya wanawake wanapoona maisha yanaenda kombo humuachia mwanaume msala Badala ya kutulia na kupambana na tatizo?
Tatizo wengi mnaoa wanawake wenye misambwanda. Oeni flat screen wachacharikaji na hawabweteki kama hiyo misambwanda yenu!
64834662cedfda44d5eb8f675d8598e5.jpg
 
BIGstallion

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
6,365
2,000
bora nimepata sehemu ya kuwasema , nilisema nikianzisha thread mtaninyonyoa nywele moja moja ....

wanaume mnaojiita wenye uwezo kwanza huwa mnakuwa na mademu zenu wazuri tu kabla ya kufikia hapo mlipo ila mnaamuaga kuwapiga chini kwa kigezo hamuendani nao, siyo type yako ,.....

mnakuja kukutana na wawindanji kama miss chagga nipo muda wote kuwinda wenye nazo na hapo nitakuwa na adabu zote mi nikijua upo vyema , bata hapa na pale me kumbe hata sikupendi nimependa pesa... sasa ndugu yangu pesa zako zimeisha mi nipo kwako kwa ajili ya nini? wakati sina hata chembe ya hisia juu yako..

wanaume wengine wakishaoa wanasahahu kama gharama hupanda na mambo ya kuhudumia familia ni lazima, sasa hapo ajichangaje awe na side chick mchunaji na mke mchunaji kudadadeki lazima uyumbe tu usiposhtuka..

sasa ukiwa na pesa mwanaume kupata mwanamke mwenye penzi la kwel ni nadra sana we are after that pocket my dear, kuweni makini sana na msiwemnadharau waliowavumilia kwenye shida..

nb: si wote

Wizi mtupuuu!!!
 
Sakayo

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
56,441
2,000
Wanasemaga mwanaume mwenye maendeleo nyuma yake kuna mwanamke... Na sio kila mwanamke anaweza kumfanya mwanaume awe na maendeleo...

Wakati wa kuoa wanaume wengi hukosea hapo kwenye kumpata wa kukufanya uzidi kupanda kiuchumi kwa sababu wengi wenu huchagua kwa kuangalia muonekano wa nje....

Waangalie wanaume walooa na wako vyema kiuchumi nyuma yao kuna wanawake wa aina ganii, ndo Utaelewa vyema
 
mindpower

JF-Expert Member
Oct 1, 2016
1,053
2,000
Hii mada inanihusu maana natafta mchumba,
Ngoja kwanza nigonge supu mbuzi then narudi!
 
harder king

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
3,889
2,000
Wakati mwingine unakuta mwanaume ameoa hana kitu lakin badae wanafanikiwa pamoja ila inatokea wakifarakana tu kila kitu kinasambaa na wote wanarudi walikotoka na wakati mwingine hali hua mbaya zaid..
 
South

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
3,494
2,000
bora nimepata sehemu ya kuwasema , nilisema nikianzisha thread mtaninyonyoa nywele moja moja ....

wanaume mnaojiita wenye uwezo kwanza huwa mnakuwa na mademu zenu wazuri tu kabla ya kufikia hapo mlipo ila mnaamuaga kuwapiga chini kwa kigezo hamuendani nao, siyo type yako ,.....

mnakuja kukutana na wawindanji kama miss chagga nipo muda wote kuwinda wenye nazo na hapo nitakuwa na adabu zote mi nikijua upo vyema , bata hapa na pale me kumbe hata sikupendi nimependa pesa... sasa ndugu yangu pesa zako zimeisha mi nipo kwako kwa ajili ya nini? wakati sina hata chembe ya hisia juu yako..

wanaume wengine wakishaoa wanasahahu kama gharama hupanda na mambo ya kuhudumia familia ni lazima, sasa hapo ajichangaje awe na side chick mchunaji na mke mchunaji kudadadeki lazima uyumbe tu usiposhtuka..

sasa ukiwa na pesa mwanaume kupata mwanamke mwenye penzi la kwel ni nadra sana we are after that pocket my dear, kuweni makini sana na msiwemnadharau waliowavumilia kwenye shida..

nb: si wote
Nilishaanza kukupenda
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom