Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.2K
Threads
7.5K
Posts
210.2K

JF Prefixes:

Ikiwa imepita kama mwezi mmoja na nusu toka jamaa yangu mmoja aoe amepitia katika kipindi kigumu sana katika maisha haya ya muda mfupi ya ndoa yake. Iko hivi ni ndugu yangu ambae niko nae mtaa...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
Habari yako msomaji wa uzi huu, Kuna tabia fulani kubwa sana kwetu sisi wanaume, mwanamke ukipishana nae barabarani lazimi mwanaume ageuke amwangalie mwanamke kwa nyuma. Tujadili kwa pamoja...
4 Reactions
177 Replies
40K Views
Kuna binti mmoja, alinizoea nikamgegeda. Akasema imetokea bahati mbaya, na eti anayeampendae. Nikakaa mbali nae. Siku kadhaa tukakutana, kajiingiza kingi nikamgegeda tena. Akaahidi, hiyo itakuwa...
1 Reactions
61 Replies
8K Views
Wadau, Mara ya mwisho nilikuja kuomba ushauri juu ya mdogo wangu alietaka kuolewa na mission town na mimi kukataa thank god baadae binti alielewa na tukalikataa lile jamaa,kumbe jf ikitumika...
7 Reactions
101 Replies
10K Views
Naandika hii post kwa hisia nzito kwa watoto wa kike especially ambao wameshapevuka na wamevuka umri wa miaka 18. Okay ni hivi destiny kwa kiswahili ni hatima au mwishoni. Akina dada nawapenda...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanaume naomba majibu kwenye hili, maana nimeona masela wengi wanang'ang'ana na bia bar kuliko wanavyong'ang'ana kuja na wake zao bar. Siyo lazima mwanamke anywe ila ni vizuri akawa karibu yako...
1 Reactions
92 Replies
10K Views
Siku moja nilikuta watu wakibishana kama mapenzi yana hali ya upofu ama hapana. Wale waliokuwa wakiamini mapenzi yana upofu wanasema wanaamini hivyo kwa sababu mtu anayependa hata kama anayempenda...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sasa ni zaidi ya miaka miwili toka niwe member wa hii forum. Kiujumla imenisaidia kupunguza stress maana vitu vya kuchekesha ni vingi na vya kusikitisha vichache. Nimebahatika kuwafahamu uso kwa...
14 Reactions
230 Replies
14K Views
Ni hivi nilikuwa na mpenzi kweli alinipa kila kitu.Sasa tumekuwa hatuelewani kila mara ikafika kipindi ikabidi tuachane na yeye ndio alishauri hvy na kweli akabadili mpaka line ya simu. Baada ya...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari zenu MMU. Kwanza naomba kuwashukuru kwa michango yenu ya ushauri kuhusu mkasa mzima wa wachumba zangu wawili. Kama mnakumbuka nilimchagua mmoja na akaomba muda wa kunipa jibu. Ilikuwa...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Wanajamvi, Sidhani kama kuna ambaye hajawahi kujikuta kwenye majibizano na mpenzi wake. Hata wakati mnaingia katika mlipuko wa majibizano hata mnashindwa kujua sababu ya kujibizana kwenu. Vitu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiambiwa na kijana wa kazi kuwa mke wangu huniwekea dawa kwenye chai.Nimefanya utafiti na kubaini kuna ukweli. Hivi nifanyeje? Nimuache nashindwa nifanyeje. Advice please stop jokes
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Mambo vip wanaume wenzangu? Ebu tupeane mawazo kidogo hapa kuhusu tabia{chemistry}za wadada. Kuna visa viwili kuwahusu wadada wawili ambao nliwatongoza kwa nyakati mbili tofauti,wa kwanza...
2 Reactions
105 Replies
12K Views
Habari wakuu! Katika pita pita yangu na harakati ya kutafuta mke niliweza kuonana na binti mmoja kweli nilimpenda na tulianza mawasiliano nae baadae alinitembelea ninapoishi. Kitu cha ajabu siku...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mara nyingi na kwa walio wengi (sio watu wote) mapenzi ya kwanza (1st love) huwa yanawaacha na maumivu makali sana ambapo wapo wanaodiriki kunywa sumu ili wafe pindi inapotokea...
0 Reactions
103 Replies
13K Views
Hivi inakuwaje mwanaume mzima unakuwa na pesa za kutosha, umefika miaka 30 hadi 40 hapo katikati, lakini bado unashangaa anakuwa na girl friend tu, au pengine hata halijaoa? Hivi huwa ni tatizo...
12 Reactions
198 Replies
22K Views
Katika ulimwengu huu ambapo UBINAFSI umetawala mioyoni mwa watu ambapo hata kwenye Mahusiano watu wanaangalia mwisho wa yote watajinufaisha vipi na Mahusiano hayo.Si wanawake si wanaume,wote...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama nilivyowahi kuwaambia humu kwamba mi sio muajiriwa, nimejiajiri mwnyw na kwa lugha ya siku hizi nitajiita mjasiriamali.......wiki zilizopita nilisafiri kwenda kwenye ule mkoa ambao watu wake...
1 Reactions
52 Replies
6K Views
Wandugu, Mimi hua nikitembea na msichana mara moja huwa sina hamu ya kumrudia tena yaani simtamani tena hivi huu ni ugonjwa au nini? Ushauri jamani
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Nina mpenzi wangu anayeshi na wazazi wake, tulidumu nae kwa muda wa miezi kumi(10) hadi sasa. Kwa sasa nipo mbali nae kwa muda wa miezi mitatu ila huwa tunawasiliana kupitia simu, pia tulipanga...
0 Reactions
111 Replies
12K Views
Back
Top Bottom