warembo wa Tanga wanaosifiwa kimapenzi ni wa aina gani?? nisaidieni jamani

Bernard bakari

JF-Expert Member
Mar 30, 2016
407
780
Toka nipo mdogo nasikia tu usikutane binti wa kitanga hutakumbuka kwenu, mara hutomwacha kamwe, yaan kila aina ya vihoja mpka nikawa najisemea kweli nitakuja kumpata binto wa kitanga mie, nikawa nawaza itakuwaje nikisahau kwetu, nikawa na mawazo tele.

Lakini Mola si Athumani yakatimia mwenzenu siku moja nikampata sema mzuri wa sura na mweupe sana alikuwa na shepu nzuri, weekend moja tukalala sote mmmmh ndipo nilipojua mipango si matumizi. Mambo niliyotegemea ni tofauti sana. Kiufupi hakuna jipya wala uhondo niliopata ukilinganisha na sifa wanazopewa.

Nikajua labda huyo tu, lakini katika maisha yangu sikuwahi ona, pata jipya lolote toka kwa mabinti hao wa kitanga mpk wamwagiwe sifa hizo. SASA NAULIZA KWA WENZANGU SIFA ZA MABINTI WA KITANGA MMEKUTANA NA UHALISIA HUO???
 
Wa kawaida tu,,
Hawana jipya (speaking from experience)
 
inategemea wanasifiwa wakilinganishwa na wa wapi. Kwa mfano uliwalinganisha na mabinti wa Tarime lazima wataonekana wapo juu
 
Nikama hawa mkuu....
Kuna huyu ananifanyiaga hivi...
tapatalk_1472490140154.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom