Anataka kunipa zawadi kesho

mshamu

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
418
133
Kuna binti nilimsaidia kupata kazi wiki iliyopita amenipigia simu Leo ameshukuru na ameniambia kesho anataka kunipa zawadi nzuri. Nimekubaliana naye ila changamoto ni mahali pa kupewa hiyo zawadi full hotel yani hotelini. Nimebaki nashangaa kwa kuwa sikuwahi kuweka hisia zozote mbele yake. Mrejesho kesho SAA 11 jioni.
 
kanywe mchuzi wa pweza utupie na vumbi la kongo
 
Take care bro zawadi za kirahic km hizo znakuaga na umeme ndan yake angalia ucje ukapigwa shot
 
. Nimebaki nashangaa kwa kuwa sikuwahi kuweka hisia zozote mbele yake. Mrejesho kesho SAA 11 jioni.
Ungemjibu tu with a simple "Asante Kushukuru", ila sasa kwa maelezo yako naona umeshajiandaa kupokea zawadi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom