Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana jamii wote, Wakristo na waislamu. Naamini mpo salama. Kama kawaida wikiendi za mwisho ( jumapili ) huwa tunakutana hapa katika jukwaa hili kwa kupanua ubongo zaidi. Kichwa cha habari...
2 Reactions
8 Replies
7K Views
Katika maisha yetu ya kila siku tunakutana na watu wengi, Watu hawa ndio mzizi wa hii dunia, Kutokuelewana / Kupuuzwa / kuchukiwa na watu ni kitu ambacho hakitakuletea faida maishani mwako...
6 Reactions
21 Replies
12K Views
Habari wanajukwaa! Katika jukwaa hili mimi si mwenyeji sana licha ya kwamba huwa nakuja kucheki na kujifunza mambo mazuri mara chache. Katika hali ya kawaida tu , wanaume ndio tunaojibebesha...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello Leo ni siku ya Kina Baba Dunian tuwashukuru sana Baba zetu kwa kutelea mpaka Leo na pia sisi tuwe Baba wazur kwa Familia zetu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
SAVE OUR HUSBANDS! Why do husbands in Africa die most times before wives? A husband in Africa in most cases is under intense tension because he is responsible for: Children school fees House...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Mwanamke huwa haendi mbali, mara nyingi kama akichepuka basi huyo msela unamjua, na siajabu umeshawahi kumkaribisha nyumbani kwenu hata kinywaji ukamkaribisha, ni mara chache Mwanamke anatoka na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Embu tuelezane hapa wakuu, nini kinakufanya ukapiga nyeto? Mmi mwenzenu nikiangalia porn lazima nipige nyeto hata kama nimegonga manzi jana. Kuna wakati natamani hata kutotumia smartphone...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa ufupi mimi ni mgeni humu,naomba mnikaribishe,natanguliza shukrani zangu kwenu nyote;
0 Reactions
2 Replies
531 Views
Kitabu cha Yoshua bin Sira 9 Wanawake 1. Usimwonee wivu mke umpendaye; utakuwa umemfundisha namna ya kukudhuru. 2. Usimwachie mwanamke ukuu wako,la sivyo atakutawala kabisa. 3. Usifuatane na...
2 Reactions
16 Replies
15K Views
WANAUME. [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382] ( _Mnipende TU Katika Hili) Usishangae kumuona binti amechukua Maamuzi MAGUMU ya kuolewa na mwanaume ambaye karibu ni mara 2 ya umri...
0 Reactions
8 Replies
947 Views
Bofya Link Hii chini kupata Kusikiliza simulizi Hii " MCHEPUKO WANGU HOUSE GIRL". https://soundcloud.com/mvumbagum/mchepuko-wangu-housegirl SIMULIZI NYINGINE FUPI YA KUSISIMUA PENZI LA DHATI...
1 Reactions
5 Replies
370K Views
wanaume wengi wanaonekana wachovu kwenye suala zima la 6 kwa 6, wanaume hawa ni wale wanaowahi kufika kileleni mapema kabla ya wapenzi wao hawajafika.. Leo naomba nitoe njia za asili kabisa za...
3 Reactions
26 Replies
8K Views
Naomben ushaur kwenye hili... Mi nimama wa mtoto / single mama nina 30yrs Naomben ushauri kuna baba ana 38yrs anataka kunioa anawatoto wakiume 2 mmoja na 11yrs mwingine 8yrs... Kilichofanya...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Ushaur wangu kwa nyie wadada mnaotafuta wapenz humu Acheni kutembea kwenye makundi mda wotee,marafiki sio vibaya bt uwe na ka mda wa kuwa peke yako kwenye mizunguko yako mnatutesa sana...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Maisha ni safari ndefu sana kwa wale ambao tumepitia mambo mengi katika maisha......... leo hii hebu kila mmoja atoe ushuhuda katika maisha yake kipindi cha nyuma hivi uliwahi kuchukua nyumbani...
3 Reactions
141 Replies
13K Views
Heshima kwenu wakuu, Naandika kwa masikitiko. Hivi hawa wahudumu wa nyumba za wageni kwanini wanijafanya wanajua umri wa watu? Wana kipimio hadi wampangie mtu. Mimi napenda wanawake wa aina...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu habari za kutwa kunako mahangaikoni, natumai tupo swalama bin salmin. .Bila kuchelewa naomba niulize hili swali kama biologists anisaidie or whoever mwenye ufahaham .Hivi ni kweli...
1 Reactions
48 Replies
10K Views
Unakuta kijana anakuja jukwaani anaelezea kuwa amemtongoza binti fulani kisha bae amemkubalia sasa anauliza afanye nini next. (huu ni udhalilishaji dhidi yetu wanaume) Mtu anakuja humu anaomba...
9 Reactions
35 Replies
3K Views
Wandungu pole na majukumu ya maisha, Wadau ninaswali napenda nipokee majibu kutoka kwenu haswa kwa walio na uzoefu wa hili swala, mwanamke mjamzito anamuda wake wa kufanya mapenzi na kunamuda...
0 Reactions
26 Replies
26K Views
Back
Top Bottom