Nimemkuta na nguo ya ndani ya kiume ameivaa baada ya kufanya ziara ya ghafla kwake

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
922
1,466
Ni mpole,ananidhamu,unyenyekevu na hofu sana ya kiimani lakini leo hii sifa hizo ni sawa na chui aliyevaa ngozi ya kondoo.
Sina mazoea ya kushare nguo za ndani,lakini kwa hili nililoliona kwake limeniumiza sana.
Walau ingekuwa boxer mpya ningechukulia ok tu,lakin ni boxer inayoenekana kuchakaa na imepanuka na hi inaonyesha pasipo kuacha shaka kuwa inavaliwa na moja ya mwanamme mzito mzito kidogo.
Ndugu zangu sina amani licha ya kumnasa vibao viwili vitatu hajanieleza mmiliki wa hiyo boxer,naombeni ushauri nimpe adhabu gani nyingine
 
Daah HV sasa yuko anatunga uongo alitakiwa akupe jibu pale pale........ukiona manyoa.......
 
MWACHE BORA KUWA NA PENGO KULIKO JINO BOVU
bd975fdc64d250b758ffc324d129df68.jpg
 
nguo zake za ndani zote unazijua???

utajuaje kama hiyo boxer alikua nayo kabla hata ya nyie kuwa wapenzi??

halafu umejuaje kama inavaliwa na mtu mzito mzito? au kisa imepanuka
 
Tunakoelekea wabongo tunajifanyia remix wenyewe, unataka tusemaje mwambie basi awe anatembea na wanaume wa size yako ili zikibaki uwe unatinga
 
Back
Top Bottom