Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Unapohusiana na mtu kimapenzi unafanya naye agano la damu. Agano hilo maana yake ni kwamba wewe unakubaliana na kufungamana na sifa na tabia pamoja na vifungo vingine vyote kama vile laana...
21 Reactions
159 Replies
37K Views
Wakuu Sina mengi Leo naomba wale wenye wisdom wanieleze hapa namna gani naweza kutenga mda wa kutafuta pesa na kumpa muda mke wangu.. Jana nikiwa kwenye harakati zangu mke wangu alinitext na...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu kwema! Niliwahi kuleta uzi awali nikielezea kuwa kama una mke ambaye ni mtumishi katika ofisi tofauti na yako hapo hesabu maumivu.Ingawa si wanawake wote wako hivyo ila wengi wako hivyo...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Habar za muda huu wana JF. I hope mpo good...kwa wale wenye majanga poleni..Mungu atawasaidia ni sehemu ya maisha. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa nijuavyo Mimi, KIPAJI : ni sehemu ya...
6 Reactions
32 Replies
5K Views
Mnapenda wanaume wenye pesa, wawe wasafi, wamiliki magari mazuri. Hiyo hesabu ni kama pyramid walio na vitu hivyo ni wachache sana nao kuna waliowasaidia kufikia hapo hawawezi kuwasahau...
101 Reactions
184 Replies
17K Views
Wanawake mnalalamika sana kuwa sisi wanaume hatujatulia kumbe hamjui nini cha kutufanyia sisi, I swear kma mtafanya haya yote chini hakuna mwanaume atakae kuacha tutachepuka tu kwa bht mbaya ila...
7 Reactions
85 Replies
6K Views
wasalaam G.thinker Tangu nijiunge J.F sijawahi ona uzi wa mahusiano uliokosa wachangiaji au swala lililokosa ufumbuzi kuhusu mahusiano na mengineyo haaa!! nakuja kushtuka saivi kumbe mapenzi...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Jana baada ya kupata msala wa kutaka kufumaniwa na kucholopoka/Kusepa katikati ya Mdomo wa mamba sikuwa sawa physically, Wakati nipo gheto nawaza nini kingetokea endapo ningefumaniwa mara pap...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hapa ni kwa wanawake wanene na wenye chura za kutukuka. Yupi anakuvutia kati ya hao kiasi kwamba ukimuangalia lazima akili ikuruke kidogo kwa jinsi alivyoumbika kwa chura na unene uliotukuka.
1 Reactions
116 Replies
24K Views
Mi nafikiri haya maswala ya mahusiano na mapenz hayana mbwembwe, hakuna the best proven way ya kupata mtu sahihi.. it just happens kwa njia yoyote coz Mungu ana njia nyingi ya kuleta watu maishani...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Asante sana muhudumu wa gest uliyekuja kunitonya chap na kunipitisha mlango wa ziada la sivyo leo Zero ningekuwa General hospital dodoma nawekewa plasta na drip, Wakuu nimenusulika kufumaniwa...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Salamu kwenu wana MMU. Labda uwezo wangu wa kufikiri waweza kuwa mdogo. Embu nisaidieni, nimejaribu kufikiri kwa kina nimeona kama hasara nizipatazo ni nyingi kuliko faida linapokuja swala zima...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Aisee! Huu wimbo unanigusa zaidi ya 90%, hapo kwenye kipande cha divorce tu ndo bado, ila ukweli ni kwamba nilipomwambia tu mama'ngu kuwa nimepata mchumba nataka kumuoa aliniuliza hili swali...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Nimekuwa kwenye harakati za kutaka kuoa ila kila nikiangalia wanawake ninaodate nao wengi wamezidi umri kuanzia 2 yrs; hili suala linanichanganya sana inakuaje naoa mwanamke aliyenizidi umri?? Je...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana Jamii.? Husika na kichwa cha habari hapo juu,watu wamekuwa wakijiingiza kwenye mahusiano kwa kuambiwa kuwa amependwa au yeye binafsi kupenda sasa Je,kwa kupenda ama kupendwa huko...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuna huyu binti kacheza wimbo wa "washa" na Barnaba. Kwa kweli kila nikiangalia video ile namzimikia vilivyo. Zile movement anapocheza ni balaa, zinanimaliza kbs. Naweza kupata jina lake?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
halo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Dada mmoja aliniuliza, hivi kuna mwanaume kweli ambaye hachepuki! Nilimuuliza kwanini unasema hivyo akaniambia kuwa mume wake amekua msiri sana, simu yake kaweka Passwed anashindwa kujua kuwa...
23 Reactions
22 Replies
4K Views
Maumbile yasikutishe.... Mapenzi ni hisia sio mwonekano... She can be a very good wife material n after all ni wewe tu utakayemuona alivyo ndani.... Jr[emoji769]
2 Reactions
57 Replies
4K Views
Mwaka 2010/2011 nilikutana na Kuachana na Jasmin katika mazingira magumu Sana. Huyu alikuwa na Kaka yake aitwae Ali aliyekuwa akiuza Nywele za Sangita kwenye maduka Tabata na Buguruni. Alikuwa na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom