Nimenusulika kufumaniwa leo

Nimenusulika kufumaniwa leo

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,202
Asante sana muhudumu wa gest uliyekuja kunitonya chap na kunipitisha mlango wa ziada la sivyo leo Zero ningekuwa General hospital dodoma nawekewa plasta na drip,

Wakuu nimenusulika kufumaniwa leo na mke wa mtu hakika akili haijakaa sawa bado nikitulia na kushusha hii pressure nitakuja na mkasa wote,

Ps,
Ata ivyo jamaa alichelewa sana wakati anakuja na watu tayari mke wake nimeshamla vya kutosha nilivyotonywa tu zero huyo sikukumbuka ata kuvaa Raba ni mimi na ndala za gest tu

Note:
Kifumaniwa usikie tu kwa mtu.


CC Zero IQ
 
Zero IQ huu mwaka hauishi itapata akili tuu..Si ajabu ukaamza kujiita Scofield.

You may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Hahahahahahahahaaa
Nnavopenda story maelezo .... Sio ubuyu au umbea.....

Nasubiria part two ya kunusurika.

Hongera kuruka kiunzi.

Wenyewe wanasemaga life is game, play it well. Wachezaji wa games wanaelewa kuna stage unakutana na nusura ufeli au ushindwe ila ukiwa makini unavuka Hiyo stage na kuendelea na game.

K' Matata.
 
Ongeza juhudi mpaka ufumaniwe, kwa nini kila siku uwe manusura?
 
Hahahahahahahahaaa
Nnavopenda story maelezo .... Sio ubuyu au umbea.....

Nasubiria part two ya kunusurika.

Hongera kuruka kiunzi.

Wenyewe wanasemaga life is game, play it well. Wachezaji wa games wanaelewa kuna stage unakutana na nusura ufeli au ushindwe ila ukiwa makini unavuka Hiyo stage na kuendelea na game.

K' Matata.
Asante sana mkuu hakika mpaka sasa moyo uko kunako ICU unadunda 150purs per minutes.

CC Zero IQ
 
Asante sana muhudumu wa gest uliyekuja kunitonya chap na kunipitisha mlango wa ziada la sivyo leo Zero ningekuwa General hospital dodoma nawekewa plasta na drip,

Wakuu nimenusulika kufumaniwa leo na mke wa mtu hakika akili haijakaa sawa bado nikitulia na kushusha hii pressure nitakuja na mkasa wote,

Ps,
Ata ivyo jamaa alichelewa sana wakati anakuja na watu tayari mke wake nimeshamla vya kutosha nilivyotonywa tu zero huyo sikukumbuka ata kuvaa Raba ni mimi na ndala za gest tu

Note:
Kifumaniwa usikie tu kwa mtu.


CC Zero IQ
Zero IQ.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom