Mnakosea mahesabu wadada wa mjini

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,346
Mnapenda wanaume wenye pesa, wawe wasafi, wamiliki magari mazuri. Hiyo hesabu ni kama pyramid walio na vitu hivyo ni wachache sana nao kuna waliowasaidia kufikia hapo hawawezi kuwasahau. Inawezekana ni wazazi, ndugu, au wapenzi na wake zao.

Unampenda bank teller anaepata
750,000. Anakatwa student loan, anakatwa mkopo wa vitz, analipa kodi ya chumba na sebule, hajakula wala hajaweka gari mafuta. Unategemea akupe hela ya saloon, akununulie vocha ya simu na kumbom vi 20,000. Unamuongezea pressure, akikukimbia usitafute mchawi.

Wakati kuna mkaka anakaanga chips na mishkaki, anaingiza laki mbili kwa siku na ana uwezo wa kukupa hayo maisha unayotaka. Humtaki kisa status mjini utawaambia nini mashost eti babe mkaanga chips!

Ndiyo hapo mnapokosea hesabu zenu.
 
Naogopa maisha ya watoto wetu! Wazazi tunakosea mahali fulani kuwaambia ukweli kuwa ujenge maisha yako ,siyo ku bank on men! Ni kulikazia kila asibuhi unapoamka kitandani na kuwa na conference nao!
Na kuwafundisha mabinti kuwa si lazima umapate mume aliyekwisha fanikiwa. Maisha kuna yalipoanzia cha muhimu umpate mtu anae kupenda na kukuheshimu. Mnaweza kuanza na moja na mkafika juu.
 
Mnapenda wanaume wenye pesa, wawe wasafi, wamiliki magari mazuri. Hiyo hesabu ni kama pyramid walio na vitu hivyo ni wachache sana nao kuna waliowasaidia kufikia hapo hawawezi kuwasahau. Inawezekana ni wazazi, ndugu, au wapenzi na wake zao. Unampenda bank teller anaepata 750,000. Anakatwa student loan, anakatwa mkopo wa vitz, analipa kodi ya chumba na sebule, hajakula wala hajaweka gari mafuta. Unategemea akupe hela ya saloon, akununulie vocha ya simu na kumbom vi 20,000. Unamuongezea pressure, akikukimbia usitafute mchawi. Wakati kuna mkaka anakaanga chips na mishkaki, anaingiza laki mbili kwa siku na ana uwezo wa kukupa hayo maisha unayotaka. Humtaki kisa status mjini utawaambia nini mashost eti babe mkaanga chips! Ndiyo hapo mnapokosea hesabu zenu.
Duh, ukweli unauma, ila kifupi mwanamke haridhiki dada,hata umpe nini, ndiyo dunia yetu ya sasa, na ni ukweli usiopingika, pole kwa ma-bachelors ..
 
Na juwafundisha mabinti kuwa si lazima umapate mume aliyekwisha fanikiwa. Maisha kuna yalipoanzia cha muhimu umpate mtu anae kupenda na kukuheshimu. Mnaweza kuanza na moja na mkafika juu.
sana! Kinachowaharibu watoto wetu ni hicho! Wanataka vitu vya anasa, magari etc!
 
Mnapenda wanaume wenye pesa, wawe wasafi, wamiliki magari mazuri. Hiyo hesabu ni kama pyramid walio na vitu hivyo ni wachache sana nao kuna waliowasaidia kufikia hapo hawawezi kuwasahau. Inawezekana ni wazazi, ndugu, au wapenzi na wake zao.

Unampenda bank teller anaepata
750,000. Anakatwa student loan, anakatwa mkopo wa vitz, analipa kodi ya chumba na sebule, hajakula wala hajaweka gari mafuta. Unategemea akupe hela ya saloon, akununulie vocha ya simu na kumbom vi 20,000. Unamuongezea pressure, akikukimbia usitafute mchawi.

Wakati kuna mkaka anakaanga chips na mishkaki, anaingiza laki mbili kwa siku na ana uwezo wa kukupa hayo maisha unayotaka. Humtaki kisa status mjini utawaambia nini mashost eti babe mkaanga chips!

Ndiyo hapo mnapokosea hesabu zenu.
Halooooo! hapo mwisho nipaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhalisia mimi nshawahi kuwa afisa mkopo mshahara wangu ulikuwa laki nane ila makato yote nabaki na kama 470,000 ndo niliyokuwa napokea kwa mwezi ,lakini benki kuna rushwa sana kwa mwezi nilikuwa natoa mikopo 10 hadi 20 ,tufanye 12 mara kwa chini sana 200,000=2,200,000/= ,hapo sija weka tips za wateja ,mfano wewe unataka mkopo umeweka dhamana nyumba yako iko chamanzi hivi kunifata ofisa kaliakoo mpaka chamanzi nikazunguke na kwa wenyekiti wa mtaa au halmashauri na wewe umeomba mil 40 halafu mimi ndo unajua naandika ripoti nzuri au mbaya unadhani utaniacha bure sasa afisa mkopo karibu kila siku anakagua dhamana kuna siku hata wateja watatu
 
Mnapenda wanaume wenye pesa, wawe wasafi, wamiliki magari mazuri
Unategemea akupe hela ya saloon, akununulie vocha ya simu na kumbom vi 20,000
Wakati kuna mkaka anakaanga chips na mishkaki, anaingiza laki mbili kwa siku na ana uwezo wa kukupa hayo maisha unayotaka
Kuna wakati mwingine unafanya vizuri sana kuwashambulia ma shosti wako baada ya kuwabaini vijitabia, mengine ni ya muda tu hata mtu akipewa hayo badae maisha niyale yale tu. sasa muulize kabla ya kukutana na huyo mwanaume alikuwa anaishije mfano. wanafanya kama kupalamia,hii tabia waiache kabisa, matatizo yako unataka yawe ya mwanaume ambaye sio hata mume wala mchumba, sasa kama mtu anajiuza si awe muwazi ili kieleweke. Sky Eclat unawaingiza wakaanga chips na wachoma mishkaki matatizoni leo hii wataanza kufuatwa maana tayari wana taarifa kutoka kwako wewe mtafiti kuwa wanapesa si ajabu ukasikia mitaji inayumba.
 
Back
Top Bottom