sasa nikubali kuachika/kutemeka,la!! kumbe nilikua mwalimu wa mapenzi

heartbeats

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
5,746
8,680
wasalaam G.thinker
Tangu nijiunge J.F sijawahi ona uzi wa mahusiano uliokosa wachangiaji au swala lililokosa ufumbuzi kuhusu mahusiano na mengineyo

haaa!! nakuja kushtuka saivi kumbe mapenzi sikuanzia kwake, ila kwanini nimempenda kiasi ichii mwanamke huyu pasi na shaka yeye ndo alianzia mapenzi kwangu, namjua tangu umri wa kuvunja ungo wake

Anakaa mtaa wa pili Kipindi hicho alikua mdogo kiumbo sikumbuki nilivutika nae nini, ila nikajikuta nishafungua moyo wangu kwake sikuhitaji chochote kwake kalikua kananipenda tu nae nakapenda taratibu nikaachana na wale waliomtamgulia.,

Siku zikaja zikapita upendo ukanawiri haswa nikapata wazo hei huyu ndo nitakae muoa sijamgusa mtoto wa watu kwa maana nilikua na lengo nae dhahiri

Bana wee namba zinasogea mtoto akakua mwili na akili bado mnako nipo nae, nikaja kugundua mtoto ni mzuri shape kweli amebarikiwa aah nikaona kawaida maana si mgeni wa izo vitu,nikamsifu sikumyima sifa zake mtoto wa kike

masika kiangazi vikapita furaha mwanzo mwisho yeye ni jirani yangu ila tunaweza tusionane mwezi miezi 3 n.k ila mawasiliano 18hours, nikasafiri zaidi ya miezi ila kwa mawasiliano nilihisi yupo nami karibu

Niache masihara Alinipenda haswa nami sijivungi nilimpenda akapendeka walahi nilisahau kama kuna wanawake wengine, nikaenda mbali zaidi nikasahau kama nilikua kitombi hapo kabla

maisha yakasonga tumesha meintain upendo vya kutosha kama ni chart ya GBPUSD basi ni implusive uptrande mwanzo mwisho no corrective

Gafla bin vuu ukaja mtikisiko penzi letu likadrop kiwango ambacho siamini kama nipo nae nilishadrop uzi wake hapa nilitumia muda wangu,akili zangu,upendo wangu kumsihi almost 3month ndo akakubali kurudi

yes tukarudi form mapenzi yakachocheka upya lol kumbe ilikua retest gafla msichana akabadilika kila wakati ana itilia shaka ukadrop tena tuachane za kutosha ila mi napoteza

akafika mahala anadai hapendi kunisikia anjisikia vibaya mno akisikia sauti yangu anajihisi nusu ya kutapika au kama anabanwa na kitu

Akaanza visa akatafuta sababu akaona ndo kwanza mi sielewi somo
akaja kugundua nipo siriasi siachiki

Sijamfuatilia sana ila akaja akasema hataki kuolewa na mimi maana kwanza tunakaa sehemu moja ninamjua sana hatutoheshimiana,

kingine anahitaji mwanaume wa mbali asiemjua undani wake

nikaja gundua kumbe bado nalea mtoto
Nikubali kuachika tu nikubali nilikua mwalimu wake wa mapenzi

summary;

Nina msichana tumependana sana nina malengo nae tumedumu katika uhisiano kwa muda mrefu kipindi kilichobaki ni kuelekea ndoa,

ila sasa amabadilika visa ni vingi haeleweki amekua kila siku ni wimbo wake tuachane, hataki kuolewa namj b'coz nimemjua sana undani wake n.k
yupo nataka staki

sasa wakuu nipo ktk dilema nichape lapa au niendelee kujishusha kwake? au nimhoji maswali gani kuntu akili yake imkae sawa? naweza mtumia ujumbe jibu lake yeye ni "mmh"

Se
 
Akili yangu inaniambia ulikua unampiga huyo msichana.

Inaniambia ulikua abuser wake.

Inaniambia ulikua mkorofi kwake.

Hiyo ni kwasababu abuser wengi hua hawaamini kama kuna kuachwa. Wanaamini wao ndiyo wanatakiwa waseme kama huu uhusiano unaisha au upo.

Na huyo binti kufanya uamuzi yeye na siyo wewe imekuumiza, imekufanya ujione huna mamlaka juu yake. Your manipulation works no more.
 
kidogo kifungu cha mwisho ila sikufikiria kufanya maamuzi ya kumuacha
pia sijawahi mpiga wala kumfokea mkuu mi ni mtu mpole mpka ananiogopa akidai watu wapole ni wabaya sana ijapokua si kweli kwa upande wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwalimu wake vp yaani? kwamba ndo ulimfungua ama ulikuwa wampa tuisheni ya mapenzi kaamua kuacha tuisheni kaenda kufanya mazoezi kwa wengine

kifupi hueleweki
sikumfungua bado yupo sild na makaratasi kabisa 100% uhakika,
kiufupi ndo ivo anataka atoweke amekonsider mimi kama mwalimu wake wa tuisheni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sikumfungua bado yupo sild na makaratasi kabisa 100% uhakika,
kiufupi ndo ivo anataka atoweke amekonsider mimi kama mwalimu wake wa tuisheni

Sent using Jamii Forums mobile app
Wahani washamgonga huyo anakukwepa kuficha aibu, mapenzi ya maneno tu bila vitendo ujue mwishowe dume litalia kilio cha mbwa koko, ukitaka power kwa mwanamke mtafune kwanza nje ya hapo unajitafutia maumivu ya roho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Butterfly - Mariah Carey

When you love someone so deeply
They become your life
It's easy to succumb to overwhelming fears inside
Blindly I imaged I could
Keep you under glass
Now I understand to hold you
I must open my hands
And watch you rise

Chorus: Spread your wings and prepare to fly
For you have become a butterfly
Fly abandonedly into the sun
If you should return to me
We truly were meant to be
So spread your wings and fly

I can't prevent this hurt from almost overtaking me
But I will stand and say goodbye
For you'll never be mine
Until you know the way it feels to fly
You have given me the courage
To be all that I can
And I truly feel your heart will
Lead you back to me when you're
Ready to land

Hizo lyrics za uwimbo wa mariah carey, zinatosha kabisa kukupa jibu la situation yako
 
kidogo kifungu cha mwisho ila sikufikiria kufanya maamuzi ya kumuacha
pia sijawahi mpiga wala kumfokea mkuu mi ni mtu mpole mpka ananiogopa akidai watu wapole ni wabaya sana ijapokua si kweli kwa upande wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu iliyokufanya umtongoze akiwa mdogo ni kwasababu ulijua kua wewe ndiye utakua mtoa maamuzi pekee.
Ulijua kua atakua anakuogopa na kusikiliza unachosema.

Kama ungekua na sifa unazosema hapa huyo binti asingekuacha badala yake angeacha uwepo na mwingine awepo.

Boss siyo mimi hizi ni assumptions tu kulingana na saikolojia inavyosema.
 
ye mwenyew haelewi atasema tuachane ila baadae atarudi kana kwamba kuna kitu kasahau sasa ananitoa ktk reli nakosa focus

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Butterfly - Mariah Carey

When you love someone so deeply
They become your life
It's easy to succumb to overwhelming fears inside
Blindly I imaged I could
Keep you under glass
Now I understand to hold you
I must open my hands
And watch you rise

Chorus: Spread your wings and prepare to fly
For you have become a butterfly
Fly abandonedly into the sun
If you should return to me
We truly were meant to be
So spread your wings and fly

I can't prevent this hurt from almost overtaking me
But I will stand and say goodbye
For you'll never be mine
Until you know the way it feels to fly
You have given me the courage
To be all that I can
And I truly feel your heart will
Lead you back to me when you're
Ready to land

Hizo lyrics za uwimbo wa mariah carey, zinatosha kabisa kukupa jibu la situation yako
damnn!!!! walahi hi lyrics imehit my heart focal point sio siri nafunguka sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom