Jasmi Na Joyce Mringi Niliwapenda Sana. Mwaka huu mwisho kuwatafuta.

Kirchhoff

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,425
7,727
Mwaka 2010/2011 nilikutana na Kuachana na Jasmin katika mazingira magumu Sana. Huyu alikuwa na Kaka yake aitwae Ali aliyekuwa akiuza Nywele za Sangita kwenye maduka Tabata na Buguruni. Alikuwa na tatizo la Moyo
May be she Is Alive.

Mwaka 2011 nilikutana na Joyce Mringi na pia niliachana naye katika mazingira magumu. Misunderstanding to name it. Amesoma Weruweru na Marangu TTC. Alikuwa na tatizo la Athma/Pumu.
May be she is alive!

Ee Mwenyenzi Mungu nafunga jalada la kuwatafuta mabinti hawa. Unisaidie nisiumie nikiwakumbuka.
 
Mm tuliachana na tulipotezana mwaka 2011 mwaka huu tunaonana anasema ananipenda Dah nampenda ila tayari nishaanguka mapenzini kwa uyu mtto wa kitanga Mungu anijaalie kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2010/2011 nilikutana na Kuachana na Jasmin katika mazingira magumu Sana. Huyu alikuwa na Kaka yake aitwae Ali aliyekuwa akiuza Nywele za Sangita kwenye maduka Tabata na Buguruni. Alikuwa na tatizo la Moyo
May be she Is Alive.

Mwaka 2011 nilikutana na Joyce Mringi na pia niliachana naye katika mazingira magumu. Misunderstanding to name it. Amesoma Weruweru na Marangu TTC. Alikuwa na tatizo la Athma/Pumu.
May be she is alive!

Ee Mwenyenzi Mungu nafunga jalada la kuwatafuta mabinti hawa. Unisaidie nisiumie nikiwakumbuka.
Pole sana Chifu.

"Time is a wealthy when timing it consecutively"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi wenza hukimbiana au mmoja kumkimbia mwengine pale anapogundua kuna tatizo la afya au ulemavu kwa mwenzake.
Nakumbuka kuna mwana alichumbia manzi mwenye kifafa bila kujua siku alipokuja gundua tatizo la manzi alisepa na kuhama mji mazima
 
Maisha ni marefu sana chamsingi bado upo hai nawo kama bado wapo hai mtakutana
 
Back
Top Bottom