Agano la damu katika mahusiano ya kimapenzi

Agano la damu katika mahusiano ya kimapenzi

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,664
Unapohusiana na mtu kimapenzi unafanya naye agano la damu. Agano hilo maana yake ni kwamba wewe unakubaliana na kufungamana na sifa na tabia pamoja na vifungo vingine vyote kama vile laana, mizimu, matatizo na majanga mbalimbali yanayomhusu huyo uliyefanya naye mapenzi, kadhalika na yeye anafungamana na wewe katika mambo hayo. Agano la namna hiyo humtaka aliyeingia katika hayo mapatano kukubaliana nayo "consistently". Iwapo mhusika hatatii au ataenda kinyume na agano, ndipo agano hilo "hutrigger malice" na kusababisha kutokuelewana, vurumai, kutokupendana na hata kuuana katika mahusiano na mara nyingi kupelekea kuachana!

Kimsingi, unapojamiana na mtu unakubaliana naye kuchangia kila kilicho chake, na yeye pia anakubaliana kuchangia na wewe kila kilicho chako, hasa laana na matatizo kama vile magonjwa na mizimu kwa sababu hivi vitu vimejengwa katika maagano ya damu.

Ndio maana wakati mnaoana na mwenzio mlipendana sana, lakini kwa sababu wewe au mwenzi wako alichepuka na kufanya maagano: ugomvi, mapigano, kutishiana, chuki na hata kutaka kuuana hakuishi kila leo! Swala sio wivu kwamba unahisi mwenzi wako anakusaliti au kuhitilafiana katika mambo tu ya kawaida, issue ni yale maagano ya damu ambayo "hudemand price"!

Mara nyingi unasikia watu wanalalamika kuhusu tabia za watoto "huyu mtoto tabia kaichukua wapi, mbona baba na mama yake au ukoo wao hawako hivyo?". Chanzo cha tabia za ajabuajabu za watoto ni matokeo ya michepuko iliyofanya maagano na watu/koo zingine zenye laana. Laana na matatizo yanayoletwa na agano la damu katika familia havihitaji mtu kuchepuka na kuzaa nje ya ndoa, bali tu kuhusiana katika mapenzi!

Mimi nilipoingia kwenye mahusiano na mke wangu nilivunja maagano yote kwa jina la Yesu. Lakini kumbuka kuwa huwezi kuvunja maagano kama vile ya michepuko kwa jina la Yesu ili "kufavor your own evil deeds"!

Maagano yanayofanywa na watu kwa njia ya mapenzi huenda vizazi hadi vizazi. Hii ni sawa kabisa kwa mjibu wa sayansi kwani "hereditary information" kutoka kizazi hadi kizazi hubebwa na viasili vilivyopo katika damu, mfano DNA.
Pasco anaweza kuendeleza hii mada kwa uchambuzi zaidi.

Mie na mke wangu tuna furaha fulltime kwa sababu mapenzi yetu yananawiri kila kukicha, na huwa hatuelewi kabisa matatizo katika ndoa za watu yanatokana na nini! "We are the happiest couple" kwa sababu "we posses several life secrets" mojawapo ni siri kuhusu agano la damu!

Tambueni ya kwamba one of the great decisions a person can make in his/her life ni kuwa na uhusiano wa kimapenzi (hata kwa dakika moja) na mtu kwa sababu anafanya naye life covenant "blood covenant"!

We teach you things that matter most!
 
Ndo maana watoto hawashikiki kumbe ni zao linalotoka na maagano ya wanaume/wanawake wengi!...kimbilio pekee ni hii damu ya huyu Yesu Mnazarethi, maana maagano yanavunjwa kwa damu maana ndo mwanaumme pekee aliyemwaga damu yake Msalabani,ili azivunjevunje kazi za ibilisi.
 
Mi naisi ii kitu inawaathiri sana watoto na sio nyie wahusika(partners).Maana watoto ndo muunganiko wa damu mbili.
 
Nilikuwa sijui ati.....

Hiyo kitu ndo maaana neno linashauri kuimbia kabisa.......ikimbieni zinaa,kwenye Agano la kale binti alipoolewa akakutwa bikira haipo alirudishwa kwa baba yake na kupigwa kwa mawe mpaka kufa,mwanamke aliyeolewa akizini aklipigwa mawe mpaka kufa.
.....Sodoma na Gomora ziliangamizwa kwa sababu ya haka kamchezo.
......Dunia ilifutiliwa mbali sababu ya kamchezo hakahaka,
Jamani tujitunze zinaa ni mbaya kuliko unavyofikiri,kumbuka unayotenda sasa lazima atakuja kurithi mtoto wako au mjukuu wako au kitukuu.
......Usifikiri Yusufu alikuwa mjinga kukimbia tunda la mke wa Potifa mpaka akaacha joho lake akaenda uchi aliogopa maagano.
 
Nimekupata mkuu.....
 
Mkuu umeeleza kitu ambacho kina ukweli ndani yake, hakika hata mimi nilifundishwa zamani kuhusu agano hili katika mapenzi (muungano). Tuliambiwa kabisa ukifanya ngono na mtu mwenye mapepo huwa yanahamia pia kwako!!! Mambo hayo na mengine yalinifanya niwe na adabu sana katika masuala ya ngono.
 
Unapohusiana na mtu kimapenzi unafanya naye agano la damu. Agano hilo maana yake ni kwamba wewe unakubaliana na kufungamana na sifa na tabia pamoja na vifungo vingine vyote kama vile laana, mizimu, matatizo na majanga mbalimbali yanayomhusu huyo uliyefanya naye mapenzi, kadhalika na yeye anafungamana na wewe katika mambo hayo. Agano la namna hiyo humtaka aliyeingia katika hayo mapatano kukubaliana nayo "consistently". Iwapo mhusika hatatii au ataenda kinyume na agano, ndipo agano hilo "hutrigger malice" na kusababisha kutokuelewana, vurumai, kutokupendana na hata kuuana katika mahusiano na mara nyingi kupelekea kuachana!

Kimsingi, unapojamiana na mtu unakubaliana naye kuchangia kila kilicho chake, na yeye pia anakubaliana kuchangia na wewe kila kilicho chako, hasa laana na matatizo kama vile magonjwa na mizimu kwa sababu hivi vitu vimejengwa katika maagano ya damu.

Ndio maana wakati mnaoana na mwenzio mlipendana sana, lakini kwa sababu wewe au mwenzi wako alichepuka na kufanya maagano: ugomvi, mapigano, kutishiana, chuki na hata kutaka kuuana hakuishi kila leo! Swala sio wivu kwamba unahisi mwenzi wako anakusaliti au kuhitilafiana katika mambo tu ya kawaida, issue ni yale maagano ya damu ambayo "hudemand price"!

Mara nyingi unasikia watu wanalalamika kuhusu tabia za watoto "huyu mtoto tabia kaichukua wapi, mbona baba na mama yake au ukoo wao hawako hivyo?". Chanzo cha tabia za ajabuajabu za watoto ni matokeo ya michepuko iliyofanya maagano na watu/koo zingine zenye laana. Laana na matatizo yanayoletwa na agano la damu katika familia havihitaji mtu kuchepuka na kuzaa nje ya ndoa, bali tu kuhusiana katika mapenzi!

Mimi nilipoingia kwenye mahusiano na mke wangu nilivunja maagano yote kwa jina la Yesu. Lakini kumbuka kuwa huwezi kuvunja maagano kama vile ya michepuko kwa jina la Yesu ili "kufavor your own evil deeds"!

Maagano yanayofanywa na watu kwa njia ya mapenzi huenda vizazi hadi vizazi. Hii ni sawa kabisa kwa mjibu wa sayansi kwani "hereditary information" kutoka kizazi hadi kizazi hubebwa na viasili vilivyopo katika damu, mfano DNA.
Pasco anaweza kuendeleza hii mada kwa uchambuzi zaidi.

Mie na mke wangu tuna furaha fulltime kwa sababu mapenzi yetu yananawiri kila kukicha, na huwa hatuelewi kabisa matatizo katika ndoa za watu yanatokana na nini! "We are the happiest couple" kwa sababu "we posses several life secrets" mojawapo ni siri kuhusu agano la damu!

Tambueni ya kwamba one of the great decisions a person can make in his/her life ni kuwa na uhusiano wa kimapenzi (hata kwa dakika moja) na mtu kwa sababu anafanya naye life covenant "blood covenant"!

We teach you things that matter most!
Mkuu LifeHacker, umetisha!, hili nililizungumzia kwenye mada zangu kitu kinachoitwa "nuksi", Kiislamu wanaita janaba!.
Niliizumgumzia mahali sikumbuki ni thread gani, ila karibu yote usemayo ni kweli kabisa kufanya sex na multiple partners, kunasababisha ama nuksi fulani, ama bahati fulani na kutegemeana, ila sio kweli kuwa ni kwenye kila kufanya mapenzi, mnaweka maagano ya damu!.

Mimi siiti maagano ya damu bali maagano ya life commitment!.

Lengo la Mungu kuumba sex ni watu waungane kwenye physical love, "kufanya sex", watu waungane kwenye emotional love "kutoshelezana, na liwazo la moyo, watu waungane kwenye "spiritual love" ecstatic gratification with multiple orgasms", na katika miungano hii, watu hao wapewe ule uwezo wa Kimungu wa kufanya creation ya viumbe wengine (procreation)!.

Mungu hakuliumba tendo la ndoa ili liwe tuu ni tendo la burudani au starehe!, ndio maana tendo hilo ni sacred na wanawake wote!, nasema wote with no exceptions walipaswa kuolewa wakiwa "b"!. Kufuatia mabadiliko ya kimaendeleo, binti anakuwa tayari at 15 years akiwa shule na anakuja kuolewa from 25 years onwards, keeping her seal ni issue, hivyo hujikuta wameanza kufanya kabla ya ndoa!.

Hilo agano la damu kwenye sex, linakuja tuu pale ambapo, there is love expectations na life long commitments!. Kama sex inafanyika only for the physical part, for the sake of gratifications only, no emotions za emotional love, kunakuwa hakuna spiritual love, there is no commitment then there will be no attachments hivyo hakuna maagano yoyote!.

Mfano wavulana wengi wakati wanawatokea mabinti, huingia kwa gia ya love!, kuwa wanawapenda na wanataka kuwaoa!, yule binti anapokubali hadi kufanya sex, lengo lake na imani yake ni kukubali kujigive herself for love ili ukipendezewa, unaweza kuchukua jumla!, na ndipo hapa kwenye commitments, attachments na hayo maagano ya love!. Mkiishafanya ni kweli unabaki na maagano ukiachia bila sababu za msingi, utafidia, na sometimes hadi nuksi!.

Lakini ukifanya sex na wale wadada walioko kibiashara zaidi, au wale ambao wanajiachia wenyewe wafanya kwa raha zao, no love, no commitments no strings attached, kunakuwa hakuna maagano yoyote!.

Mimi nimeingia UDSM tayari nikiwa committed, ila wife alikuwa US kwa miaka yote minne niliokuwa UD!, nilipewa single room pale Block F, Mabibo hostel!, na kwa bahati nzuri, nilitangulia kwanza kuzishika (pesa), nikaingia chuo na fungu langu!, hivyo you can imagine vile vibinti vitegemea boom, na linavyochelewa, na lisivyotosha!, ningewapitiaje?!.

Kiukweli kutokana na dhiki, kuna vibinti vilikuwa vinajigive in vyenyewe ili kupata chochote!. Kwa vile mimi tayari nilikuwa committed, kuvipitia hivi vibinti vinavyotafuta missada, niliona haikuwa right!, nikawa nikiwa na uwezo wa kusaidia nasaidia tuu, malipo no!. Hivyo naweza kukiri wazi kabisa na Mungu ni shahidi yangu, nilipiga miaka yote minne UDSM bila kugusa kitoto chochote cha chuo!. Haina maana miaka yote hiyo minne mimi ndio nilikuwa mtakatifu fulani!, wala siamini kuwa kwa hiyo shule ya wife wangu na yeye ni ya miaka minne, ndio mpango wa Mungu eti wote tusifanye sex eti tuu kwa vile tunaviapo!. No way!. My way ilikuwa ni kuwa target wale ambao wako tayari kwa sex with no commitment, no strings attached, unauliza bei, unapangiwa bei, unafika bei, unalipa, unahudumiwa, mnamalizana, next time ukiwa mhitaji ndipo unafuata huduma na sio lazima kiwanja kile kile!, kuna siku unafuata huduma, unamkuta aliyekuhudumia last time ila umependezewa pengine zaidi, you just go, you just do, na hakuna agano lolote!.

Ila pia mimi ni miongoni mwa wale ambao tunaendelea kulipia very high price to pay kwa niliyoyafanya nikiwa kijana wakati huo sijajua kuwa kumbe haya mambo yana maagano na price to pay!, nimeisha lipa sana na mpaka sasa ninaendelea kulipia!, ila pia tabia na huduma with no commitments, no strings attached zinaendelea haswa niwapo safarini!. Utaratibu ni no promises, usiahidi chochote!, wewe lipia tuu huduma!, hudumiwa, endelea na maisha yako na yeye maisha yake!, hata ukinogewa vipi, usiahidi kitu sana sana ongeza tuu dau kuliko bei ya makubaliano ya awali ili kuonyesha appreciation!.

Kitu muhimu sana cha kuzungatia ni kabla huja...hakikisha umepima compatibility test na kuangazia kama ni nuksi au la, na ukimaliza, hakikisha unaoga maji vizuri kujitakasa na kuondoa mabalaa yote.
Pasco
 
Ni kweli kabisa, ndiyo maana hata Biblia inasema kwamba dhambi zote hufanyika nje ya mwili isipokuwa zinaa

hufanyika ndani ya mwili,Mungu atusaidie tuwe waaminifu mpaka kufa.

Btw nimependa sana ulivyopresent mada umeonyesha utamu wa ndoa na siri yake nini kwa kujitolea mfano wewe

mwenywe maana kila siku humu MMU watu wanalia juu ya ndoa zao mpaka wanawafanya wengine wasitamani

kuoa/kuolewa,big up LifeHacker na Mungu azidi kuibariki ndoa yako iwe na mengi mazuri.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu LifeHacker, umetisha!, hili nililizungumzia kwenye mada zangu kitu kinachoitwa "nuksi", Kiislamu wanaita janaba!.
Niliizumgumzia mahali sikumbuki ni thread gani, ila karibu yote usemayo ni kweli, ila sio sio kweli kuwa ni kwenye kila kufanya mapenzi, mnaweka maagano ya damu!.

Mimi siiti maagano ya damu bali maagano ya life commitment!.

Lengo la Mungu kuumba sex ni watu waungane kwenye physical love, "kufanya sex", watu waungane kwenye emotional love "kutoshelezana, na liwazo la moyo, watu waungane kwenye "spiritual love" ecstatic gratification with multiple orgasms", na katika miungano hii, watu hao wapewe ule uwezo wa Kimungu wa kufanya creation ya viumbe wengine (procreation)!.

Mungu hakuliumba tendo la ndoa ili liwe tuu ni burudani au starehe!, ndio maana tendo hilo ni sacred na wanawake wote!, nasema wote with no exceptions walipaswa kuolewa wakiwa "b"!. Kufuatia mabadiliko ya kimaendeleo, binti anakuwa tayari at 15 years akiwa shule na anakuja kuolewa from 25 years onwards, keeping her seal ni issue, hivyo hujikuta wameanza kufanya kabla ya ndoa!.

Hilo agano la damu kwenye sex, linakuja tuu pale ambapo, threr is love expectations na life long commitments!. Kama sex inafanyika only for the physical part, for the sake of gratificatins only, no emotions, no commitment, then there will be no attachments hivyo hakuna maagano yoyote!.

Mfano wavulana wengi wakati wanawatokea mabinti, huingia kwa gia ya love!, kuwa wanawapenda!, yule binti anapokubali hadi kufanya sex, lengo lake na imani yake ni kukubali kujigive herself for love ili ukipendezewa, unaweza kuchukua jumla!, na ndipo hapa kwenye commitments, attachments na hayo maagano ya love!. Mkiishafanya ni kweli unabaki na maagano ukiachia bila sababu za msingi, utafidia, na sometimes hadi nuksi!.

Lakini ukifanya sex na wale wadada walioko kibiashara zaidi, au wale ambao wanajiachia wenyewe wafanya kwa raha zao, no love, no commitments no maagano!.

Mimi nimeingia UDSM tayari nikiwa committed, ila wife alikuwa US kwa miaka yote minne niliokuwa UD!, nilipewa single room pale Block F, Mabibo hostel!, na kwa bahati nzuri, nilitangulia kwanza kuzishika (pesa), nikaingia chuo na fungu langu!, hivyo you can imagine vile vibinti vitegemea boom, na linavyochelea, na lisivyotosha!, ningewapitiaje?!.

Kiukweli kutokana na dhiki, kuna vibinti vilikuwa vinajigive in vyenyewe ili kupata chochote!. Kwa vile mimi tayari nilikuwa committed, kuvipitia hivi vibinti vinavyotafuta missada, niliona haikuwa right!, nikawa nikiwa na uwezo wa kusaidia nasaidi, malipo no!. Hvyo naweza kukiri wazi kabisa na Mungu ni shahidi yangu, nilipiga miaka zote nne bila kugusa kitoto chochote cha chuo!. Haina maana miaka yote hiyo minne mimi ndio nilikuwa mtakatifu fulani!, wala siamini kuwa kwa hiyo shule ya wife wangu na yeye ni ya miaka minne, ndio mpango wa Mungu eti wote tusifanye sex eti tuu kwa vile tnaviapo!. No way!. My way ilikuwa ni kuwa target wale ambao wako tayari kwa sex with no commitment, no strings attached, unauliza bei, unapangiwa, unafika bei, unahudumiwa, mnamalizana, next time ukiwa mhitaji ndipo unafuata huduma na sio lazima kiwanja kile kile!, kuna siku unafuata huduma, unamkuta aliyekuhudumia last time ila umependezewa pengine zaidi, you just go, you just do, na hakuna agano lolote!.

Ila pia mimi ni miongoni mwa wale ambao tunaendelea kulipia very high price to pay kwa niliyoyafanya nikiwa kijana wakati huo sijajua kuwa kumbe haya mambo yana maagano na price to pay!, nimeisha lipa sana na mpaka sasa ninaendelea kulipia!, ila pia tabia na huduma with no commitments, no strings attached zinaendelea haswa niwapo safarini!. Utaratibu ni no promises, usiahidi chochote!, wewe lipia tuu huduma!, hudumiwa, endelea na maisha yako na yeye maisha yake!, hata ukinogewa vipi, usiahidi kitu sana sana ungeza tuu dau kuliko bei ya makubaliano kuonyesha appreciation!
Pasco
Hapa Pasco hapana umeipigia promo ngono,dhambi ni dhambi tu,ngono ni ngono haijalishi umefanya na nani na ina

matokeo yake isipokuwa kwa yule tu aliye halali kwako. Swala ni moja tu kuwa mwaminifu mpaka kufa.
 
Last edited by a moderator:
Hapa Pasco hapana umeipigia promo ngono,dhambi ni dhambi tu,ngono ni ngono haijalishi umefanya na nani na ina

matokeo yake isipokuwa kwa yule tu aliye halali kwako. Swala ni moja tu kuwa mwaminifu mpaka kufa.
Mkuu everlenk, nakubaliana na wewe, tatizo langu ni kuwe mkweli daima!, niko very open and very frank, wife amepata scholarship ya miaka 4 Marekani!, kweli ndio mpango wa Mungu, nizikose huduma zile kwa kipindi chote cha miaka 4?, No way!, hata kiafya, kibaiologia, kisaikolojia, ki anatomy ya viungo vile!, mwanaume uliyekamilika, unaweza kustahimili kukaa miaka 4 bila bila?. Hata kibaiyojia, ki anatomical na ki phizikali haishauriwi!. Hata usipofanya wewe, then the body mechanism, zitakupa wet dream, ukiamka umelowa, tena zinakuwa nyingi kufuatia the daily production, utalowesha pyjamas, shuka na sometimes hadi godoro, depending na umelalaje, ukilala kifudifudi ni hadi godoro!. Why kuacha hayo yatokee wakati kuna watu walio tayari kukuhudumia hizo services kwa ujira mdogo, kwa usalama mbele and no strings attached.

Ndio maana hata kwenye Biblia Takatifu inapobidi unafanya nje!. Anzia kwa Lutu, nini kilifanyika kwa wale mabinti wawili wa Lutunwaliokuwa wote ni ma bi... mara baada ya mama yao kugeuka nyuma na kugeuka jiwe la chumvi?!. Tuje kwa Ibrahim, baada ya mkewe Sara kuwa hazai?, tafuta kisa cha kiongozi mmoja aliyezaa na Tamari watoto mapacha Peresi na Zera etc.

Yesu kufanya sex inje ya ndoa ni dhambi, ila hiyo dhambi itakuwa ni dhambi tuu kama unatoka nje bila any justified reasons!. Ukiwa na sababu halali kama mimi, hakuna dhambi yoyote, provided ukifanya na mwanamke mala..kunakuwa hakuna maagano yoyote zaidi ya money exchange!.

Dhambi ni pale kutoka nje ya ndoa bila sababu yoyote ya msingi!, (kubadili mboga sio sababu), then unakwenda kutoka na visichana single kwa ahadi zozote zile, hapo ndipo mnajikuta mnaweka maagano!.

Maagano hayopo kwenye like physical tendo la sex, bali the willpowers behind, the motive behind, the expectations etc!.

Mimi mpaka kesho, nikisafiri safari ya mbali ya muda mrefu, hadi likatokezea hitaji la huduma hizo!, hujinunulia huduma hivyo kihalali kabisa with very clear conscious without a blink of an eye kuwa I'm doing something wrong!.

Lengo la Mungu kutuumba, alituumba ili tufurahi, na ndia maana akaiweka burudani hiyo mahali pale ili viumbe wake wafaidi, waburudike, wastarehe!.
Pasco
 
Mungu aliwakataza taifa la Israeli wasioe nje ya taifa lao,na walipofanya hivyo balaa liliwakuta mfano:ni mfalme wa Israeli aitwaye Ahabu alipomuoa Yezebeli,aliruhusu miungu ya Baali ktk nchi yake na kutokea ukame mkubwa uliosababisha njaa kubwa sana na kufa kwa watu wengi.1Wafalme 16:31-33,17:1,18:3-6,17-18.
 
kaka yangu acha kujitetea kupita kiasi hivyo dhambi ni dhambi
iwe ya kufanya kiwa makusudi au kwa any reason, au kwa agano
ni dhambi tu usiipalilie hiyo dhambi ya uzinzi kiasi hicho na kuipa
majina matakatifu kiasi hicho
kama umemcheat au uliamua
kumcheat mkeo
ulifanya maamuzi hayo na ukacheat hivyo
usiseme kuwa mkeo yuko mbali kimosomo na wewe basi unaendekeza
mwili kuupa uutakao ujue unapalilia dhambi na
jua kuwa mshahara wa dhambi ni mauti

Mkuu everlenk, nakubaliana na wewe, tatizo langu ni kuwe mkweli daima!, niko very frank, wife amepata scholarship ya miaka 4 Marekani!, kweli ndio mpango wa Mungu, nizikose huduma zile kwa kipindi chote cha miaka 4?!, No way!, hata kiafya, kibaiologia, kisaikolojia, ki anatomy ya viungo vile!, haishauriwi!.

Ndio maana hata kwenye Biblia Takatifu inapobidi unafanya nje!. Anzia kwa Lutu, nini kilifanyika kwa wale mabinti wawili wa Lutunwaliokuwa wote ni ma bi... mara baada ya mama yao kugeuka nyuma na kugeuka jiwe la chumvi?!. Tuje kwa Ibrahim, baada ya mkewe Sara kuwa hazai?, tafuta kisa cha kiongozi mmoja aliyezaa na Tamari watoto mapacha Peresi na Zera etc.

Yesu kufanya sex inje ya ndoa ni dhambi, ila hiyo dhambi itakuwa ni dhambi tuu kama unatoka nje bila any justified reasons!. Ukiwa na sababu halali kama mimi, hakuna dhambi yoyote, provided ukifanya na mwanamke mala..kunakuwa hakuna maagano yoyote zaidi ya money exchange!.

Dhambi ni pale kutoka nje ya ndoa bila sababu yoyote ya msingi!, (kubadili mboga sio sababu), then unakwenda kutoka na visichana single kwa ahadi zozote zile, hapo ndipo mnajikuta mnaweka maagano!.

Maagano hayopo kwenye like physical tendo la sex, bali the willpowers behind, the motive behind, the expectations etc!.

Mimi mpaka kesho, nikisafiri safari ya mbali ya muda mrefu, hadi likatokezea hitaji la huduma hizo!, hujinunulia huduma hivyo kihalali kabisa with very clear conscious without a blink of an eye kuwa I'm doing something wrong!.

Lengo la Mungu kutuumba, alituumba ili tufurahi, na ndia maana akaiweka burudani hiyo mahali pale ili viumbe wake wafaidi, waburudike, wastarehe!.
Pasco
 
Pasco,

Nakupata sana mkuu na hoja zako kama tukizipima kwa mapana yake, tutagundua upo sahihi.

Emu tazama huu mfano, life style ya mababu zetu zamani ilikuwaje? Sitaki kuamini kama wao walikuwa wana mke mmoja tu eti kisa amefanya nae maagano. Hadi hivi sasa wamasai wanaishi maisha ya neema na afya tele lakini mwanaume mmoja anakuwa na wanawake hata 7 (provided he's able serve them all).

Hii dhana ya kuwa inside the box na kufanya tafsiri za mistari ya biblia kimakosa ndio inafanya baadhi ya wachangiaji humu kupinga hoja yako.

Kama kufanya mapenzi na mwanamke nje ya yule ambae umefanya nae agano ni dhambi. Je. Abrahamu alivyofanya mapenzi na kijakazi wake ilikuwa sio sahihi? Kwanini binadamu tuna complicate mambo madogo? Ngono isiyo na ahadi yoyote zaidi ya pleasure ni sahihi kabisa kufanywa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom