Nateswa na kipaji changu, Nifanyeje?

puker

JF-Expert Member
Nov 22, 2018
649
1,000
Habar za muda huu wana JF. I hope mpo good...kwa wale wenye majanga poleni..Mungu atawasaidia ni sehemu ya maisha.

Niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa nijuavyo Mimi,

KIPAJI :
ni sehemu ya uwezo wa kufanya jambo fulani kwa ngazi ya juu. Kipaji kinaweza kuwa cha kimwili au cha kiakili.
Pia uwezo huu uwa ni wakuzaliwa nao, ukiwa hujapata mafunzo au maarifa kutoka sehemu yoyote.
Ni vigumu sana mtu kutambua kipaji chake, huu umekuwa ni mtihani mgumu miongoni mwetu.

Katika harakati mbali mbali za kimaisha, unaweza kufanya vitu vingi lkn ikitokea kimoja ukaweza kukifanya kwa ufanisi mkubwa kuliko wengine, tena bila kutumia nguvu wala akili nyingi, hicho ndio kipaji chako.

Pia hata kwenye maandiko matakatifu wanasema, "yeyote atumiae karma(kipaji) yake huyo hawezi kufa njaa kamwe (umaskini) maana hilo ndio kusudio la Mungu juu yake".

Hivyo Ni wazi kwamba ukitumia kipaji chako katika maisha yako..huwezi kuwa mtu wa hovyo hovyo.. tafsiri yake ndio ulipo utajiri wako.

Sasa Mimi mwenzenu ni mwanaume...ila kwenye sekta ya jikoni...Ni hatari, mwanzoni niliona kawaida ila kadri siku zinavyozidi kwenda naona kabisa naweza kufanya kitu hapa. Watu wengi wamekuwa wakinishauri...kama ningekuwa na sehemu natengeneza chakula kwa ajili ya biashara...basi mteje kula chakula changu Mara moja tu, ingetosha kuwa mwanachama wa kudumu katika ofisi yangu...maana Ni nadra Sana kupata chakula kitamu na kinachovutia.

Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi...now nafanya mambo mengine kabisa tofauti na upishi namshukuru Mungu si haba maisha yanaenda.

Ila pia sitak nife kabla sijatumia kipaji Changu kwa jamii inayonizunguka. Kwa maana ndio kusudio la Mungu juu yangu...Kama isemavyo biblia.

Ila ufinyu wa muda umekuwa kikwazo sana kwangu kutokana na biashara ninazo zifanye, madhumuni ya kuja hapa..Ni kuomba ushauri nawezaje kutumia karma yangu pasipo kuvuruga utaratibu wangu wa kila siku. Maana kuacha biashara ninayoifanya niingie kwenye mambo hayo ya mapishi, nakuwa muoga kidogo...labda niangalie maendeleo yatakavyo kuwa ndio nifanye maamuzi.

Tafadhali..nimeandika hapa kwa sababu ushauri wenu ni muhimu sana kwangu, naamini sitotoka mtupu.
Karibuni wapendwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Blaki Womani

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
11,215
2,000
Hongera kwa kuwa mpishi murua vyakula unayopenda kupika ni hivi vya kibantu ama vya wenzetu?

ukitaka utumie karma yako inabidi uachana na shughuli nyingine
kama utafungua sehemu yako na unataka wateja wapate chakula cha mkono wako ili wendelee kuja utafanyaje ? unatakiwa kuwepo muda wote kuanzia chai hadi cha usiku. unakwa mpishi mkuu
 
Ahsante...ni hivi vya kibantu...maana ndio ninavyotumia Mara kwa mara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aronstephy

Senior Member
Jun 23, 2015
183
500
Zaidi ya masaa 12...kwa wiki napumzika siku moja...ingawaje nimejiajiri

Kama hautojali mkuu fanya utafiti kwanza ni wapi unaweza anzisha hiyo biashara yako,h fanya tafiti zote stahiki juu ya soko, kwakua unasema umejiajiri nadhani kuna haja ya wewe kutafuta muda wa ziada iliuweze kutumikia kipaji chako,nadhani utakuwa na furaha zaidi utakapokuwa unafanya hizo shughuli na hata kipato kitapatikana.
 
Claret

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
736
1,000
Habar za muda huu wana JF. I hope mpo good...kwa wale wenye majanga poleni..Mungu atawasaidia ni sehemu ya maisha.

Niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa nijuavyo Mimi,

KIPAJI :
ni sehemu ya uwezo wa kufanya jambo fulani kwa ngazi ya juu. Kipaji kinaweza kuwa cha kimwili au cha kiakili.
Pia uwezo huu uwa ni wakuzaliwa nao, ukiwa hujapata mafunzo au maarifa kutoka sehemu yoyote.
Ni vigumu sana mtu kutambua kipaji chake, huu umekuwa ni mtihani mgumu miongoni mwetu.

Katika harakati mbali mbali za kimaisha, unaweza kufanya vitu vingi lkn ikitokea kimoja ukaweza kukifanya kwa ufanisi mkubwa kuliko wengine, tena bila kutumia nguvu wala akili nyingi, hicho ndio kipaji chako.
Pia hata kwenye maandiko matakatifu wanasema, "yeyote atumiae karma(kipaji) yake huyo hawezi kufa njaa kamwe (umaskini) maana hilo ndio kusudio la Mungu juu yake".

Hivyo Ni wazi kwamba ukitumia kipaji chako katika maisha yako..huwezi kuwa mtu wa hovyo hovyo.. tafsiri yake ndio ulipo utajiri wako.
Sasa Mimi mwenzenu ni mwanaume...ila kwenye sekta ya jikoni...Ni hatari, mwanzoni niliona kawaida ila kadri siku zinavyozidi kwenda naona kabisa naweza kufanya kitu hapa. Watu wengi wamekuwa wakinishauri...kama ningekuwa na sehemu natengeneza chakula kwa ajili ya biashara...basi mteje kula chakula changu Mara moja tu, ingetosha kuwa mwanachama wa kudumu katika ofisi yangu...maana Ni nadra Sana kupata chakula kitamu na kinachovutia.
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi...now nafanya mambo mengine kabisa tofauti na upishi namshukuru Mungu si haba maisha yanaenda.
Ila pia sitak nife kabla sijatumia kipaji Changu kwa jamii inayonizunguka. Kwa maana ndio kusudio la Mungu juu yangu...Kama isemavyo biblia.

Ila ufinyu wa muda umekuwa kikwazo sana kwangu kutokana na biashara ninazo zifanye, madhumuni ya kuja hapa..Ni kuomba ushauri nawezaje kutumia karma yangu pasipo kuvuruga utaratibu wangu wa kila siku. Maana kuacha biashara ninayoifanya niingie kwenye mambo hayo ya mapishi, nakuwa muoga kidogo...labda niangalie maendeleo yatakavyo kuwa ndio nifanye maamuzi.

Tafadhali..nimeandika hapa kwa sababu ushauri wenu ni muhimu sana kwangu, naamini sitotoka mtupu.
Karibuni wapendwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu upo kama mimi katika hiyo sekta na nimekuwa nawaza sana kama kweli najitendea haki kutokukitumia hicho kipaji. Japo nina vipaji vingine kama utunzi na uandishi na kuimba lakini huwa navifanya kwa leisure na si kibiashara kutokana na nature ya nchi yetu havilipi sana. Ila cha upishi nahisi nikiingia nitafanya makubwa haswa.

Nimeishi nchi kadhaa na nimejifunza mapishi yao kitu ninachokiona kama fursa zaidi. Kama wewe ulivyo napata tabu kwani ninachokifanya sasa ndicho kikwazo. Ila kwa kukushauri kama kazi yako ya sasa ni yako binafsi na haihitaji uwepo wako wa kila muda muamini mtu ila kuwa karibu naye sana ili usiyumbe then fungua ka mgahawa hata cha mlo mmoja either usiku tu ama mchana.

Ukishindwa kugawa majukumu kwenye kazi ya sasa basi waweza kuwa na mgahawa unaohudumia chakula cha usiku kwa ufanisi haswa kiasi kwamba hakuna atakayejuta kuhudumiwa nawe. Hii itakuwa rahisi kama kazi yako si ya kuchelewa ama kusafiri sana.

Mwisho nikupe moyo kwani at the end of the day furaha huja kwa kufanya tunachopenda. Waweza kuwa na hela zote but moyo bado unapwaya.

Ahsante mkuu kwa ushauri mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
11,715
2,000
Nilipoona huu Uzi wa kipaji umepostiwa MMU nikawaza kipaji gani hiki? 😁 au kipaji kilicholeta dhambi duniani????

Maskini kumbe chef, anapenda kula kuku.😁
 
Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
5,542
2,000
Ndugu mtoa mada hili andiko limeandikwa wapi?

yeyote atumiae karma(kipaji) yake huyo hawezi kufa njaa kamwe (umaskini) maana hilo ndio kusudio la Mungu juu yake".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
5,542
2,000
acha kuishi ndotoni, kuna karama zingine kubali zikupite hata kama utakufa pasipo kuzifanya.. kuna karama kama za wizi, uchawi, uongo, uzinzi n.k
sasa basi karama yako hii ya upishi itakupotezea mda ambao ungeutumia kufanya vitu vingine vyenye maanufaa makubwa zaidi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
5,542
2,000
Mkuu upo kama mimi katika hiyo sekta na nimekuwa nawaza sana kama kweli najitendea haki kutokukitumia hicho kipaji. Japo nina vipaji vingine kama utunzi na uandishi na kuimba lakini huwa navifanya kwa leisure na si kibiashara kutokana na nature ya nchi yetu havilipi sana. Ila cha upishi nahisi nikiingia nitafanya makubwa haswa.

Nimeishi nchi kadhaa na nimejifunza mapishi yao kitu ninachokiona kama fursa zaidi. Kama wewe ulivyo napata tabu kwani ninachokifanya sasa ndicho kikwazo. Ila kwa kukushauri kama kazi yako ya sasa ni yako binafsi na haihitaji uwepo wako wa kila muda muamini mtu ila kuwa karibu naye sana ili usiyumbe then fungua ka mgahawa hata cha mlo mmoja either usiku tu ama mchana.

Ukishindwa kugawa majukumu kwenye kazi ya sasa basi waweza kuwa na mgahawa unaohudumia chakula cha usiku kwa ufanisi haswa kiasi kwamba hakuna atakayejuta kuhudumiwa nawe. Hii itakuwa rahisi kama kazi yako si ya kuchelewa ama kusafiri sana.

Mwisho nikupe moyo kwani at the end of the day furaha huja kwa kufanya tunachopenda. Waweza kuwa na hela zote but moyo bado unapwaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Japo nina vipaji vingine kama utunzi na uandishi na kuimba lakini huwa navifanya kwa leisure na si kibiashara kutokana na nature ya nchi yetu havilipi sana.

Ngoja niongee na chibu afanye kukupa kazi WCB.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom