Woyooooooooooooooooo!
Nawapenda wote pia
Asanteni Kwa Birthday Wishes, am Blessed kuzaliwa leo sikukuu ya wanawake Duniani
Uuuuuwi kama najiona leo nitakavyo turn-up woyoooooo 👙💄💍💎
Nimetimiza...
Kwanza inahitajika mtaji hata kama mdogo
Pili kufanya kazi kwa bidii
Tatu uvumilivu.kubali kukua kidogo kidogo.mafanikio hayaji kwa siku moja
Wanawake tunaweza !
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu historia yangu fupi ni Kua babu yangu amenipa urithi ambao unanifanya kila mlimbwende anaingia king..
Wenye kumbukumbu mtaona Kuna siku nilikua na mdigo kwenye basi,, mtoto wa uholanzi...
Matendo/vitu gani vya kumfanyia mwanamke ili ajue kwamba haumpendi?
Yawe simple tu siyo ya kumpa maumivu mpaka ajute kuwa na wewe mfano (kumuonyesha unamsaliti)
Nataka nijue Yale ya kisaikolojia...
Tatoo sio Mbaya haswa ikiwa na Usanii ambao lengo lake ni kuongeza Mvuto na urembo.
Lakini kuna Maamuzi mengine ya kuiga Vitu vya Ajabu kabisa mwishowe unakuja juta na Kusaga Meno.
Tatoo kama...
Well yeah almost the same thing happened to me. I trusted someone so much because I thought we had a good future together, we had been together for four years, I did a very stupid thing, last year...
Habarini wakuu! Wanawake leo ni siku Yetu ebu tubadilike tuache kuwategemea wanaume , Mbona tunaweza siyo kitu kidogo tu nitumie hela ki ukweli inaboa, niwape siri ukiwa unajiudumia unapata...
Vitendo alivyokuwa anafanya R Kelly ni vya kinyama na vya kiudhalilishaji, ila Kwa upande wa pili wanawake ni wa kulaumiwa, Kwa sababu wamekuwa na Tabia ya kupenda watu wenye ela. Japokuwa sio...
Kuna kisa kilitokea mtaani kwetu apa kati ya ndugu wawili walionifanya nilete huu uzi, kaka ambaye ndo mwenye mke na mdogo mtu aliyemchapia kaka yake
Kwa mujibu wa mdogo mtu anadai baada ya kaka...
Ni moja kati ya washkaji wangu wa karibu nilimchukulia kama brother na mshauri sababu alinizidi umri. Kutembea na mpenzi wake haikuwa kwa bahati mbaya, nilimjua huyu Dada kupitia yeye kazi...
Habari za asubuhi.
Leo nimeamka na hii jamani.
Rafiki yangu ana mke wake. Wao wana mtoto mdogo Kama wa mwaka mmoja hivi. Hapo awali walikuwa wanatumia sindano za uzazi wa mpango,,, lakini...
Nilipata nafasi ya kutembelea Kilwa na mafia kikazi asee Hali ya kule ilinishangaza sana.huwezi kuamini mwanamke kule Ni bidhaa adimu Kama ilivyo uarabuni.unaweza ukawa jirani na kwa mzee fulani...
Wakuu luku imekata nyumba ya kupanga nadaiwa mchango wa umeme hapa.. Nikopesheni nisiaibike rafiki yenu Nina shemeji yenu humu geto nitawalipa ndani ya siku 3.. Njoo PM nikutumie namba ya halo...
Wakuu nina wiki 1 tangu nitembelee mitaa ya Bukoba huku.. Nimemvuta girlfriend huku wa Kihaya kuna swali limestua. Leo ameniuliza ana maana gani?
Nipo tayari kuongeza kasi.. By makonde boy...
Wakuu Leo Nina mwez na nusu Toka nimehamia mjini hapa biashara yangu bodaboda. Naamka asubui pikipiki sioni..
Mara ya mwisho mtu akiamka sa 9 aliiona pikipiki lakini cha Ajabu mlango umevunjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.