Ushauri Nina uwezo mkubwa wa kutafuta pesa lakini ndoa yangu na mke wangu ipo hatarini

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,252
2,000
Wakuu Sina mengi Leo naomba wale wenye wisdom wanieleze hapa namna gani naweza kutenga mda wa kutafuta pesa na kumpa muda mke wangu..

Jana nikiwa kwenye harakati zangu mke wangu alinitext na kulalamika simpi muda wa kutosha.. Na ikumbukwe Kua Sina mwezi tu Toka nianze ishi na muhaya huku kusini mwa Tanzania ni.

Ninachotaka ni jinsi ya kutenganisha muda wa kusaka pesa na kumpa muda huyu mke inaonekana anataka tukae tu muda wote Sasa izi ishu sio aise.. Nahitaji muda nisake pesa.

Karibuni wapendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
20,351
2,000
Kwani hua haurudi nyumbani? Au unatafuta pesa 24/7 365?

Au nenda katafute naye.
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,178
2,000
Wakuu Sina mengi Leo naomba wale wenye wisdom wanieleze hapa namna gani naweza kutenga mda wa kutafuta pesa na kumpa muda mke wangu..

Jana nikiwa kwenye harakati zangu mke wangu alinitext na kulalamika simpi muda wa kutosha.. Na ikumbukwe Kua Sina mwezi tu Toka nianze ishi na muhaya huku kusini mwa Tanzania ni.

Ninachotaka ni jinsi ya kutenganisha muda wa kusaka pesa na kumpa muda huyu mke inaonekana anataka tukae tu muda wote Sasa izi ishu sio aise.. Nahitaji muda nisake pesa.

Karibuni wapendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe acha kazi ukae na mke wako 24/7 limbukeni ya ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
19,301
2,000
Wakuu Sina mengi Leo naomba wale wenye wisdom wanieleze hapa namna gani naweza kutenga mda wa kutafuta pesa na kumpa muda mke wangu..

Jana nikiwa kwenye harakati zangu mke wangu alinitext na kulalamika simpi muda wa kutosha.. Na ikumbukwe Kua Sina mwezi tu Toka nianze ishi na muhaya huku kusini mwa Tanzania ni.

Ninachotaka ni jinsi ya kutenganisha muda wa kusaka pesa na kumpa muda huyu mke inaonekana anataka tukae tu muda wote Sasa izi ishu sio aise.. Nahitaji muda nisake pesa.

Karibuni wapendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ongozana nae kila uendako kama mkia

Ukiwawezesha wanawake umewezesha jamii
 
Espy

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
69,503
2,000
Kazi ipo, yaani unatupatia updates ya kila hatua ya ndoa yako. Ndoa za utotoni ni hatari.

Be you.
 
Joanah

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
15,538
2,000
Kuna vitu ni ngumu kusaidia asee

Ni suala la kupangilia ratiba zako
Au nenda na muhaya wako katika hizo mishe mishe ili awe anakuona kila muda
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom