Binti katolewa mahari, sasa hampendi mchumba wake ananipenda mimi huku anajua kuwa nina mke na mtoto.

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,599
2,000
Wakuu kwema!
Niliwahi kuleta uzi awali nikielezea kuwa kama una mke ambaye ni mtumishi katika ofisi tofauti na yako hapo hesabu maumivu.Ingawa si wanawake wote wako hivyo ila wengi wako hivyo naturally.
Twende kwenye mada husika; Ni binti mmoja ananipenda na sasa huwa ananipa zawadi ndogondogo kama fedha, vinywaji n.k huku akionyesha kwa vitendo na maneno kuwa ananipenda ingawa anajua kuwa nina mke na mtoto.
Msela wake ambaye yuko nje ya Dar hampendi kivile ingawa kamtolea mahari.
Binti nafanya naye kazi kitengo kimoja. Tukiwa ofisini wawili tu anafurahi sana na kunisifia muda wote.
Juzi nilitaka nivunje amri kuu ila nikashinda jaribu.
Ushauri: Ishini na wake/wachumba wenu kwa akili na kwa kumwomba Mungu sana.
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,177

Wanawake wako hivo hawajui wanacho taka.....sio kwamba anakupenda wewe, ni issue ya ukaribu tu hata ungekua House boy kwamme we arafu ushinde nae atakutamani tu.....usifikiri kwamba wewe ni special walaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,599
2,000
Great.
Unasema ukweli, mwanaume wake nyumbani anashinda naye masaa machache macho, mengine wanakuwa usingizini kwa uchovu wa siku
Wanawake wako hivo hawajui wanacho taka.....sio kwamba anakupenda wewe, ni issue ya ukaribu tu hata ungekua House boy kwamme we arafu ushinde nae atakutamani tu.....usifikiri kwamba wewe ni special walaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,681
2,000
Hiyo mbona kawaida sana! hata mkeo alikuwa ana mtu wake Anampenda ila ndio hivyo hakuna namna....kwa hiyo sio jambo geni sana muache mwenzio aoe atapendwa kidogokidogo muda ukienda...
 
kingunebe

JF-Expert Member
Jan 26, 2019
731
1,000
Wanawake wako hivo hawajui wanacho taka.....sio kwamba anakupenda wewe, ni issue ya ukaribu tu hata ungekua House boy kwamme we arafu ushinde nae atakutamani tu.....usifikiri kwamba wewe ni special walaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja kwa wanawake wasivokuwa na akili yan ile ukarbu tu inatosha kukutunuku so kwamba jamaa ampend hapana n kutokuwa na uamuz sahih

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom