Mi nafikiri haya maswala ya mahusiano na mapenz hayana mbwembwe, hakuna the best proven way ya kupata mtu sahihi.. it just happens kwa njia yoyote coz Mungu ana njia nyingi ya kuleta watu maishani...
Asante sana muhudumu wa gest uliyekuja kunitonya chap na kunipitisha mlango wa ziada la sivyo leo Zero ningekuwa General hospital dodoma nawekewa plasta na drip,
Wakuu nimenusulika kufumaniwa...
Salamu kwenu wana MMU.
Labda uwezo wangu wa kufikiri waweza kuwa mdogo.
Embu nisaidieni, nimejaribu kufikiri kwa kina nimeona kama hasara nizipatazo ni nyingi kuliko faida linapokuja swala zima...
Aisee! Huu wimbo unanigusa zaidi ya 90%, hapo kwenye kipande cha divorce tu ndo bado, ila ukweli ni kwamba nilipomwambia tu mama'ngu kuwa nimepata mchumba nataka kumuoa aliniuliza hili swali...
Nimekuwa kwenye harakati za kutaka kuoa ila kila nikiangalia wanawake ninaodate nao wengi wamezidi umri kuanzia 2 yrs; hili suala linanichanganya sana inakuaje naoa mwanamke aliyenizidi umri?? Je...
Habari wana Jamii.?
Husika na kichwa cha habari hapo juu,watu wamekuwa wakijiingiza kwenye mahusiano kwa kuambiwa kuwa amependwa au yeye binafsi kupenda sasa Je,kwa kupenda ama kupendwa huko...
Kuna huyu binti kacheza wimbo wa "washa" na Barnaba. Kwa kweli kila nikiangalia video ile namzimikia vilivyo. Zile movement anapocheza ni balaa, zinanimaliza kbs. Naweza kupata jina lake?
Dada mmoja aliniuliza, hivi kuna mwanaume kweli ambaye hachepuki! Nilimuuliza kwanini unasema hivyo akaniambia kuwa mume wake amekua msiri sana, simu yake kaweka Passwed anashindwa kujua kuwa...
Maumbile yasikutishe.... Mapenzi ni hisia sio mwonekano... She can be a very good wife material n after all ni wewe tu utakayemuona alivyo ndani....
Jr[emoji769]
Mwaka 2010/2011 nilikutana na Kuachana na Jasmin katika mazingira magumu Sana. Huyu alikuwa na Kaka yake aitwae Ali aliyekuwa akiuza Nywele za Sangita kwenye maduka Tabata na Buguruni. Alikuwa na...
Niliingia Ofisi Moja Maeneo ya KAMATA nilikuwa nafuatilia Shughuli zangu,jamaa nilishaongea nae Kwenye Simu akasema Njoo.
Nikidandia BodaBoda ya Dogo Mmoja Mjanja sana halafu huwa anajua...
Huu ni ukatili uliopitiliza aseeh..!!Yaani uyu chalii nikimwona peponi nahama coz ntajua ndo motoni,Aseeh,,but cha kushukuru katoto ni kazima.
@ChaliiYaKijengeJuu.
Mi nafikiri haya maswala ya mahusiano na mapenz hayana mbwembwe, hakuna the best proven way ya kupata mtu sahihi.. it just happens kwa njia yoyote coz Mungu ana njia nyingi ya kuleta watu maishani...
Habari za muda huu wanajukwaa, ni mara nyingine tunakutana katika jukwaa letu hili pendwa kwa ajili ya kujifunza.
Nikienda moja kwa moja kwenye mada, leo katika pitapita zangu huku na huko...
Naombeni kuuliza taratibu za kuoa binti wa kisafwa. Nimekuwa nikisikia kuna Barua na ndani iwe na pesa ,mara posa kwa binti so sielewi.. Msaada tafadhali
Najua wengi mnaona aibu na tayari mlishafahamika kwa ID kongwe. Unaona aibu watanionaje! Nitaonekanaje mimi? Ila nakuhakikishia ukija na ID kongwe huhitaji kutumia nguvu kumpata walau unayefanana...
Pamoja na kua mwanamke anatakiwa kua na sifa nyingi ila kwa sasa mwanamke yoyote anatakiwa kua na vitu vitatu tu vya muhimu. Hii haijalishi kama ni msomi au sio msomi, ana hela au hana hela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.