MDADA KWA AJILI YA SERIOUS RELATIONSHIP (NDOA)

Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
1,605
2,743
Mi nafikiri haya maswala ya mahusiano na mapenz hayana mbwembwe, hakuna the best proven way ya kupata mtu sahihi.. it just happens kwa njia yoyote coz Mungu ana njia nyingi ya kuleta watu maishani mwako, maybe this will be the right way kwa sababu bado naamini katika humanity, bado kuna watu wema hata kama sio 100%.


VIGEZO:

UMRI = 18 - 25

ELIMU = haijalishi

KAZI = haijalishi

KABILA = haijalishi

MWONEKANO = shepu sio ishu, ila mzuri wa sura.

MWENENDO = asiwe mtu wa anasa na mvivu coz mimi sio mtu wa anasa na sio mvivu.

DINI = mkristo

Mdada, Kama uko tayari kwa ajili ya mapenzi ya uwazi, upendo wa-dhati na wa-malengo, kujenga familia na maisha pamoja, karibu tuweze kufamiana zaidi labda tunaweza endana.



images.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anasa ni nini kwa definition yako?
Mvivu katika nini kwa definition yako?
 
Back
Top Bottom