Kati ya mwanamke aliyevaa suruali ya kubana na aliyevaa sketi fupi kuishia magotini, yupi anakuvutia?

Ghamoghi

Ghamoghi

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Messages
714
Likes
1,459
Points
180
Ghamoghi

Ghamoghi

JF-Expert Member
Joined May 15, 2017
714 1,459 180
Hapa ni kwa wanawake wanene na wenye chura za kutukuka.

Yupi anakuvutia kati ya hao kiasi kwamba ukimuangalia lazima akili ikuruke kidogo kwa jinsi alivyoumbika kwa chura na unene uliotukuka.
 
kimange

kimange

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2016
Messages
1,350
Likes
1,250
Points
280
Age
33
kimange

kimange

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2016
1,350 1,250 280
Kuvutia ni tofauti na kutamani
 
Jiwedogo

Jiwedogo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Messages
2,877
Likes
3,971
Points
280
Jiwedogo

Jiwedogo

JF-Expert Member
Joined May 23, 2017
2,877 3,971 280
Hapa ni kwa wanawake wanene na wenye chura za kutukuka.

Yupi anakuvutia kati ya hao kiasi kwamba ukimuangalia lazima akili ikuruke kidogo kwa jinsi alivyoumbika kwa chura na unene uliotukuka.
Kwahiyo hizi ndio sifa za mwanamke mzuri.....
Hadi mdogowangu umebaki wazi....
 
Ghamoghi

Ghamoghi

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Messages
714
Likes
1,459
Points
180
Ghamoghi

Ghamoghi

JF-Expert Member
Joined May 15, 2017
714 1,459 180
Kwahiyo hizi ndio sifa za mwanamke mzuri.....
Hadi mdogowangu umebaki wazi....
Hapo ni jinsi anavyovutia kutokana na mavazi hayo, haijalishi mzuri au mbaya

Hapa kigezo ni chura na unene
 
Jiwedogo

Jiwedogo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Messages
2,877
Likes
3,971
Points
280
Jiwedogo

Jiwedogo

JF-Expert Member
Joined May 23, 2017
2,877 3,971 280
Hapo ni jinsi anavyovutia kutokana na mavazi hayo, haijalishi mzuri au mbaya

Hapa kigezo ni chura na unene
Chura na unene, ni vigezo vyako binafsi na kwautashi wako ndio vitu vinavyo kuvutia kwa mwanamke.

Asante
 
Forum statistics

Threads 1,213,838
Members 462,336
Posts 28,492,151