Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Utafiti uliofanyika huko nchini Marekani na Uingereza umegundua kua ukosefu wa wanaume wanaovutia kiuchumi ndio sababu kubwa inayopelekea kushuka kwa idadi ya watu wanaofunda ndoa kila mwaka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni matumaini yangu mmeamka salama kama Mimi. Mlioamka vibaya, Mungu awasimamie siku yenu iwe nzuri.Bila kupoteza wakati naanza kutiririka yaliyomo moyoni mwangu. Siku chache zilizopita nilileta...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Women are complex creatures, a bundle of emotions and more often than not let their heart make decisions for them. More than all this, what they are is an “enigma”. No one can profess to have an...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu kuna dada nilikua natoka nae sasa leo kaniambia eti anaomba tubaki marafiki tu! wa kawaida eti kama nitakua namuhitaji atakua anakuja tupige mambo. Hii imekaa vipi kuna mtu ilishawai mtokea...
7 Reactions
86 Replies
6K Views
Bila ya kupoteza muda wana MMU. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka kati ya 26~30. Nimekuja kwenu hasa wanawake wenye kujitambua na kujielewa naomba wanisaidie hili. Ingawa Wanaume pia...
1 Reactions
75 Replies
6K Views
Mabinti waliolelewa kilelemama/kimayai ni shida sana. Siku ya kwanza kuonana naye nilimuweka kidogo tuu(almost 20 minutes). Akawa anadai eti amechoka kukaa. Tukaonana for the first time. Ni...
9 Reactions
113 Replies
10K Views
Ni mwanamke niliyetoa posa laki tisa baada ya siku tano akatoroka, hajulikani alipo lakini simu yake inapatikana hapokei simu kabsa. kwa anayejua namna ya kumpata anisaidie jamani Nb; naogopa...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
ni mjadala mkongwe zaidi duniani, mjadala wa vizazi na vizazi tangu kuumbwa kwa ulimwengu kwa muktadha wa kiimani Ni mjadala tata kuhusiana na kile kilichotokea pale Eden na ukweli kuhusu dhambi...
5 Reactions
71 Replies
10K Views
Baada ya miangaiko yangu ya hapa na pale,huwa naenda maeneo yenye utulivu na kupata moja moto moja baridi,na kama nitapata nafasi najaribu kuosha macho hapa na pale kwa kuangalia maua ya dunia...
1 Reactions
97 Replies
7K Views
Kwa kipindi sasa naimekuwa fashion kubwa sana Mahusiano Mengi kutosimama wala kuwa na hulka ya Heshima tena hasa kama Mnaishi Mbali ila niwambie kitu Mwanamke akianza tabia ya nje hata uwe na hela...
2 Reactions
4 Replies
963 Views
Habari zenu humu ndani. Mwenzenu leo sina furaha sana maana akili yangu yote inamuwaza Hajir mpenzi wangu tuliyeachana nae kama miezi zaidi ya minne sasa. Sema ukweli nilikuwa nampenda sana...
1 Reactions
92 Replies
11K Views
Kwa masingle mnaweza nishangaa...ila ni kweli kabisa, ndoa sio suruhisho la upweke. Ikiwa ni Mwaka wa tano sasa kwenye ndoa na hatujafanikiwa kupata mtoto maisha yangu yamejaa lots of common...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari zenu wana bodi, Ni kwamba tangu utotoni Nilikuwa na tabia ya huruma kupita kiasi. Mfano mtu akipatwa na tatizo najikuta namhurumia sana mpaka inapelekea niumie sana kana kwamba tatizo ni...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Hivi nyie wamiliki wa nyumba mmekuaje? Kwa hili mnazingua sana shida yenu ni pesa au?? Toka last week nahangaika sehemu ya kupanga, nimenda almost sehem 3 eti mwenye nyumba anakwambia...
5 Reactions
78 Replies
8K Views
Mimi binafsi naona hawa wenzetu wa jinsia ya kike swala la kuvunja mahusiano kwao ni kitu cha kawaida sana! Hawaumii km sisi ndio maana haoni hatari kama akipata mtu wa maslahi muda wowote hata km...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Katika tembea tembea zangu mwenyewe nikiwa mpweke, kwambaali nikaona watu wawili Nika ashum wote watakua ni wanawake, hivo basi nikakaza mwendo kidogo ili niwafikie ili angalau nuwasalimie Tu na...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Watu wengi walio lonely ambao hawana kazi ndo huwa wanaangaika sana na mapenzi na ikitokea wameachana huwa anaumia sana maana mara nyingi un anakuta unamuwaza Ila kama una mambo yako uko busy...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni kama mwezi nimeachana na mchumba wangu sasa moyoni natamani sana nimjue aliyechukua nafasi yangu yani mwanaume mpya wa x girlfriend wangu.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
"Mzee wa kasumba" Ninakabiliwa na matatizo makubwa hasa katika upande wa kusaka ngenya / papuchi / vipochi manyoya. Siku kadhaa zilizopita nilileta UZI wa kudai kuwa Nina upepo wa kuachwa achwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kila mzazi hufurahia mtoto anapofikia umri wa kutambaa na hatimaye kusimama na kutembea. Mtoto anakuwa amepata uhuru mpya unaomuwezesha kutoka sehemu moja kwenda nyingine mwenyewe. Pamoja na...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom