Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,245
- 2,856
Ni mwanamke niliyetoa posa laki tisa baada ya siku tano akatoroka, hajulikani alipo lakini simu yake inapatikana hapokei simu kabsa. kwa anayejua namna ya kumpata anisaidie jamani
Nb; naogopa kuweka namba zake hapa lakini kwa atakaye hitaji nitampatia. Ninatashukuru kwa atakaye nguswa na kilio changu na kutoa msaada wake.
Nb; naogopa kuweka namba zake hapa lakini kwa atakaye hitaji nitampatia. Ninatashukuru kwa atakaye nguswa na kilio changu na kutoa msaada wake.