Nahisi nahitaji kuombewa (Nina nuksi)

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,432
2,892
"Mzee wa kasumba"

Ninakabiliwa na matatizo makubwa hasa katika upande wa kusaka ngenya / papuchi / vipochi manyoya.

Siku kadhaa zilizopita nilileta UZI wa kudai kuwa Nina upepo wa kuachwa achwa na wanawake. Sasa Hili jambo naona linazidi kushika kasi kwangu.

Kibaya zaidi nikwamba hata nikimtaka binti ama msichana huwa ananikataa vikali Sana. Na hili suala bwana kwangu si kawaida kabisaaaaaaaa.

Daah mpaka najishangaa kijana mimi mwenye swaga tele kweli Mimi ni wa kukataliwa?Oooh jamani nahisi kuna kitu hapa.Kitu gani kimenikumba mimi kijana mwerevu?Kitu gani kimenikumba mimi mwanaume wa mbegu?Nisaidieni jamani
 
Kwel unayo nuksi mda wote huu uzi una reply chache

Hata I'd za kike zinauchungulia haziujibu
 
"Mzee wa kasumba"

Ninakabiliwa na matatizo makubwa hasa katika upande wa kusaka ngenya / papuchi / vipochi manyoya.

Siku kadhaa zilizopita nilileta UZI wa kudai kuwa Nina upepo wa kuachwa achwa na wanawake. Sasa Hili jambo naona linazidi kushika kasi kwangu.

Kibaya zaidi nikwamba hata nikimtaka binti ama msichana huwa ananikataa vikali Sana. Na hili suala bwana kwangu si kawaida kabisaaaaaaaa.

Daah mpaka najishangaa kijana mimi mwenye swaga tele kweli Mimi ni wa kukataliwa?Oooh jamani nahisi kuna kitu hapa.Kitu gani kimenikumba mimi kijana mwerevu?Kitu gani kimenikumba mimi mwanaume wa mbegu?Nisaidieni jamani
Swagger bila pesa haviendani. Fanya mchakato wa kuwa vzr financially watakuja wenyewe.
 
wanawake wana uwezo wa kudetect vitu.
Kwa jinsi ulivyojielezea inaonesha ukienda kuongea nao wanadetect kuwa upo immature.

unaweza ukamkwapua mmoja bahati mbaya ila baada ya mda atadetect tu wewe ni immature, na ndio itakua mwisho wako wa kula vinono.
 
Nifafanulie immature.

Lugha kidogo imenipiga chenga
 
Kwa hali jinsi ilivyo watu wanasaka ndoa...sasa ukienda kwa staili ya kubamiza tu na kukimbia,inakuwa ngumu kukubalia;vinginevyo labda upate mtu aliyekuwa anatafuta mtu wa kumburudisha tu.
 
Back
Top Bottom