Ndugu zangu wanaJF, ndugu yenu nashindwa kuelewa nakwama wapi kwani kila nikipata girlfriend hauishi mwaka tushaachana. Kupata mwingine ndio mtihani kabisa. Pia licha ya kuwa na hao girlfriends...
Habari zenu wana jf ... Ana hitaji kuwa barmed kutokana na ugumu wa maisha anao pitia. Anaomba ushauri wenu na ni njia zipi atumie anapokuwa muhudumu kuepuka ku laghaiwa ..Napia anaomba kujua...
Habari wanaJf. Ndugu zangu wana Jf na kwa vijana wenzangu ambao hamjaoa au mnaelekea kufunga pingu za maisha au bado mpo kwenye mchakato wa kutafuta mpenzi/ mchumba. Usijaribu kuanzisha uhusiano...
Kwa kweli kuanzia sasa sitaki niwe na mahusiano na binti aliye chini ya miaka 25, nimekuwa na mabinti wa umri tajwa. Licha ya kuwa na maumbile ya kuvutia na miili iliyostable, kumbe kwenye sita...
TUMPONGEZE MAJAY KWA KUMSUBIRI LULU AKUE
STAA wa Bongo Movie, Elizabeth Michael 'Lulu' na CEO wa E Media, inayomiliki redio EFM na runinga ya ETV, Francis Ciza 'Majay', wameshatangaza ndoa...
Wasalaam ndugu,
Nahitaji kujua kutoka kwa wale ambao mmeingia katika ndoa lakini mmekulia katika familia ambazo wazazi wenu hawakuwa na maelewano mazuri au walitengana kwa hiyo ikakulazimisha...
1. Hujifanya yupo tayari kukfanyia lolote hata liwe nje ya uwezo. Hapo b4 hujampa mwili wako.
2. Mwanzoni mkiwa mnawasiliana anajidai hapend ngono na hana haraka nayo.
3. Bingwa wa kukutambulisha...
Habari naombeni ushauri!!nimekuwa kwenye mahusiano na binti almost miaka minne japo ni dini tofauti yeye muislamu,mimi mkristo!!Tumefanya vitu vingi sana pamoja na kushirikiana katika mengi tu...
Habarini jf members,, kama heading inavyosema natafuta girl friend mwenye age 18-21,, na awe ready kunipa mchezo pindi ninapo hitaji,, awe anaishi dar es salaam
Kila siku mahusiano mapya yanaibuka si mashuleni, ofisini na hata mtaani. Lakini pia kila siku mahusiano haya ya kimapenzi yanavunjika
Utasikia Mwajuma alikuwa Ali akaachana naye kabla ya kwenda...
Mahusiano mazuri uimarisha uchapaji kazi.Kama mnaelewana vizuri na mpezi wako,mume au mke wako ufanisi wa ufanyaji kazi au utafutaji wa pesa unakuwa ni mkubwa.Na hii nilishashuhudia,unajikuta...
Jumamosi & jumapili unazitumiaje ukiwa na mpenzi wako?Ni vizuri kwa watu wanaopendana iwe ni wapenzi, mume,mke au familia kutumia siku za mapumziko (wkend) au siku yoyote itakayowakutanisha kwa...
Sijui hii adha nakutana nayo mimi mwenyewe au kuna watu wengine wanakabiliana na hii hali.
Niliacha kutumia facebook kwa sababu ya usumbufu wa mashoga, tena vijana wadogo kabisa na wengine watu...
Wasalaamu!!! Weekend ndio hiyo imepamba moto
Sasa tuambiane majina ya michepuko tuliyoyasave kwenye simu zetu.
Nikianza na mimi ninao wawili wa
kwanza nimesave crdb mkopo uyu hata usipopokea simu...
Mwanadada ambae una ndoto za kuolewa na mtu mwenye sifa zote za mwanaume....Nakushauri waamini hawa askari!
Ni shupavu, wanajitambua, hawasusi ovyo, pia wanaaminika na serikali kwa 100% sasa...
Tunajua maisha ni kupambana na kutafuta,pia kujiweka smart na kuwa na manukato ya kunukia vizuri vizuri ni muhimu sana hii inaongeza mvuto kwa Mr. au Mrs
Na kuamini ya kuwa yuko na mtu sahihi...
Daaah mda wa nyuma kidogo nilikua na Mahusiano na Binti mmoja alikua ana miaka 23 akaniambia yeye ni Bikra na Tusifanye mapenzi mpaka nimuoe mimi nikakubali bana nikijua Mwanamke ni bikra.
Siku...
Daktari mmoja huko Kenya ametoa mpya kwenye uchepukaji wake kwa kufoji cheti cha kifo cha mkewe ili awe huru kuoa mchepuko wake. Yaani huyo daktari ana mke ambaye ni nesi na watoto wanne.
Mwaka...
Habari zenu ndugu zangu.
Mdogo wangu hapa ameniomba ushauri nami nikaona nililete kwenu naweza kupata ushauri mzuri na wa busara zaidi ya nifikiriavyo.
Mdogo wangu ana 19 years, bado yupo chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.