Friend's With benefit

Wakuu kuna dada nilikua natoka nae sasa leo kaniambia eti anaomba tubaki marafiki tu! wa kawaida eti kama nitakua namuhitaji atakua anakuja tupige mambo.
Hii imekaa vipi kuna mtu ilishawai mtokea embu tupeane kidogo mawazo.
Tafsiri yake ni kwamba Kwenye mahusiano yako na huyo mwanamke huna unachotoa zaidi ya sex, ameshampata mwenye malengo nae
 
Back
Top Bottom