Habr wadau
Wakubwaa! Nilikuwa na mahusiana na dada mmoja hv wa kishua nikiwa mwaka wa tatu UDSM, yeye alikuwa anasoma certificate chuo flan kilichopo kimaraa!!
Baada ya kumaliza chuo kaenda home...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Kuna binti ni mpenzi wangu tuna miezi 10 sasa toka tunapendana mpaka imefikia kuahidiana kujenga familia moja. Cha kusikitisha na kutia hasira mpaka naomba...
aseeee!
mwanamke wa huko ma ufilipino, india, mwanamke wa huko the United states of A (sio black), kwa malkia Uingland huko asee ndio mapenzi yalipo msee wangu.
huku kwetu mablack tunauziwa...
kabla ya yote napenda kwanza kumshukuru
MUNGU kwa kunifanya niwe salama mpaka
sasa,pia nina imani nyie pia mpo salama
vilevile na tuendelee kumwomba MUNGU
asimame mbele yetu siku zote za maisha...
kumbe kuna watu wanalilia ndoa,wengine wanafanya madudu
Amini usiamini Nigeria ina upungufu wa wanaume wa kuoa!! Kiasi kwamba wanawake wanaotamani kupata wenza na kutengeneza familia wameamua...
Wanajamii najitokeza mara ya kwanza kuomba maoni na michango yenu juu ya swali hili linalonitatiza. Binafsi nikiwa kama kijana na muumini mzuri wa mila na desturi za mwafrika natatizwa na umri...
Katika tafiti zangu nilizofanya wadogo zetu wa kike mmekua watu wa ajabu sana kitabia na kusababisha hata kuolewa imekuwa shida sana.
Mfano hai mi wadogo zangu wa3 wanazekea home wameona mda...
HABARI ZENU WANA JF
Kwa Majina Naitwa Tyron goodluck
Mwanzoni mwa Mwaka huu 25/1/ 2019
kuna msichana nilimpatia Ujauzito
Hivyo Nime mlea na sasa yuko ktk hatua zake za mwisho tayr kwa...
Sijajua kwa nini wanaume tunapenda kuoa wanawake wakawaida sana wasio na mvuto sana tena tunawatoa vijijini, sijajua kama ni uoga wa kuwa na mke mrembo au nini?
Jamani mwenye uelewa zaidi atujuze.
Habari
Ni kijana wa miaka 27
Kutokana na matatizo Yangu(kiafya)sitoweza kuzalisha kwa njia ya kawaida.
Ukiacha tatizo hilo,Niko mzima wa afya na mchapa kazi.
Nimejiajiri
Ni msomi,mstaarabu na...
Tunavyoweza kupeana tupeaneni ila tusipeane matatizo.Kama wewe mkaka kuna kitu unaweza kumpatia mdada mpatie,na wewe mdada kama unakitu cha kumpatia mkaka mpatie....ila kumbuka usimpatie...
Mimi ni member mkongwe humu. Ninaishi Sweden na nina passport kwa sasa.
Nilikutana na kijana Mtanzania aliyekuwa na viza ya uanafunzi 2007 kumbe alikuwa muathirika. Nilimkaribisha nyumbani...
Mimi ni kijana wa takribani miaka 29 sasa,lengo la kuanzisha uzi huu wala si kitu kingine zaidi ya kutafuta mwenza ambae baadae atakuja kuwa Mke wangu
Najua kwa sasa atapopatikana kwasababu...
Long distance live is when two of you are physically apart, you can communicate via letters, emails and nowadays smartphones have made life easier.
Active communication and trust are essentials...
Nipo dar natafuta mwanamke wa kuwa naye kimaisha na awe mkweli na muaminifu. Sina ubaguzi wa elimu,kabila hata dini. Muhimu awe mkweli. Anitafute 0713341651
Bwana Yesu asifiwe wapendwa!!!!
Nimefanya utafiti nimegundua wadada wengi wenye elimu za juu ndo wanaoongoza kuzalishwa na kuachwa, Ukilinganisha na wa vijijini.
>> Maana wale wa vijijini...
Salaam wanabodi!
Zaidi ya asilimia 90 ya shughuli zangu za siku zinategemea matumizi ya simu. Lakini simu hii imekuwa inaniletea ugomvi wa mara mwa mara nyumbani, kila siku ugomvi.
Shida ni...
Wakuu leo nina appointment au ahadi ya kuonana na mdada nisiyemfahu ila tulikuwa tunachat PM tu kuanzia week iliyopita. Tukatongoza tukaelewana wenyewe.
Sasa leo saa kumi na moja jioni ndiyo...
Zakuambiwa changanya nazako. Kutokana nanyuzi nyingi humu zawatu wanaojiita mabaharia kuwa wanawake wenye umri kuanzia miaka 25 nakuendelea kuwa wapo vizuri kitandani, basi namimi nikasema ngoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.