Utafiti: Ukosefu wa wanaume wanaovutia kiuchumi sababu ya kushuka kwa viwango wa watu kuoana.

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Utafiti uliofanyika huko nchini Marekani na Uingereza umegundua kua ukosefu wa wanaume wanaovutia kiuchumi ndio sababu kubwa inayopelekea kushuka kwa idadi ya watu wanaofunda ndoa kila mwaka.

Idadi ya watu wazima ambao hawako kwenye ndoa inazidi kua kubwa siku hadi siku kutokana na wanaume wengi kutokua na mvuto wakiuchumi.

Soma huo utafiti.

Wanaume tutafte hela.
 
Mapenzi /ndoa siyo pesa wala uchumi, Bali ni upendo wa dhati kabisa kutoka moyoni KWA mtu mwenyewe. Endapo kama kweli mapenzi ndio pesa basi kila MTU angependa kuoa au kuolewa na pesa badala ya binadamu mwenzake.

TAKE A GREAT CARE!
Any person (man or woman) who intending to enter into a marriage must take a note about the following issues:-
1.Marriage-business Contract.
2.Marriage Contract.

Kupanga ni Kuchagua, kwa hiyo kazi kwako, kwa sababu mwenye macho haambiwi tazama!

" AKILI kumkichwa, na UJINGA nao kumkichwa"!
 
Akili ni nywele, hao watafiti hata Zero IQ anawazidi upeo, si ndiyo hao hao walidai Wanawake wenye makalio makubwa huzaa watoto wenye akili sana hadi Behaviourist anahangaika kila siku kutafuta Mwanamke mwenye makalio makubwa badala ya Mke mwema?

Natania tu Cc Behaviourist
 
Jua liongeze kasi, zama hizi za kudhulumu upendo wa kweli kwa kigezo cha pesa, zipite upesi.
 
Back
Top Bottom