Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
Ni kama mwezi nimeachana na mchumba wangu sasa moyoni natamani sana nimjue aliyechukua nafasi yangu yani mwanaume mpya wa x girlfriend wangu.
Akishamjua atapiga nae selfieMkuu Wanipa raha sasa ukishamjua iweje,ila ucjl Fanya iv mweke x wako karib kdg tu utamjua mpya wake
Aiseeeh mecheka kwa saut[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Akishamjua atapiga nae selfie
Kweli kabisa akubali tu matokeo afu ibaki story tuKuharibiana CV [emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Mimi.....unasemaje???Ni kama mwezi nimeachana na mchumba wangu sasa moyoni natamani sana nimjue aliyechukua nafasi yangu yani mwanaume mpya wa x girlfriend wangu
Nikutumie snap moja matata nikila vyangu angalia utalazwa MOINi kama mwezi nimeachana na mchumba wangu sasa moyoni natamani sana nimjue aliyechukua nafasi yangu yani mwanaume mpya wa x girlfriend wangu.