Wamiliki wa nyumba kwa kutopangisha wasiooa mnazingua

Champagnee

Champagnee

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Messages
3,261
Points
2,000
Champagnee

Champagnee

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2019
3,261 2,000
Hivi nyie wamiliki wa nyumba mmekuaje? Kwa hili mnazingua sana shida yenu ni pesa au??

Toka last week nahangaika sehemu ya kupanga, nimenda almost sehem 3 eti mwenye nyumba anakwambia hapangaishi kwa vijana ambao hatujaoa sasa sisi tuna nini?

Kwamba hatulipi kodi??. Maendeleo hayana chama hivi ndo huu utararibu upya umeanza au?
 
mzee wa kasumba

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Messages
789
Points
1,000
mzee wa kasumba

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2018
789 1,000
Hivi nyie wamiliki wa nyumba mmekuaje?? Kwa hili mnazingua sana shida yenu ni pesa au?? toka last week nahangaika sehemu ya kupanga, nimenda almost sehem 3 eti mwenye nyumba anakwambia hapangaishi kwa vijana ambao hatujaoa sasa sisi tuna nini?? Kwamba hatulipi kodi??. Maendeleo hayana chama hivi ndo huu utararibu upya umeanza au??
Tafuta nyumba za mabaharia wenzako hawana hizo
 
Ethical Ninja CEH

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Messages
3,901
Points
2,000
Ethical Ninja CEH

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined May 16, 2011
3,901 2,000
Hawataki uzinzi kwenye nyumba zao... sema umeoa mkeo yupo mkoa mwingine kikazi atakua anakuja kukutembelea mara kwa mara... ukiulizwa cheti cha ndo hapo kazi kwako.
Anawaambia ndoa ya kimila
 
Champagnee

Champagnee

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Messages
3,261
Points
2,000
Champagnee

Champagnee

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2019
3,261 2,000
Tatizo mnajiita mabaharia wakati mmekulia huko Makongorosi Chunya hamjui hata meli na bahari vinafananaje.
WACHA WAISOME NAMBA......
Ubaharia unaingiaje na kupanga??
 
mbaga jr

mbaga jr

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2018
Messages
3,930
Points
2,000
mbaga jr

mbaga jr

JF-Expert Member
Joined May 28, 2018
3,930 2,000
wanaogopa utatoka na mke wa mwenye nyumba
 
Atoto

Atoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
60,360
Points
2,000
Atoto

Atoto

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
60,360 2,000
Hawataki tabia zenu chafu kwenye nyumba zao.
 
Chrismoris

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
11,229
Points
2,000
Chrismoris

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
11,229 2,000
Hivi nyie wamiliki wa nyumba mmekuaje?? Kwa hili mnazingua sana shida yenu ni pesa au?? toka last week nahangaika sehemu ya kupanga, nimenda almost sehem 3 eti mwenye nyumba anakwambia hapangaishi kwa vijana ambao hatujaoa sasa sisi tuna nini?? Kwamba hatulipi kodi??. Maendeleo hayana chama hivi ndo huu utararibu upya umeanza au??
Nyie vijana ambao hamjaoa huwa mna tabia za kishenzi sana.
 

Forum statistics

Threads 1,336,343
Members 512,581
Posts 32,535,328
Top