Katika maisha ya kawaida,ukimueleza mtu shida zako au matatizo yako na akashindwa kukupa ushauri au usuluhishi wa maana...na matokeo yake anakuambia tumuachie Mungu,jua ya kuwa huyo mtu hana...
Leo ilikuwa siku ya kuonana na mchumba wangu lakini mda wa asubuhi akaniaga anaenda kwa shangazi yake ni mbali kiasi na kaniambia anataka nauli nikampa 50,000 sababu ni mbali kiasi.
Sasa mida ya...
Habari za muda huu wadau wa JF, bila kupoteza muda ngoja niende moja kwa moja kwenye topic. Issue ipo hivi;
Kuna demu mmoja anajishughulisha na mambo yake hapa mjini, nilianza mahusia naye...
Habari za jioni wana MMU,
Mimi ni msichana am dating a Guy who is a little bit older than me. I have been loving this guy toka enzi hizo when I was still katoto but I never took it serious until...
Tarehe 13 Juni 2018, msamaria mwema alipiga simu namba 116 – Huduma ya Simu kwa Mtoto akiripoti kisa cha mtoto aitwaye Irene* (sio jina lake halisi), mwenye umri wa miaka 10 ambaye anaishi na bibi...
Asubui unakimbilia kutoa smart card kisa mtu anayebaki nyumbani na watoto wako na pia anayekupikia asiangalie TV......tuweni na utu jamani. Hawa wanaishi kama sisi...mpe ratiba yako ya kazi then...
Kama mnavyojua Wanawake huwa tunapenda kwa hisia ndivyo tulivyo umbwa, je kipi bora kuwa na Mwanaume ambaye huna hisia naye lakini ana mapenzi ya dhati kwa kifupi anakujali, anakufanya ufurahie...
Kwenye mizunguko ya apa na pale nmegundua kua suluhisho mbadala kwa wale wenye matatizo ya uhanisi na nguv za kiume
USHAURI: Tembelea Mlimani City Siku Za Weekend Alaf Ukae Kwenye Vile Vibenchi...
Kuna mambo mengine wanawake huwa wanajisahau sana.
Eti utakuta umezaa na kuishi na mke / mwanamke wako kwa kipindi fulani, sasa mnapogombana anaamua kuondoka na kukimbia na mtoto ili akukomeshe...
Andika maumivu, zile shanga au cheni anazovaa demu wako sio kwa ajili yako tu, zile ni kwa ajili ya wengine pia atakaokutana nao huko kwny mishe mishe zake!
Ndio maana hata asipokuwa na wewe bado...
Hello Guys
Kama kawaida yangu huwa sina stori za mitaani, nina simulizi ambazo ni true stories!
Kuna mwana ana mchumba wake, nadhani mwaka wa tatu sasa, huyo demu wake ndio kwanza kamaliza chuo...
Naomba utaje sababu kuu ambazo zinasababisha 99% ya akina Dada wengi kuwachukia na kutokuwa na Uhusiano mzuri na Wapenzi / Wake za Kaka zao.
Naomba kuwasilisha.
Habarini ndugu zangu
Mimi umri wangu bado sijafikisha miaka 30 ila nimkubwa kiukweli yaani nimekuwa mkubwa. Swali langu hapo juu linajieleza,
Siku, miezi, miaka inavyozidi kwenda nimekuwa...
Wanawake hua hawaelewi wanaume kupendelea kutoka na mabinti wadogo zaidi ya umri wao.
Wengi hukimbilia kusema wanaume tunapenda mteremko, kwamba mabinti wadogo tunawarubuni na kuwashawishi kwa...
Wanajamii,
Embu tukumbushie kama kichwa cha habari hapo juu,
Mimi sitasahau nilifumaniwa na lizee limoja niko na msichana wake tena geto na msichana kabisa! Sitasahau niliruka ukuta na wala...
kuna jambo linanitokea kuhusu ex-wangu ambaye tulipendana vizuri tu lakini baadae akanisaliti na kwenda kuolewa na kibopa. jambo lenyewe ni hili;
tangu tumeachana, kila mara ninapoangalia simu...
Aisee hakuna changamoto kubwa kama kuishi na ndugu wa mume na wakwe kwenye nyumba mojaa, kweli kiba na ufisi wao maana walimlaa Gigy yeye na abdukiba sasa leo hii huu undugu wa kujazana sehemu...
Kuna mdada nna dating nae muda tu.
Lakini mara kwa mara anapenda sana niambia kuna mtu flani alinitaka mara huyu ananifuata fuata yaan muda mwingine nakereka.....
Kuna siku nikamfuma ana flirt...
Miaka mingi wanaume wa kiafrika tumekuwa na shida sana katika kuoa jamii hizi mbili.
1. wahindi
2. waarabu
na hili limetufanya tubaki wanyonge kwa kiasi kikubwa snaa tukiwalalamikia dada zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.