Nimemkumbuka Ex wangu

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Messages
739
Points
1,000

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2018
739 1,000
Habari zenu humu ndani.
Mwenzenu leo sina furaha sana maana akili yangu yote inamuwaza Hajir mpenzi wangu tuliyeachana nae kama miezi zaidi ya minne sasa.

Sema ukweli nilikuwa nampenda sana Hajir wangu. Tangu tuachane nimejaribu kuingia kwenye mahusiano mapya kama mara tatu hivi lakini wapi, sipati furaha kama niliyokuwa nayo nilipokuwa na Hajir.

Nakumbuka tulipoachana nilifuta namba yake ili nikate mawasiliano naye kabisa. Hili halikusaidia maana namba take imo kichwani mwangu.

Anyway, kama yumo humu naomba anisamehe kwa niliyomtendea anisamehe tuishi kama zamani. Niliyokufanyia ilikuwa ni hasira tu Hajir mpenzi wangu. Nakupenda sana.
 

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
4,426
Points
2,000

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
4,426 2,000
Kama kasha move on, hakuna utakachobadili na hata kama akikurudia nothing will ever be the same again.!!
Learn to accept the reality though it real hurts sometimes, nothing lasts forever, even that pain will cease one day.!!
I can feel you..!!
Mm sitasahau nilivokua nahema mvuke wa moto kama ndani nachemsha maji
 

Forum statistics

Threads 1,344,661
Members 515,970
Posts 32,831,185
Top