Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Uzoefu unaonyesha kuwa ndoa ambazo gharama zinakuwa kiduchi zinadumu sana angalia hii video wabongo wakienda ukumbini
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Raha ya mapenzi ni kukutana na kitu original ambacho hakijawahi kuzinduliwa Mwanamme wa kweli ni yule ambaye katika historia yake lazima awe amewahi kubikiri kuliko kubaki kukodoa macho na...
7 Reactions
65 Replies
10K Views
Mbona wanawake wa siku hizi ni pasua kichwa sana nmefanya tafit ya maeneo tofaut na kugundua wengi wao wako kimaslai zaid ingawa nilikuwaga mwanzo nasikia tu kwa watu tofauti.unakuta unakutana na...
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Kuna kazi zingine zina ushawishi sana asa hiii kazi yangu ya kiwanda cha Uchakataji wa viazi kuwa Chipsi, Huyu mke wa mtu ni mteja wangu wala sikuwa na mahusiano nae au ata ile dalili ya kutaka...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Hili ni swali ambalo huwa limo kichwani mwa kina dada wengi wanapo tongozwa hakwambii lakini sisi wanaume lazima tujue lipo kichwani mwao. Wao husema kuwa wao ndio hustahili kupewa pesa na...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Aise kweli maisha ni ubunifu! Huyu dada poa funga kazi kabisa, ana bodyguard wawili wa kusimamia endapo itatokea fujo. Issue ipo hivi: Juzi hapa baada ya game ya Liver na Napoli kuisha nilikwenda...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakubwa sasa kazi kwenu hapo kama mnaogopa mademu ushauri wa bure huu hapa. Partnership advice#1 Smile Smile. Women are smile-addicts. A few well-placed smiles, a happy attitude, some...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nahitaji mwanamke ili aje awe mke wangu Dini yangu ni mkristo na nina kazi inayoniingizia kipato Umri wangu ni miaka 35 na nina mtoto mmoja wa kiume Situmii kilevi chochote, sio mtu wa starehe...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wakuu Niko kwenye usahili wa kutafuta mwanamke wa kuoa mnamo mwakani kama Mungu atajaalia. Sasa kuna binti ambae anaongoza kura za maoni mpaka sasa kukabidhiwa nafasi hiyo,Ila kiukweli...
1 Reactions
192 Replies
14K Views
Wana jukwaa salama Kwanza kabsa niende moja kwa moja kwenye mada rose n mwanamke niliempenda sana takriban kwa miaka minne nikiwa nae kwenye mahusiano tulipitia mengi alinifanya nifumbe macho...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nlipopata kazi kwa mara ya kwanza na kuanza kuishi jijini Dar Es Salaam kuna changamoto nlikumbana nazo kama kijana kijogoo, nlianza kujirusha maeneo ya kinondoni hasa masai club ambayo siku izi...
4 Reactions
20 Replies
10K Views
Pamoja na kwamba kudanga ni utamaduni ama biashara kongwe nchini na kwingineko, asee kwa miaka hii ya karibuni KUDANGA kumekuwa kama LAZIMA kwa Dada zetu. Yaani mtu anadanga utadhani anapata...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimekuwa mkubwa jamani Sasa nataka kuoa. Mimi katika tumbo letu mimi ndio wakiume pekee, tupo watatu namimi ndio wapili kuzaliwa, wazazi wetu wote walisha rest panapostahili. Ndugu wengine...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zenu wadau na poleni kwa kuwavamia asubuhi km hii. ni member mpya lkn ni mdau wa miaka mingi humu natembelea si chini ya mara tano kwa siku na kwa miaka mingi. kwenye mada! kuna binti...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
kuna kawimbo kakichokozi mno kanaimbwa na wazee fulani hivi kibarazani huku wakinywa bia Mmoja anaaza.... Matembele..... Wengine wanaitikia... Matembele ni matamu kama mke wa jirani... Halafu...
13 Reactions
137 Replies
47K Views
Wakubwa Habari za wakati huu.? I hope mko poa,,Bas bhana leo kuna chaliangu alinipitia kumsindikiza kwa Manzi ake,Kwakua ni mwamba sikuona kwere yoyote so nikaamua kumsindikiza...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mahusiano mengi huwa yanafanyika kwa kificho,na hii ni ishara ya kutokuaminiana au upande mmoja haujaukubali upande mwingine kwa 100%. Je ukiwa na mwenzako huwa unaujasiri wa kumshika mkono...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Aina ya kwanza ni mke anayemsikiliza mumewe, anayemtii na kuelewa anachotaka, mpole, mvumilivu, mwenye subra.. Na hata mumewe anapokasirika yeye humtuliza kwa tabasamu linalovutia na kumfanya...
11 Reactions
29 Replies
4K Views
Ulimtafutia mchumba ndugu yako mwaka mmoja baada ya kuoana ndoa yao inaanza kuwa ndoana,Mara kadhaa unaletewa mashtaka na mara zote upande mmoja unaonekana una shida kubwa,je ukiamua kutengeneza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom