Habari za majukumu wanaJF.
Naandika uzi huu ikiwa ni saa kumi na robo za usiku, nimewaza na kuwazua ila hili naona limenizidi uwezo na nimeshindwa kulitatua.
Jambo hili sikupenda kuliweka hapa...
Hellow bosses
kwanza happy Valentine kwa wote mimi kama Ultimate nawakubali sana wana jf
leo ikiwa ni siku ya valentine embu tuambie ulikutana wapi na mpenzi wako wa sasa na ilikua lini kama...
Rejea kichwa cha habari hapo juu
Nnahitaji mwanamke atakae kuwa na mapenzi ya dhati, wasifu wangu
>Mrefu wa Wastani
>maji ya kunde
>Nimejiajiri
>Sina nyumba nimepanga room 1
>Nipo DSM
>Elimu ya...
Marhaba!
As far as head above is concerned!
Katika experience yangu Mapenzi nimeshuhudia na kupitia Makundi yote ya mapenzi ambayo ni;
Kundi ambalo ni kipenzi cha Wanawake(kila...
Nashangaa sana kusikia eti mavazi fulani ya wanawake huchangia kuongeza maambukizi ya hiv. Hivi wanawake kukaa vibaya au kuvaa vibaya inawahusu nini nyie wanaumewa kiafrika?
Mbona wazungu wao sio...
Mimi ni mfanyakazi katika kampuni flani hapa dsm,kuna msichana mmoja alifanya field kwenye kampuni ninapofanyia kazi na ivi sasa anaenda kumalizia chuo mwaka wa tatu na ana miaka 23 nilitokea...
Wakati babaake Bryan Jackson alipomdunga sindano ya virusi vya HIV mwanawe mchanga, alitumai kwamba hatamuona akikuwa.
Hakuna mtu aliyedhani kwamba miaka 24 baadaye atakabiliana na mwanawe...
binafsi porn kwangu ni darasa la ngono....
imenifanya niwe mtundu zaidi wakati nikichakata papuchi, na nimejizolea sifa nyingi sana kwa niliowachakata...
pongezi za dhati ziwaendee waandaj wa porn...
Nimesex na msichana kama mara 5 hivi lakini ndani ya huo mda kila siku naweza kumpima lakini hataki siku moja usiku akawa anakohoa sana nikawa nina mashaka naye sana nikamuuliza vipi? mbona...
Ewe ndugu acha kujipa moyo kwamba flani hana kwa kumtizama na kuridhika na umbile lake kubwa.
ARVs zipo zinafanya watu wanakua vibonge na ngozi zao zinakua nyororo mno!
Siku hizi hakuna kukohoa...
BADO NAKUPENDA SANA:01 "Ni muda sasa umepita, nimejikaza lakini nashindwa kuendelea, ukweli ni kwamba BADO NAKUPENDA SANA, bado Nakupenda Hansy, kuna muda najuta kwanini nilikufahamu, lakini...
...........ilikuwa ni asubuhi ngumu iliyoongozwa na stress zisizo elezeka, za kuogopesha sana sikuwahi hata siku moja kuamka hivyo, lakini zilikuja kukatwa kwa furaha zisizo na kifani zikiongozwa...
Hello wapendwa JF
Watu wengi wanatumia Condoms wakati wa mapenzi ambayo ni sawa, pia watu wengi
hufanya mapenzi kwa kunyonyana ambayo kama huna vidonda mdomoni au fizi
zako hazina matatizo ya...
MH RAIS KIKWETE alisema majuzi kawe anatamani neti ingekuwa inazuia ukimwi...amesikitika sana kwa jinsi watu wanavyousambaza kwa makusudi akaapa kufa nao sahan moja ...rais kikwete alikuwa katik...
Wapendwa habarini za leo?? I hope weekend ilikuwa njema.
Juzi nilikuwa mahali nikayasikiliza mazungumzo yaliyokuwa yanahusu UKIMWI. Wahusika walikuwa wanazungumzia namna ya kuweza kujikinga na...
Mamia ya akaunti za waigizaji wa filamu za ngono zimetolewa katoka mtandao wa Instagram mwaka huu, huku wengi wakisema watu hao wako katika hadhi tofauti kuliko nyota wa kawaida.
Mtandao huo...
You Niggas hopefully mko fit,niende direct kwene mada
To be honestly mi kubembeleza siwezi kabisa na hii hali imepelekea some time nashindwa dumu kwene mahusiano na some time nakua single muda...
Heshima kenu wakuu, nimeona nongee hapa labda maumivu yatapungua. nipo kwnye ndoa mwaka wa 8 sasa. ila nimeangukia kwenye penzi na binti wa miaka 20 ambaye ni mfanyakazi wangu wa ndani. msianze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.