Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wakuu, kuna mdada mmoja nimetokea kumkubali sana shida ni moja kila nikimuona anakuwa na kampani na mtu mwingine Huwa atembei peke yake akienda dukani anaenda na dada ake, akienda...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Nimeipata hii mahala Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kuwa na wanaume wanaojiweza kiuchumi. Lakini wanapotambua kwamba wameshaoa hushangaa sana na huumia na kusema wanaume wote ni mbwa tu...
13 Reactions
38 Replies
3K Views
Kuna demu flani hivi kaniambukiza huu ugonjwa wa pumbu illusion ni kama fungus flani hivi wanakaa kwenye pumbu ukijikuna unatoka weupe weupe kama unga alafu inawasha hatari muda wote ni Kru kru...
4 Reactions
49 Replies
8K Views
Habari zenu... Kuna Toto la kishombe ivi...nilimsoundisha kinaga ubaga ila kwa bahati mbaya akaniambia haitawezekana maana Dini zetu tofauti,,,mchizi nikaona freshi tu...Cha kushangaza sasa...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Utakuta mume anamficha mke wake kila kitu ndani ya ndoa. Utakuta mke hajui: *mume ana shilingi ngapi bank. *mume ananyumba gapi. *mume ana miradi mingapi. *hati ya nyumba ipo wapi. *kama mume ana...
22 Reactions
93 Replies
8K Views
Hii imetokea huko Dar kwa kijana au tuseme mvulana kumdunga kisu mpenzi wake na yeye kujidunga kisu na wote waka rest in peace huku wakiacha katoto Wavulana mnakwama wapi hadi ujinga wa kuua na...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Ilikuwa ni mwaka 2012 mwezi wa kumi na mbili ndipo nilipokutana na huyu mwenza wangu. Alikuwa ni nurse pale Hospitali ya Sokoine mkoa wa Lindi. Nilifanya mazungumzo nae ya awali japo hakunipa...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Mchezo wa Kibati ni mchezo wa waminifu ambao watu wawili au zaidi hucheza kwa kupeana hela/ fedha kwa zamu. Zamu hizo hufanyika kwa mzunguko wa siku fulani kutokana na makubariano ya wachezaji...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika pitapita yangu yangu mitandaono nimekutana na huyu kaka anayeomba msamaha kwa makosa yake ya kuwaumiza moyo wanawake aliotembea nao. Imenigusa sana it is very touching.
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuna msichana kitaa namtamani sana, sio kwamba ni kadogo sana, kwa makadirio age difference ni kama miaka 10 hivi yaani kama mimi nina miaka 30 yeye ana 20, kinachonipotezea confidence ni tabia ya...
7 Reactions
92 Replies
17K Views
Wakuu shikamooni..Leo sitaandika kwa ile Lugha ya Kiarusha(Ngareroo slang)Kwasababu Nna jambo naombeni msaada wa mawazo yenu kama kaka zangu na Dada zangu,,So leo naomba niandike kwa lugha...
1 Reactions
69 Replies
7K Views
Kama nilivyoanza mwanzo....usisome kama una machozi ya karibu... “Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari ndungu wana JF , Karibuni tujadili mada hiyo hapo juu Ikiwa una mchumba ambae mnapendana kwa dhati lakini lakini hayupo vizuri kiuchumi na amedhamiria kukuoa. Kutokana na tatizo la...
5 Reactions
281 Replies
30K Views
Habari za uzima wakuu? Natafuta binti mwenye sifa zifuatazo: Umri chini ya miaka 30, Awe na utu,uvumilivu na upendo. Elimu kuanzia kidato cha nne. Awe tayari kuishi dsm. Kimo kuanzia futi 4ft 9'...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1/Umkute mkeo ameweka mguu juu ya paja la mwanaume anatengezwa ukucha, umsifie. 2/Umkute mkeo ndani ya saluni ya kiume anasukwa rasta, umsifie. 3/Umkute mkeo kwa fundi charahani anageuzwageuzwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Unapiga Simu kwa mpenzi wako mara tatu zote anakata, halafu anakutumia text nimelala....My friend anza kung'atuka Mapema. Sio maneno yangu.Nimeyacopy kutoka kwa mdau wa twitter.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mazoea ya utundu wa kuchepukachepuka na kubobea katika migegedo ya viwango vya juu nje ya ndoa ni kujiandaa kuvunja ndoa siku chache baada ya kuolewa. Kama ulizoea kufikishwa Everest na...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Katika mahusiano kuna vitu vingi sana vinavyopelekea watu kushindwana mpaka kupelekea kuachana, Si jambo zuri watu kuachana na wala si jambo baya kuanzisha mahusiano na mtu mwingine kama...
12 Reactions
74 Replies
6K Views
Men attend 2 Women for two reasons, SEX, and LOVE, but in most cases, men do not Marry for Sex or for Love, they marry for STABILITY. A man can Love you and not Marry you. A man can have sex with...
27 Reactions
33 Replies
4K Views
Kahofu tu kapo mkuu! How comes if mshkaji akikuta chat threads [emoji19][emoji19]Nitamuuliza, sasa kwanini moyo wake unamdunda kila anapo kutana na jirani wake aliyekuwa mume wa bidada..!!??
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom