Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ewe mwanamke, kama mumeo anaingia hadi ndani ya nyumba huku akiwa amebeba mzigo wowote, iwe bahasha, mfuko nk, wakati umemuona na umeshindwa kumpokea, anza kujitathmini upya. Ewe mwanamke, kama...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Hata mkiwa kwenye ndoa, ukimfahamisha habari za ujauzito anaanza kung’aka “yaani umejiachaia mpaka umepata mimba, hatuko kwenye position ya kulea sasa hivi, si unajua tunajenga, gari hii imechakaa...
34 Reactions
49 Replies
6K Views
Je uliwahi kuligwa /kupiga kofi kalio la mpinzi wako wakati wa kugegeda? Je uliwahi kukunjwa /kukunja kwa nguvu mpaka ukakosa pumzi wakati wa kugegedana? Je, uliwahi kupata michubuko sababu ya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Leo ikiwa ni siku ya UKIMWI duniani hatuna budi kukumbushana mambo kadhaa juu ya janga hili hatari, hususani sisi vijana ambao ni wahanga wakubwa wa janga hili. Naona siku mbili tatu humu...
1 Reactions
4 Replies
859 Views
#Kabila la Hamer linalopatikana kusini mwa nchi ya Ethiopia ndilo kabila linalosifika kudumisha "uvumilivu" ndani ya ndoa! Inasemekana mwanaume kabla hajatoa mahali inabidi ampime mwanamke...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msingi mkuu wa huu ujumbe murua wa Jumapili, ni madhila nnayoyaona yanatokea katika jamii ambayo yamenifanya nitamani kutoa ujumbe huu wa kufikirisha na wa kujenga mtazamo juu ya mitandao hii ya...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Hello, Hii ni tahadhari kwa wale wakware wenzangu mnaopenda kuchat na madem tofauti especially whatsapp, fb, etc, huku mnajiona mnapendwaaa. Nimetongoza wadada wengi na kugegeda kwa kiasi chake...
16 Reactions
96 Replies
15K Views
Msiache mbachao kwa msaala upitao. Naona mmenizoea sana mpaka na kuamua kunitelekeza. Mliniogopa sana kipindi cha mwanzo hadi mkapelekea kuniita majina mabaya ambayo hata mimi yalikuwa yananikera...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Salamu sana wa wananchi wapendwa wa nchi huru ya JF. Leo nimepata kadhia moja kwa huyu mshikaji jirani yangu. Jamaa ameoa na ana mtoto mmoja. Kabla hajaoa kama ilivyo kawaida kwa vijana wengi...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Zawadi gani yenye thamani ya elfu 20 au chini ya hiyo itamfaa mpenzi Wangu ambaye penzi bado jipya?
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Nakumbuka kipindi hicho nimerudi likizo yangu mwaka wa kwanza. Nakumbuka hiki ni kipindi ambacho kilikua kigumu sana kwangu, nazungumzia ule ugumu - nina ukame hadi nikajihisi nipo Namibia. Basi...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Dada zangu ambao hamjaolewa hakikisheni mnajifunza kwa Vanessa Mdee kwani yeye alitumia siku mbili tu kufahamu mume wake ni yupi. Msije mkawa mnachagua hadi mnafika umri ambao mmeishiwa soko hata...
7 Reactions
29 Replies
5K Views
Nilishawahi kukutana na hii changamoto katika ubaharia wangu kwa njia ya simu:- Wewe ni nani Unataka nini Ongea kama mwanaume Nina kublock sasa hivi kama nyie iliwakuta mliitatua vipi?
5 Reactions
71 Replies
6K Views
Habari zenuwanajamvi Mimi kwetu tumezaliwa sita na niliwahi kusikia kwamba mwanaume ndiyo anapanga jinsia ya mtoto anayemzaa mana yeye ana genes xy za kiume na za kike wakati mama ana xx za kike...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakuu habari za muda huu. Nitumie fursa hii kuwapa darasa vijana wenzangu wanaotarajia kua na wachumba au pengine wana wachumba tayari na wanapanga kufunga pingu za maisha. Huu ndio ukweli kuhusu...
41 Reactions
221 Replies
34K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu nipo safarini ni mwendo mrefu kweli inmekaa seat moja na binti mmoja mzuri kiwastani sasa tumekuwa tunapiga story za hapa na pale mara akaanza kusinzia nami nkaona...
3 Reactions
89 Replies
9K Views
NIME POST TU Kwa mujibu wa utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na chuo kikuu cha Ulster, kilichopo Ireland ya kaskazini, Congo ndio nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na wanaume wengi waliojaaliwa...
2 Reactions
57 Replies
16K Views
Jamani ukion wewe kila siku ni kufanya mapenzi na akili yako yote inafikiria mapenzi tu jua wewe ni mgonjwa. Nenda kawaone psychologist wakutibu kabla haujaamua kuishi na mwenza. Sio kila siku...
2 Reactions
49 Replies
6K Views
Jamani wadau wa JF hasa hili jukwaa la mapenzi, poleni na kazi. Nimeona niwashirikishe hili swala manake linaniacha njia panda. jana nilienda salon moja kunyoa nywele hapa Dodoma mjini. Nikiwa...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Katika hali inayoonyesha kuwa Wanaume wa sasa tumeshachoka na Vitendo vya ' Uchepukaji ' na ' Dharau ' nyingi kutoka kwa Wanawake zetu ambao huwa wakianza tu Mahusiano ya Kimapenzi na Wanaume...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom