God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,067
Ewe ndugu acha kujipa moyo kwamba flani hana kwa kumtizama na kuridhika na umbile lake kubwa.
ARVs zipo zinafanya watu wanakua vibonge na ngozi zao zinakua nyororo mno!
Siku hizi hakuna kukohoa, kukonda wala kuota mapele mwili uzima au kipara kichwani!
Miaka ya sasa ni mwendo mdundo tuu wewe ukijichanganya ndo ushaukwaa hivo.
Wanawake wanajipata vipodozi na rangi kibao za kung'arisha uso na sehemu mbalimbali muzipendazo nyie wanaume.
Akienda kunawa uso ukiona ulivyopauka kama mbeba simenti hutaamini.
Na nyie wanawake kuweni makini sana. Hakuna pesa za bure, wengi waliopenda pesa waliishia kaburini. Tafuta mwenzi anaefaa epukana na maisha ya anasa. Anasa zimewapoteza wengi.
Wanawake muwe mnauliza condom! musiwe wazito kudai condom.
Ndo hayo tuu kwa leo ndugu zangu, mambo niliyoyaona sio vibaya ku share nanyi wana MMU.