Mahusiano na UKIMWI. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahusiano na UKIMWI.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, May 3, 2010.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  May 3, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wapendwa habarini za leo?? I hope weekend ilikuwa njema.

  Juzi nilikuwa mahali nikayasikiliza mazungumzo yaliyokuwa yanahusu UKIMWI. Wahusika walikuwa wanazungumzia namna ya kuweza kujikinga na ugonjwa huu hasa kwa njia ile ya ngono zembe. Katika kusikiliza nikagundua kuna makundi mawili ambayo kila moja lilijigamba kuwa na nafasi nzuri ya kutoambukizwa than the other. Kundi moja ni lile la wanawake/ume ambao wako single though wana mahusiano i.e. hawajaolewa/oa i.e. hawana ndoa kama tunavyozifahamu na lingine wale wenye ndoa. Baadhi ya hoja zao nilizofanikiwa kuzidaka kichwani ni hizi...

  Singles:

  1. Uwezo wa kucontrol tendo zima- hawa walikuwa wanadai wao kama wao wanauwezo wa kumkatalia boyfriend/girlfriend kudo naye au kumlazimisha atumie kinga. Eti kwa kuwa hajaolewa/oa yule mwanaume/mke atakuwa na adabu na atatii tu. So uwezo wa kujikinga na UKIMWI uko mikononi mwa mwanamke/ume mwenyewe.

  2. Yuko kwenye nafasi nzuri ya kuwezakujua status ya mpenzi wake kwa kumwambia wakapime na akakubaliwa tofauti na aliyeolewa/oa. Kwani mke/mume ataanzaje kumwambia mumewe/mkewe wakacheck afya pamoja na kuwa anaweza akawa anamhisi kuwa na mahusiano nje ya ndoa. Lakini yeye asiyeolewa/oa ana uwezo wa kumpelekesha mwanaume/mke hadi akakubali kwenda kupima hata kama ni mume/mke wa mtu!!!

  Married:

  1. Wao walidai kuwa wao wako kwenye nafasi nzuri sana ya kutoambukizwa kwa kuwa wao wanatembea na mwanaume/mke mmoja!!! so chance ya kuambukizwa UKIMWI ni ndogo. Hii ilikuwa urgument yao kubwa kulinganisha na wale ambao hawajaolewa/oa.


  Then nikaja sikiliza kipindi cha njia panda cha jana wakati kina Dr. Isack Maro na Antie Sadaka wakiongea na wale vijana 3 ambao walikiri kuwa ni mashoga- According to maelezo yao vijana hao walisema kuwa mara nyingi tu huwa wanachukuliwa na waume za watu ambao wengine bila aibu huwapeleka majumbani mwao (wake zao wanapokuwa safarini/masomoni) na kushiriki nao tendo kwenye vitanda vyao!!!


  Nimebakia kutumbua macho tu hapa!!!
  Hebu nisaidieni maana hata kuuliza siwezi!!- maana naona makundi yote yako sawa!!
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,038
  Likes Received: 23,978
  Trophy Points: 280
  Hahahaha!
  Duh! Mjukuu bana!
  We uko kundi lipi hapo?
  Samahani kama nitakukwaza.
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  May 3, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Babu we acha tu nimechanganyikiwa sasa sijui niingie kundi gani maana duh!! kote moto!!
   
 4. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Pengine hayo kwenye kundi hata moja hapo juu.Yeye ni mseja(mtawa-ameolewa na Bwana)
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  May 3, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Charity we acha tu, haya mahusiano kila kukicha yanazidi kuwa magumu- I was asking myself inakuwaje twaambia UKIMWI ndani ya ndoa umeongezeka ah!!
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  single ,married wote tuko katika hatari kubwa sana ya kuambukiza Ukimwi jambo moja ni uaminifu ..hakuna kundi lenye unafuu .
   
 7. Masoud

  Masoud Member

  #7
  May 3, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kote balaa, haina haja ya kuulizana we uko kundi gani......kila mmoja anajijua yuko wapi, kwa kweli mi nipo kwenye ndoa... ila kwa kwa kweli kaukimwi kamekaa vibaya. MAANA HATA MAHUSIANO YASIYO NDOA, HUWA WANAZOEANA KONDOM HUTUPWA KULE...MBALI, KISHA NYAMANYAMA... HAPO NAPO INAKUAJE? WENYE NDOA NASI PROFILE INAKUA IMEEXPAYA INAENDA KUAP' DATE NJE KISHA UNAKUTANA NA VIRUS..... TUWE MAKINI.....
   
 8. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Mhhh
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  May 3, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Yaani ndugu zangu anachosema Masoud ni kweli kabisa but ndo haifai kukata tamaa na kusubiri hebu tuchangiane mawazo ya nini kifanyike hasa kwa institution ya ndoa kwani still its a worthy institution
   
 10. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Hapa sasa!
  Kwa kifupi..kuna vipengele vingi mno kwenye maambukizi ya VVU na UKIMWI hayazungumzwi wala kuwekwa kwenye programming.
  Ndio maana huu mpango mpya wa 2008-2012 National Multi Sectoral Strategic Framework on HIV/AIDS imeliona hili na kuliwekea mkakati ili kuwalenga wale waliokuwa hawafikiwi - MSM/ mashoga, watumia dawa za kulevya nakadhalika kitu ambacho mikakati iliyotangulia hakuzingatia.

  Sasa hivi kuna idadi kubwa sana ya MSM (Men having Sex with Men) .Tutashangaa lakini ni ukweli kuwa ni wengi kuliko tunavyodhania - wapo wenye maradaka/vyeo - wenye kuheshimika katika jamii lakini wanafuga vijana waogo wa kiume.Ni kitu nakiongea kwa kujiamini - sijaambiwa na mtu bali nimeweza kuongea na baadhi ya vijana hao kama walivyoongea na Radio Clouds jana! Mmoja wa vijana hao aliweza hata kusema kuwa ameambukizwa lakini " mwanaume" wake hajui na pia huwa ana cheat na wanaume wengine pale mwanaume wake akisafiri.

  Wanandoa nadhani wako kwenye hatari zaidi ya kuambukizwa kuliko wale wasiokuwa ndani ya ndoa.Hivyo wanandoa jihadharini TUMIENI KINGA HATA KAMA MMEOANA!
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,038
  Likes Received: 23,978
  Trophy Points: 280
  Haka kaugonjwa kameingia sehemu mbaya sana.
  Hamna mwenye ujanja wa kutamba ana uhakika wa kupambana nako kwa 100%
  We utakuwa mwaminifu lakini mwenzio akiteleza imekula kwako.
  Kilichobaki ni either kuacha kabisa hayo matusi yetu, kitu ambacho hakiwezekani au
  Kumwomba Mungu atuepushe na hili janga, kitu ambacho kinawezekana.
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahaha unaguna huamini au unaogopa ukimwi?
  Hili ni janga la kitaifa sijui tufanyeje litokomee
  Mwinyi alisema Gonjwa hili limekaa sehemu mbaya...
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Regardless of the "group" we are all equally at risk! and we should remember that it only takes one successful exposure to ruin....
   
 14. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #14
  May 3, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aksante Dada hapo kwenye red ndo nilipokuwa naogopa kupasema. Jamani wenye ndoa tusijiaminishe tuko katika hatari zaidi- Yaani jana I completely agreed with the single- group. WoS umesema tutumie condom mh hapo napo pagumu!!
   
 15. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #15
  May 3, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ni kweli De Novo wote tuko katika risk but tukisema mtu akiamua kuwa makini na maisha yake kwa hali halisi mtu single anaweza akasimama na kujilinda tofauti na married kwani inatengemea na partner wako!! Sasa mfano hao waume ambao wanachukua mashoga wakati wake zao wako masomoni au safarini au wake wanaotoka na watu wengine aka ving'asti, mabuzi (sijui kama bado hili jina latumika) wote hao partners zao wanajiamini kuwa wako salama.
   
 16. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  MJ1,
  U want to be safe CONDOMIZE hata kwenye ndoa shosti!UKWELI SI NDIO HUU?
  Tumeshaambiwa kuna hatari zaidi humo - bado utajidanganya tu kuwa uko kwenye B ? 1 faithful partner?
  A- Abstain
  B- Be faithful
  C- Condomize
  D - Do-It-Yourself!
  E-

  Endelezeni alphabet kuhamasisha kupambana na ukimwi!
   
 17. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  yale mahojiano na mashoga yalinisikitisha sana tena sana!............
   
 18. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #18
  May 3, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahhah hiyo D lol. Ni kweli dada but kumbuka inavyokuwa ngumu kumwambia partner wako tukapime. nakubaliana nawe kabisa kucondomize kwanza raha inayopatikana si ni sawa tu?? Laiti ingekuwa uwezowangu ingekuwa condom, condom and more condom hata kama tumeoana na inavuliwa pale tu tunapotaka kutengeneza kiumbe- na baada ya kupima jamani!! hali inatisha!!

  Eti jamani kina baba tusaidieni- tukiwaomba tuwe tunazivaa kinga kila tunapokutana tutakuwa tumewakatili?? hata kama ni waume??
   
 19. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Hali yatisha ndugu, hapa twazungumza lakini toka usiku especial siku za weekend, hali utakayoikuta kwenye majumba ya starehe ni hatari, sijui kama UKWIMI usingekuwepo hali ingekuaje. Na huo mkutano wao wakutufungia mabarabara kuna profesional malaya washaingia.. na Babu Zuma yupo kaazi kwer kwer
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  May 3, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hapo mama unatupeleka porini.........
   
Loading...