USINYOE siku ya kufanya mapenzi uwezekano kuambukizwa ukimwi ni mkubwa sana

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
17,630
18,880
Hello wapendwa JF
Watu wengi wanatumia Condoms wakati wa mapenzi ambayo ni sawa, pia watu wengi
hufanya mapenzi kwa kunyonyana ambayo kama huna vidonda mdomoni au fizi
zako hazina matatizo ya kutokwa damu, yaani namaanisha mdomo wako uko
salama hata kama utamnyonya ( Oral sex) aliye na ukimwi chances ni ndogo sana ya kuambukizwa
kwa jinsia zote.
Ila watu wengi, wanasahau kuwa siku ya kufanya mapenzi OGOPA kunyoa ukiwa nyumbani unajiandaa kukutana na mwenzi wako au hata wakati wa mapenzi yenyewe kuna watu wananyoana, hata mm nimeshafa fanya haya ila nilikuwa sijui miaka michache iliyopita,
kuna probability/uwezekano mkubwa sana hata ukivaa condom na lazima kuna sehemu utakuwa umejikata, ni ndogo mno kuona au wengine unaweza kuona damu kidogo ukinyoa mavuzi, wakati wa mechi unakuta demu yuko juu madhalani, yaani lazima uambukizwe hasa mwanamke akiwa infected,
waulizeni madktari hili, plse take care, mechi njema na ushindi wa magoli
 
Huu ushauri unawafaa wa dada koz ndio huwa wanajistukia kuwa utamuana ana chaka flani hivi...kwa sie masela poa tu hata kama ukiwa na msitu....................
 
Duh! Ungetumia lugha laini kidogo ndugu.. Ikitajwa kavukavu hustua kidogo..anyway ni ushauri mzuri tu...
 
Hello wapendwa JF
Watu wengi wanatumia Condoms wakati wa mapenzi ambayo ni sawa, pia watu wengi
hufanya mapenzi kwa kunyonyana ambayo kama huna vidonda mdomoni au fizi
zako hazina matatizo ya kutokwa damu, yaani namaanisha mdomo wako uko
salama hata kama utamnyonya ( Oral sex) aliye na ukimwi chances ni ndogo sana ya kuambukizwa
kwa jinsia zote.
Ila watu wengi, wanasahau kuwa siku ya kufanya mapenzi OGOPA kunyoa ukiwa nyumbani unajiandaa kukutana na mwenzi wako au hata wakati wa mapenzi yenyewe kuna watu wananyoana, hata mm nimeshafa fanya haya ila nilikuwa sijui miaka michache iliyopita,
kuna probability/uwezekano mkubwa sana hata ukivaa condom na lazima kuna sehemu utakuwa umejikata, ni ndogo mno kuona au wengine unaweza kuona damu kidogo ukinyoa mavuzi, wakati wa mechi unakuta demu yuko juu madhalani, yaani lazima uambukizwe hasa mwanamke akiwa infected,
waulizeni madktari hili, plse take care, mechi njema na ushindi wa magoli

ni kweli... si mara ya kwanza nalisikia hili....!!muhimu kuwa makini!!
 
asante kaka kwa ushauri mzuri..
lakini kuna njia nyingine zaku.................. si lazima ku shave.
 
YEAH... ni risk mkuu

thanks, ni kama mara 3 we held sminars hapo DICC near PPF tower, posta, Dr alisisitiza sana, he put a lot of emphasis na kutahadharisha sana hili, so watch out, ila hadharani kwenye campaign dhidi ya ukimwi hawasemi na jamii wengi sana hawajui
 
asante kaka kwa ushauri mzuri..
lakini kuna njia nyingine zaku.................. si lazima ku shave.

of course una shave, one or more days before sex with ur partner, u will be safe, with condom umevalia at the same time
 
Kwa kuwa ni muhimu kabla ya kujamiiana kwa wapenzi kufanya matayarisho mbalimbali, kama kushikana kila kona ya mwili, kubusiana/kunyonyana na baadaye kuingiliana; kuna vipengele vingi vya kuangalia kuepuka kuambukizwa virusi vya UKIMWI na mwenzi wako wakati mnajitayarisha kujamiana au mnajaaminana. Kimojawapo ni kuwa umenyoa ndani ya masaa 72 kabla ya ngono, kuwa na kidonda mdomoni kutokana na kujing'ata ndani ya masaa 48 kabla ya ngono, kuwa na kidonda kwenye vidole hasa vile muhimu, gumba na cha nne. Nawasilisha
 
Ignorance and prejudice are fuelling the spread of a preventable disease. World AIDS Day, 1 December is an opportunity for people worldwide to unite in the fight against HIV and AIDS.... t's up to you, me and us to stop the spread of HIV and end prejudice.
 
Wengine pia hupenda kupima oil kwa kidole kisha wakashika condom na kuivaa bila kuzingatia oil bado iko vidoleni.

Hili nalo limekaeje?
 
Kama mimi mwanamke nimenyoa halafu huyo bwana amebaki na nyasi zake pia itakuwa poa au inabidi wote tusinyoe?
 
Kama mimi mwanamke nimenyoa halafu huyo bwana amebaki na nyasi zake pia itakuwa poa au inabidi wote tusinyoe?

yeyote kati yenu atakaye nyoa halafu akawa kajikata kidogo tu, unaweza sione, then maji maji ya shahawa za kike au kiume zikagusa na uwezekano ni mkubwa sana maji maji kuweza kugusa, tayari hatari kubwa, sometimes utasikia mwanmke au mwanaume amenyoa muda si mrefu then akifanya mapenzi yeye bila kujua atakuuambia daah huyu demu/kaka shahawa zake zinawasha leo, ujue ile maji maji imegusa, sasa kama ni muathirika unalo, stay safe 2 to 3 days nyoa, kazi kwenu
 
...sawa na tango ukilipitisha kwenye grater, hasara tupu!...

Grating.jpg
 
Back
Top Bottom