Bosi kamwambukiza UKIMWI rafiki yangu.......................USHAURI!!!

B

Bongemzito

Senior Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
163
Likes
3
Points
0
B

Bongemzito

Senior Member
Joined Nov 5, 2010
163 3 0
Mimi ni mfanyakazi katika kampuni flani hapa dsm,kuna msichana mmoja alifanya field kwenye kampuni ninapofanyia kazi na ivi sasa anaenda kumalizia chuo mwaka wa tatu na ana miaka 23 nilitokea kumpenda sana nanilitamani siku moja aweze kuwa mpenzi wangu na hatimaye mke,lakini mishemishe zangu ziligonga mwamba kwa kuwa aliniambia kuwa tayari alikuwa na mpenzi wake na wanapendana sana.
Kama mwanaume vibuti ni kawaida yetu nilijipa moyo konde nikasahau yoe nikaendelea na kazi kama kawaida na iyo ilikuwa ni Ijumaa kila mtu akasepa zake,ofcoz kila mtu ofisini kila mtu anamtamani na yupo serious mbaya,tukawa maswaiba kwa sababu ofisi yao na yetu inawasiliana kwa ukaribu mno..
Wiki inayofuatia nakumbuka ilikuwa jumatano mchana akanicall,nilishtuka kidogo nikajua labda amebadili uamuzi kwani aliniuliza vipi sasa ivi una kazi nyingi hapo ofisini nikamjibu sina kazi nyingi kwani ulikuwa unasemaje? akaniambia unaweza kuja tukutane(alinitajia sehemu ya kukutana).Nikamwambia kwa kuwa mda wa lunch unakaribia nitakuja huko moja kwa moja usijali..
Hatimaye muda muafaka ukafika nikawasili eneo la tukio,nikamkuta ni mwenye huzuni mno,nikashtuka kidogo,akaniambia mwenzio yamenikuta mimi najutia umaskini wangu...akaniambia ninavyoongea na wewe sasa ivi nimetoka ANGAZA,katika pitapita zangu nikasema ngoja nipite angaza nipime kwani nilijiamini kuwa niko safi kwa kuwa katika kumbukumbu zangu sikuwahi kufanya mapenzi bila kondom...
Akapima kwa imani kuwa hana ukimwi na alipoambiwa kuwa anao alihamaki na kumuomba docta arudie kupima tena mda huo huo akakutwa anao,basi akaondoka mnyonge..
Nikamuuliza! Umeongea na mpenzi wako na kumueleza inshu yote? akaniambia wewe ndo wa kwanza nakupa hii taarifa hata Baba naMama sijawaeleza hata huyo mpenzi wangu naye sijamueleza....kwani nina imani kuwa hawezi kuwa nao kwa kuwa toka tuanza uhusiano yapata miezi sita sasa hatujawahi kusex bila condom..
Ila alinieleza kuwa kuna bosi mmoja pale ofisini ndo anahisi alimuambukiza kwani mwaka jana alipoanza field yule bosi alimtongoza ila alimkatalia (ingawa alikuwa hana mpenzi kwa wakati huo na hakuanza uhusiano na huyu mpenzi wake wa sas) ,kama mnavyowajua mabosi wanavyojua kuwateka wanawake bosi akamuahidi mambo kibao ikiwa ni pamoja uhakika wa ajira pindi atakapomaliza chuo na pia kumlipia ada iliyobaki chuoni na kumpatia pesa za shooping atakapo,siku moja akatoka na bosi( huyo bosi anamiliki pia bar na gesti) wakaenda hapo wakanywa ila yeye alikunywa soda) siku iyo wakafanya mambo kama ila walitumia zana kama kawaida yake,wakafanya kama mara mbili siku moja alikunywa kwa iyo hakujielewa bosi akamsex bila kondom na ndo anahisi siku iyo ndo inaweza kuwa ndo chanza cha yote hayo...
Basi nikamtuliza nikamsihi asihuzunike sana ndo hali ya maisha...akaniomba niwe nampa moyo maana anajiona hana umuhimu wa kuishi tena na kujilaumu yeye kwa yote aliyafanya na pia haoni hata umuhimu wa yeye kuendelea na masomo tena kwani yeye ni mtu wa kufa tu..
Akamueleza mpenzi wake,mpenzi wake alishtuka mno na aalilia sana na kumlaumu kwa niniumeniua lakini(mpenzi wake amemaliza CBE mwaka huu),kesho yake akaenda kupima akakuta ni negative,akamtumia sms na kumwambia niko negative na akazidi kumwambia kuwa kama ningekuwa ninao ningekulaumu hadi ninakufa na ningeweza kukufanya kitu mbaya.
Sasa nikajiuliza ni uungwana gani afanyiwe huyu bwana na mpenzi wake maana huyu msichana ni muwazi mno kwa maana akamueleza kabla na pia kafanya la maana sana kupima kwani kama asingeenda kupima ingefika siku wangesex bila kondom...kwani alikuwa na kawaida ya kwenda kwake anakaa hata wiki nzima na huyo menzi wake na kwa kipindi chote hicho wanatumia kondom........

Naombeni umnisaidie kunipa ushauri wanajamii maana huyu dada huwa inafikia ananipigia hata simu saa nane usiku na kuniambia hapati usingizi maana mawazo yamemzia sana hasa akifikiria mipango mingi waliyoipanga na huyu mpenzi wake,pia ukizingatia wazazi wote wa pande mbili wanafahamiana nayeye wazazi hajawaambia,na akimpigia simu menzi wake hapokei na wakati mwengine huwa anamwmbia yupo bize sometimes anamkatia simu
na hata akiwapigia wadogo zake nao hawapokei simu...ivi sasa mama ake kamuuliza mwanangu mbona upo ivyo siku izi kulikoni......ki ufupi amekuwa ni mtu wa masikitiko sana siku izi..inafikia kwa siku anaweza kuinitumia hata sms 100 akiniomba ushauri na nimfariji kwani anaamini mi ndo mtu pekee ninayemfariji kwani mpenzi wake anamnyanyapaa siku izi......akaniuliza je amwambie bosi kuwa amepima na ana ukimwi anaogopa kuwa bosi atareact vipi.....maana bosi kamnunulia hadi flat screen home anatamani hata kuivunja.....yote hayo anaamini ni kwa kuwa baba yake na mama yake waliachana mwaka jana wakati baba yake alikuwa akimpatia pesa kila napohitaji kwa iyo baba yake alimdekeza sana na hakuwai kuhongwa pesa na mwanaume yeyote kwani aliamini alizopewa na baba yake zilimtosha sana punde tu wazazi walipoachana baba akata huduma.......nimeshauri sana asipende kukaa peke yake mda mwingi na hata usiku asiwe peke yake chumbani kwan atawaza sana na pia awe anafanya mazoezi kidogo....ananichukulia mimi ndo kila kitu maana ananieleza kila kitu...................naombeni mnisaidie kumshauri huyu dada jamani..
 
Baba_Enock

Baba_Enock

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
6,884
Likes
308
Points
180
Baba_Enock

Baba_Enock

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
6,884 308 180
Pamoja na story hii kujirudia rudia - Jaribu kuweka paragraph! kha! Shuleni siku hizi hamfundishwi kuandika insha

Hamna koma, vituo, paragraph, panctuation, e.t.c ! duh! Kweli Elimu yet imebaki chini ya vitovu!
 
October

October

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Messages
2,147
Likes
5
Points
135
October

October

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2009
2,147 5 135
Kwanza unatakiwa umshukuru Mungu kwa kukuokoa maana inaelekea ungekuwa umeukwaa na wewe.

Pili mwambie awe wazi kuhusu hali yake. Kweli pekee ndio itamweka huru. Awe wazi kwa wazazi wake na marafiki wake na atafute njia nyingine ya masiha. Na la zaidi ajue kuwa Kupata ngoma sio mwisho wa maisha. Bado anaweza ishi maisha mazuri yenye furaha tele kama atachukua tahadhari na kufuata ushauri atakaopewa na madaktari.
 
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2007
Messages
16,510
Likes
196
Points
160
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2007
16,510 196 160
Watoto wa kike bana..sometimes kuwaamini ni risk sana aisee.

Huyo mdada amelikoroga, kilichobaki alinywe tu..dawa ya ngwengwe ni futi 6 chini ya usawa wa ardhi.
 
Mtoto wa Kishua

Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2009
Messages
832
Likes
57
Points
45
Mtoto wa Kishua

Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2009
832 57 45
Malaya huyo, hanalolote, , unakunywa bia za bure halafu unadai unafanywa bila condom.Kwanza kwanin unapo kua kwnye date unywe pombe, je pombe unazimudu vipi? uzembe na kutok kua makini kumemfikisha hapo, aishi kwa matumaini , UKIMwi sio kifo ni hali tuu , afuate masharti, akumbuke kua yeye ana bahati ya kuufuata ukiwmi kunawengine Umiwi una wafuata wao bila kutaka (Wanao pata maambukizia wakati wakuzaliwa na wanao ambukizwa mahospitalini kwnye ajali na kwa uzembe usio husisha ngono) ajihesabu kama ni mmoja wenye bahati, kwa vile amesha jigundua mapema , basi aanze kujipanga kula vizuri mazoezi freshi na AVR mapema , zitamuongezea siku zaidi ya wale wanao chelewa kuanza dozi.
 
B

Bongemzito

Senior Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
163
Likes
3
Points
0
B

Bongemzito

Senior Member
Joined Nov 5, 2010
163 3 0
Nimekuelewa mkubwa (BABA-ENOCK) lakini sijaona ushauri wako katika mkasa huo............msipende sana kuwa wapinzani katika matatizo na hisia za watu kwani hayo ni matatizo madogomadogo....tujaribu kuwa na staha jamani...
 
Masikini_Jeuri

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Messages
6,803
Likes
379
Points
180
Masikini_Jeuri

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2010
6,803 379 180
Poleni sana nyote! mshauri aishi kufuata masharti ya wataalmu wa afya!
 
Elizaa

Elizaa

Senior Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
169
Likes
9
Points
35
Elizaa

Elizaa

Senior Member
Joined Oct 19, 2010
169 9 35
Labda nitaweza kumsaidia huyu dada.

Mimi nafanya kazi na umoja wa madactari wa tiba mbadala wa UINGEREZA, KWA SASA TUMEFUNGUA TAWI DSM KAMA SUPPLIER WA EAST AFRICA, DAWA INASUBIRI CERTIFICATE KUTOKA TFDA, IMESAJILIWA UINGEREZA KAMA TIBA MBADALA, KWA SASA TUPO HAPA KENYA, TUMESHATOA KWA WATU TAKRIBANI MIA MOJA KUMI NA TANO, NA IMELETA MATOKEO MAZURI, KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASi KWA EMAIL cornwellquality@yahoo.com au simu no 254 42 4633414, au +254 728 353468, au +255 763 578057, au +254 720 289897, karibu kwa ushauri na usaidizi. Next week nitakua dar. baada ya dar Moshi na Arusha.
 
Zneba

Zneba

Senior Member
Joined
May 12, 2010
Messages
192
Likes
0
Points
0
Zneba

Zneba

Senior Member
Joined May 12, 2010
192 0 0
Pamoja na story hii kujirudia rudia - Jaribu kuweka paragraph! kha! Shuleni siku hizi hamfundishwi kuandika insha

Hamna koma, vituo, paragraph, panctuation, e.t.c ! duh! Kweli Elimu yet imebaki chini ya vitovu!
hahahahahah baba enock umeniach hoi elimu imebaki chini ya kitovu kweli we kiboko
 
Zneba

Zneba

Senior Member
Joined
May 12, 2010
Messages
192
Likes
0
Points
0
Zneba

Zneba

Senior Member
Joined May 12, 2010
192 0 0
bila hata ngwengwe futi sita utaipata tu tena unaweza kutangulia ukamuacha.
 
Devils Advocate

Devils Advocate

Member
Joined
Dec 16, 2009
Messages
78
Likes
1
Points
0
Devils Advocate

Devils Advocate

Member
Joined Dec 16, 2009
78 1 0
Duh!!
Hii inanifanya nikumbuke comment ya kijinga ya JK kuwa wanaoambukizwa ukimwi ni Kiherehere chao!! Kumbe he had good reasons to say what he said!!

Bonge,
Mwambie huyo dada kama anataka kufa ndani ya mwezi mmoja basi aendelelee na utaratibu wake wa kutokukubali hali yake mpya. Kama anataka kuishi basi asiwe katika stage inayoitwa DENIAL. Akubali na awaeleze ndugu zake na wazazi ni nini kimkutka na hapo ataona maisha kuwa ni ya kawaida mno.

Mimi ni mfanyakazi katika kampuni flani hapa dsm,kuna msichana mmoja alifanya field kwenye kampuni ninapofanyia kazi na ivi sasa anaenda kumalizia chuo mwaka wa tatu na ana miaka 23 nilitokea kumpenda sana nanilitamani siku moja aweze kuwa mpenzi wangu na hatimaye mke,lakini mishemishe zangu ziligonga mwamba kwa kuwa aliniambia kuwa tayari alikuwa na mpenzi wake na wanapendana sana.
Kama mwanaume vibuti ni kawaida yetu nilijipa moyo konde nikasahau yoe nikaendelea na kazi kama kawaida na iyo ilikuwa ni Ijumaa kila mtu akasepa zake,ofcoz kila mtu ofisini kila mtu anamtamani na yupo serious mbaya,tukawa maswaiba kwa sababu ofisi yao na yetu inawasiliana kwa ukaribu mno..
Wiki inayofuatia nakumbuka ilikuwa jumatano mchana akanicall,nilishtuka kidogo nikajua labda amebadili uamuzi kwani aliniuliza vipi sasa ivi una kazi nyingi hapo ofisini nikamjibu sina kazi nyingi kwani ulikuwa unasemaje? akaniambia unaweza kuja tukutane(alinitajia sehemu ya kukutana).Nikamwambia kwa kuwa mda wa lunch unakaribia nitakuja huko moja kwa moja usijali..
Hatimaye muda muafaka ukafika nikawasili eneo la tukio,nikamkuta ni mwenye huzuni mno,nikashtuka kidogo,akaniambia mwenzio yamenikuta mimi najutia umaskini wangu...akaniambia ninavyoongea na wewe sasa ivi nimetoka ANGAZA,katika pitapita zangu nikasema ngoja nipite angaza nipime kwani nilijiamini kuwa niko safi kwa kuwa katika kumbukumbu zangu sikuwahi kufanya mapenzi bila kondom...
Akapima kwa imani kuwa hana ukimwi na alipoambiwa kuwa anao alihamaki na kumuomba docta arudie kupima tena mda huo huo akakutwa anao,basi akaondoka mnyonge..
Nikamuuliza! Umeongea na mpenzi wako na kumueleza inshu yote? akaniambia wewe ndo wa kwanza nakupa hii taarifa hata Baba naMama sijawaeleza hata huyo mpenzi wangu naye sijamueleza....kwani nina imani kuwa hawezi kuwa nao kwa kuwa toka tuanza uhusiano yapata miezi sita sasa hatujawahi kusex bila condom..
Ila alinieleza kuwa kuna bosi mmoja pale ofisini ndo anahisi alimuambukiza kwani mwaka jana alipoanza field yule bosi alimtongoza ila alimkatalia (ingawa alikuwa hana mpenzi kwa wakati huo na hakuanza uhusiano na huyu mpenzi wake wa sas) ,kama mnavyowajua mabosi wanavyojua kuwateka wanawake bosi akamuahidi mambo kibao ikiwa ni pamoja uhakika wa ajira pindi atakapomaliza chuo na pia kumlipia ada iliyobaki chuoni na kumpatia pesa za shooping atakapo,siku moja akatoka na bosi( huyo bosi anamiliki pia bar na gesti) wakaenda hapo wakanywa ila yeye alikunywa soda) siku iyo wakafanya mambo kama ila walitumia zana kama kawaida yake,wakafanya kama mara mbili siku moja alikunywa kwa iyo hakujielewa bosi akamsex bila kondom na ndo anahisi siku iyo ndo inaweza kuwa ndo chanza cha yote hayo...
Basi nikamtuliza nikamsihi asihuzunike sana ndo hali ya maisha...akaniomba niwe nampa moyo maana anajiona hana umuhimu wa kuishi tena na kujilaumu yeye kwa yote aliyafanya na pia haoni hata umuhimu wa yeye kuendelea na masomo tena kwani yeye ni mtu wa kufa tu..
Akamueleza mpenzi wake,mpenzi wake alishtuka mno na aalilia sana na kumlaumu kwa niniumeniua lakini(mpenzi wake amemaliza CBE mwaka huu),kesho yake akaenda kupima akakuta ni negative,akamtumia sms na kumwambia niko negative na akazidi kumwambia kuwa kama ningekuwa ninao ningekulaumu hadi ninakufa na ningeweza kukufanya kitu mbaya.
Sasa nikajiuliza ni uungwana gani afanyiwe huyu bwana na mpenzi wake maana huyu msichana ni muwazi mno kwa maana akamueleza kabla na pia kafanya la maana sana kupima kwani kama asingeenda kupima ingefika siku wangesex bila kondom...kwani alikuwa na kawaida ya kwenda kwake anakaa hata wiki nzima na huyo menzi wake na kwa kipindi chote hicho wanatumia kondom........

Naombeni umnisaidie kunipa ushauri wanajamii maana huyu dada huwa inafikia ananipigia hata simu saa nane usiku na kuniambia hapati usingizi maana mawazo yamemzia sana hasa akifikiria mipango mingi waliyoipanga na huyu mpenzi wake,pia ukizingatia wazazi wote wa pande mbili wanafahamiana nayeye wazazi hajawaambia,na akimpigia simu menzi wake hapokei na wakati mwengine huwa anamwmbia yupo bize sometimes anamkatia simu
na hata akiwapigia wadogo zake nao hawapokei simu...ivi sasa mama ake kamuuliza mwanangu mbona upo ivyo siku izi kulikoni......ki ufupi amekuwa ni mtu wa masikitiko sana siku izi..inafikia kwa siku anaweza kuinitumia hata sms 100 akiniomba ushauri na nimfariji kwani anaamini mi ndo mtu pekee ninayemfariji kwani mpenzi wake anamnyanyapaa siku izi......akaniuliza je amwambie bosi kuwa amepima na ana ukimwi anaogopa kuwa bosi atareact vipi.....maana bosi kamnunulia hadi flat screen home anatamani hata kuivunja.....yote hayo anaamini ni kwa kuwa baba yake na mama yake waliachana mwaka jana wakati baba yake alikuwa akimpatia pesa kila napohitaji kwa iyo baba yake alimdekeza sana na hakuwai kuhongwa pesa na mwanaume yeyote kwani aliamini alizopewa na baba yake zilimtosha sana punde tu wazazi walipoachana baba akata huduma.......nimeshauri sana asipende kukaa peke yake mda mwingi na hata usiku asiwe peke yake chumbani kwan atawaza sana na pia awe anafanya mazoezi kidogo....ananichukulia mimi ndo kila kitu maana ananieleza kila kitu...................naombeni mnisaidie kumshauri huyu dada jamani..
 
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2007
Messages
16,510
Likes
196
Points
160
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2007
16,510 196 160
bila hata ngwengwe futi sita utaipata tu tena unaweza kutangulia ukamuacha.
Hoja hapo haikuwa kifo, hoja ni huyo mhusika kukubali hali halisi aliyonayo, kwamba maji yameshamwagika. ..the situation is not reversible. Cha kufanya afuatilie ushauri nasaha wa wataalam wa afya ili avute siku.
 
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2007
Messages
20,562
Likes
1,583
Points
280
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2007
20,562 1,583 280
Pamoja na story hii kujirudia rudia - Jaribu kuweka paragraph! kha! Shuleni siku hizi hamfundishwi kuandika insha

Hamna koma, vituo, paragraph, panctuation, e.t.c ! duh! Kweli Elimu yet imebaki chini ya vitovu!
hahaa baba Enock bana..hawafundishwi insha hawa...watoto wa milenium challenge account hawa
 
Mpogoro

Mpogoro

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2008
Messages
369
Likes
5
Points
35
Mpogoro

Mpogoro

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2008
369 5 35
Ana virusi vya UKIMWI...and it ain't a big deal!Maisha yanaendelea...
 
newmzalendo

newmzalendo

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Messages
1,370
Likes
88
Points
145
newmzalendo

newmzalendo

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2009
1,370 88 145
Kaka,huyo dada amekugeuza Emotional Punch Bag,wewe huna qualifications za kumfariji,cha msingi mwambie amche mungu,aende kanisani/msikitini,pia awasiliane na NGO za ukweli(siyo Brifkase NGo's)kuna wa watu wa kumpa ushauri wa jinsi ya kuishi na VVU.
----
Kuna jamaa ameniambia kuna mtaalam wa miti shamba yupo kigoma,ametibu watu VVU,kama vipi mwambie dada ani PM nitampa namba ya huyo jamaa,then yeye ataona jinsi gani atafuatilia tiba mbadala.
 
B

Bongemzito

Senior Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
163
Likes
3
Points
0
B

Bongemzito

Senior Member
Joined Nov 5, 2010
163 3 0
Kaka,huyo dada amekugeuza Emotional Punch Bag,wewe huna qualifications za kumfariji,cha msingi mwambie amche mungu,aende kanisani/msikitini,pia awasiliane na NGO za ukweli(siyo Brifkase NGo's)kuna wa watu wa kumpa ushauri wa jinsi ya kuishi na VVU.
----
Kuna jamaa ameniambia kuna mtaalam wa miti shamba yupo kigoma,ametibu watu VVU,kama vipi mwambie dada ani PM nitampa namba ya huyo jamaa,then yeye ataona jinsi gani atafuatilia tiba mbadala.
Nimeukubali ushauri wako mkuu nitaufanyia kaziila iyo ya huyo mganga nisingenda kumshirikisha...god bless you
 
N

Ndele

Member
Joined
Dec 27, 2008
Messages
82
Likes
0
Points
13
N

Ndele

Member
Joined Dec 27, 2008
82 0 13
mwambie awasiliane na watu wanaoishi na VVU wanaweza kumfariji na kumpatia mawazo mazuri zaidi, kwani watu wanaoishi na VVu wapo wengi sana nchini Tanzania ila wanaishi kwa kificho.
awasiliane na huyu mwana mtandao anaitwa Kaaya 0787447354
 
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Messages
10,218
Likes
878
Points
280
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined May 3, 2009
10,218 878 280
mwambie tamaa iliua fisi na majuto ni mjukuu. visista duu vya siku hivi vinatamaa mno wacha gonjwa liwamalize shenzi kabisa.
 
Forum statistics

Threads 1,235,946
Members 474,901
Posts 29,241,291