Kuvaa vibaya na ukimwi

kilema

Member
Feb 23, 2009
59
0
Nashangaa sana kusikia eti mavazi fulani ya wanawake huchangia kuongeza maambukizi ya hiv. Hivi wanawake kukaa vibaya au kuvaa vibaya inawahusu nini nyie wanaumewa kiafrika?

Mbona wazungu wao sio shida

Mimi naamini mwanamme kuntamani mwanamke kwa vile ameona nyeti au amevaa nguo za kutamanisha ile hali hata mwanake huyo hata hamjui lazma ni chizi. Kwani njaa inauma wakati umeona menu? Kwanini tusiwaze kunywa baada ya kuona rangi ya lager?
 
Ndio maana ukawa "kilema" ! Huwezi kutofautisha kati ya nyeti na Lager au njaa!!!
Teh Teh Tehe!
 
Ina maana nikichora k... Kwenye ukuta nikiweka shimo wewe unaweza kuipeleka hapo kwa sababu ni k..? Au?
 
du hii mada loh
Kilema ni kweli mavazi sometimez yanchangia kuhamasisha ngono
 
Ya kuchora sio halisi! Kwa mwanaume rijali lazima akimuona Bibi(K) lazima machozi yamtoke! Sio mpaka uangalie blue print au upapase wee ndio ashtuke. Kwa ufupi mchagua jembe sio mkulima au vipi?
 
Dugu akthoo nimekuelewa! Kumbe ukiiona 2 ni halali yako! Sasa wewe na jogoo tofauti nini?
 
1st lady we kidume nini?

Kilema mie mwanamke tena wa haja ..najua kabisa mavazi gani nikivaa yanasoma ile language ya kumconvisi kwa mwanaume
pili maumbo ya kizungu na yetu sisi wabongo ni tofauti kabisa ..yale ya wenzetu hayana mvuto /hayatamanishi ..labda wale wenzetu mablack
 
La! Sio hivyo. Isipokuwa babu akimwona bibi au njia ya kumfikisha pale basi huanza kupata hisia lakini unatakiwa kuushinda moyo kwa kile ambacho sio halali yako. Kwa hiyo kutamani sio kutenda.
 
NASHANGAA SANA KUSIKIA ETI MAVAZI FULANI YA WANAWAKE HUCHANGIA KUONGEZA MAAMBUKIZI YA hiv. HIVI WANAWAKE KUKAA VIBAYA AU KUVAA VIBAYA INAWAHUSU NINI NYIE WANAUMEWA KIAFRIKA?
MBONA WAZUNGU WAO SIO SHIDA
MIMI NAAMINI MWANAMME KUNTAMANI MWANAMKE KWA VILE AMEONA NYETI AU AMEVAA NGUO ZA KUTAMANISHA ILE HALI HATA MWANAKE HUYO HATA HAMJUI LAZMA NI CHIZI. KWANI NJAA INAUMA WAKATI UMEONA MENU? KWANINI TUSIWAZE KUNYWA BAADA YA KUONA RANGI YA LAGER?

Upo dar? Umeshawahi kupita mitaa ya kinondoni au kona bar hapo sinza/kijitonyama nyakati za usiku? Kama bado, nakuomba upite leo usiku halafu kesho tuletee majibu!
 
Mwanamke wa kiafrika na mvuto kuliko bwabwaja la kizungu jamani! ukiona tu paja mtinange ushasimama juu! Mitinange ingekuwa inaongea ikisimama kungekuwa na makelele kila kona"nipe nipe nipe" hapo ndo wanawake wa bongo mngejua jinsi mnavyotutesa na vijivazi vyenu
 
Upo dar? Umeshawahi kupita mitaa ya kinondoni au kona bar hapo sinza/kijitonyama nyakati za usiku? Kama bado, nakuomba upite leo usiku halafu kesho tuletee majibu!

nadhani anatucheki akili zetu zikoje ama nakosea kilema weeh
 
Mwanamke wa kiafrika na mvuto kuliko bwabwaja la kizungu jamani! ukiona tu paja mtinange ushasimama juu! Mitinange ingekuwa inaongea ikisimama kungekuwa na makelele kila kona"nipe nipe nipe" hapo ndo wanawake wa bongo mngejua jinsi mnavyotutesa na vijivazi vyenu

hahaha bora wewe umesema
 
Kilema kama wewe ni mwanamke hata humu JF ukiniongelesha mapenzi napata hisia na kitu kinasimama wima balaa sasa iwe kwenye mavazi naona nyonyozi na pajazi si ndo balaa
 
NASHANGAA SANA KUSIKIA ETI MAVAZI FULANI YA WANAWAKE HUCHANGIA KUONGEZA MAAMBUKIZI YA hiv. HIVI WANAWAKE KUKAA VIBAYA AU KUVAA VIBAYA INAWAHUSU NINI NYIE WANAUMEWA KIAFRIKA?
MBONA WAZUNGU WAO SIO SHIDA
MIMI NAAMINI MWANAMME KUNTAMANI MWANAMKE KWA VILE AMEONA NYETI AU AMEVAA NGUO ZA KUTAMANISHA ILE HALI HATA MWANAKE HUYO HATA HAMJUI LAZMA NI CHIZI. KWANI NJAA INAUMA WAKATI UMEONA MENU? KWANINI TUSIWAZE KUNYWA BAADA YA KUONA RANGI YA LAGER?

hili umelitoa wapi? I mean any backing evidence?
 
Back
Top Bottom