Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Aisee wadau, hii mbinu nyie mnaionaje? Zamani nilijua kumridhisha mwanamke (kufika kileleni) ni kazi inayokuhitaji utumie nguvu nyiingi sana,,, kumbe sio hivyo, nimekuwa nikidate na wamama tafauti...
6 Reactions
94 Replies
27K Views
Kuna msichana flani alikuwa msichana wa mshikaji wangu, kipindi yuko na jamaa mimi nilikuwa kama msuruhishi wao ikitokea wakigombana yani jamaa ananiomba nimbembeleze msichana, jamaa yeye hanaa...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Katika harakati za kutafuta maisha unakutana na mwanamke, mnaanzisha mahusiano na hatimaye mnaamua kuishi pamoja kama mke na mume. Llakini kabla hamjaanza kuishi pamoja, mara moja moja ulikuwa...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
-Usiku wa manane jua Kali likawaka hali ambayo sikuizoea hivyo ilinipa mashaka sikutaka tugombane yeye ndo alitaka akawa ananililia eti anataka talaka lile ua letu la upendo likanyauka nilitaka...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Kama nilivyojieleza, wasichana mlioko mikoa hiyo tajwa hapo mpate bahati gani tena ingine!? mtapata kukutana na mimi Live Masharti Kuzingatiwa - Ni Inbox - Uwe smart na charismatic - Kichwani...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Wanaokimbilia kwenye ndoa kwa ajili ya ku-kwichi kwichi kila wakati, wasioe/wasiolewe. Kule kwenye ndoa hakuna ku-kwichi kwichi kila wakati, kuna kunyimwa gemu kutokana na sababu mbalimbali...
5 Reactions
46 Replies
5K Views
Aisee naongea kwa huzuni ambayo ina ubwege kidogo ndani yake. Lakini sitoona haya/ aibu kuizungumza mbele ya hadhira. Kuna binti wa umri wa miaka 19 nilimtongoza miezi kadhaa ilopita (Kama miezi...
13 Reactions
85 Replies
11K Views
Kuna baadhi ya wanawake wao kutoa Papuchi ni kama mzigo sana kwao unakuta wengi wanakimbilia ndoa na wanajitahidi pale mwanzoni tu ndoa ikiwa changa lakini ikifika miezi michache wanaanza kubania...
25 Reactions
69 Replies
12K Views
Sikuhizi kuwa na mchepuko ni kitu cha kawaida sana. Hasa kwa wenye ndoa za mke mmoja. Mchepuko anapata mahitaji yote lakini hajulikani kwenye ukiona. Si jambo la kushangaza unakuta mama...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Ni mtu ambae nimekuwa nae kwenye mahusiano, tukatokea kupendana sana lakini ghafla upepo wa kisulisuli ukatupitia akanipiga kibuti, jamani kuachwa kubaya hasa mtu unayempenda. Nimejaribu kumuomba...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Je, kuna mtu yeyote yule wa kike au wa kiume ambaye anaweza kuwa na mpenzi wake wamependana sana sana sana na wakakaa miezi sita(6) bila ku sex. Je yupo na inawezekana? Upande wangu mimi siwezi...
1 Reactions
61 Replies
9K Views
Natumai mu wazima wana jf, nisichukue mdaa Sana ni takribani mwaka umeishaa toka tuachane NA ex wangu tuliodumu nae kwa miaka mitano . Ni kweli nilimpenda Sana nakunifanya nisione mwanamke...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu Kama heading inavyoeleza hapo juu Mimi ni mwanamke mwenye umri Wa miaka 30 nahitaji mume aliyekua serious kuhusu kuingia kwenye ndoa not jokes Dini yangu ni Muslim, elimu yangu ni...
13 Reactions
47 Replies
5K Views
Kuna msanii alihojiwa na Radio moja wapo hapa nchini akasema yeye huwa anafanya mapenzi kila siku tar 1 hadi tar 30 mkewe akiwepo. sasa mimi sina experience na hili maana najiuliza na nauliza...
2 Reactions
85 Replies
18K Views
Wadau leo nilienda kuswali basi tayari nimejipanga katika safu kusubiri imamu atuongoze kuswali mara kaingia jamaa akasimama pembeni yangu na yeye amekuja kufanya ibada. Lahaula jamaa ananuka...
15 Reactions
50 Replies
6K Views
WanaJF, Nakuja kwenu kutafuta kipenzi cha roho yangu.Natafuta msichana awe girlfriend mwenye sifa hizi: Awe mnene Awe anavutia Awe rangi yoyote. Asizidi 35. Asiwe na magonjwa yaambukiazo (clean)...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Kama tittle inavyo sema....... Nakumbuka nikiwa chuo mwaka wa mwisho nilikua na mpenzi, huyu mpenzi alinipenda sana ila mimi sikua na upendo ule kwa sababu nilikua na wengine wengi. Lakini kama...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Wadau embu ifike mahala tuambiane ukweli. Niliwahi kuwa na mentality ya kijinga kidogo hapo kitambo kwamba ili uwe au uonekane kidume umtandike demu mimba. Na nimewahi shauri watu hapa waache...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Katika maisha ya mtu ana chaguo lake sasa issue inakuja mimi natamani sana nipate watoto shombeshombe waliochanganya damu yaani nizae na binti wa rangi nyingine asiye mtanzania au mwafrika Ndoto...
2 Reactions
157 Replies
25K Views
Back
Top Bottom