Nilishawahi kukutana na hii changamoto katika ubaharia wangu kwa njia ya simu:-
Wewe ni nani
Unataka nini
Ongea kama mwanaume
Nina kublock sasa hivi
kama nyie iliwakuta mliitatua vipi?
Habari zenuwanajamvi
Mimi kwetu tumezaliwa sita na niliwahi kusikia kwamba mwanaume ndiyo anapanga jinsia ya mtoto anayemzaa mana yeye ana genes xy za kiume na za kike wakati mama ana xx za kike...
Wakuu habari za muda huu.
Nitumie fursa hii kuwapa darasa vijana wenzangu wanaotarajia kua na wachumba au pengine wana wachumba tayari na wanapanga kufunga pingu za maisha.
Huu ndio ukweli kuhusu...
Kama kichwa cha habari hapo juu nipo safarini ni mwendo mrefu kweli inmekaa seat moja na binti mmoja mzuri kiwastani sasa tumekuwa tunapiga story za hapa na pale mara akaanza kusinzia nami nkaona...
NIME POST TU
Kwa mujibu wa utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na chuo kikuu cha Ulster, kilichopo Ireland ya kaskazini, Congo ndio nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na wanaume wengi waliojaaliwa...
Jamani ukion wewe kila siku ni kufanya mapenzi na akili yako yote inafikiria mapenzi tu jua wewe ni mgonjwa. Nenda kawaone psychologist wakutibu kabla haujaamua kuishi na mwenza.
Sio kila siku...
Jamani wadau wa JF hasa hili jukwaa la mapenzi, poleni na kazi.
Nimeona niwashirikishe hili swala manake linaniacha njia panda.
jana nilienda salon moja kunyoa nywele hapa Dodoma mjini. Nikiwa...
Katika hali inayoonyesha kuwa Wanaume wa sasa tumeshachoka na Vitendo vya ' Uchepukaji ' na ' Dharau ' nyingi kutoka kwa Wanawake zetu ambao huwa wakianza tu Mahusiano ya Kimapenzi na Wanaume...
Najua niko ambiguous, lakini nilitaka iwe hivyohivyo!
nilishawai kuweka contribution ya post hapa, mmoja akaniomba ile post niiundie thread kwasababu aliona ina mafundisho yanayoweza kuwasaidia...
Kuna wimbo naupenda Sana Lakni jina la wimbo na la muimbaji ndo siwajui plz ebu nisaidieni
Corus fupi ya wimbo wenyew
"Wewe ndo Wang mpendwa ndo wetu honey Honey believe me ' hupendelea kupigwa...
Imetokea Nina mpenzi hafanyi juhudi zozote za kunitafuta hata SMS wala simu mpaka Mimi nimtafute, akiwa nashida au akiwa na shida ndio ananitafuta cha ajabu kanitambulisha kwa marafiki zake wote...
Ni katika kuwakumbusha wale waliosahau na kuwatahadharisha wale tu wasiojua kuwa vijana muwapo vyuoni kuweni makini usiingie katika suala la kufanya mapenzi na kijana mwenzio huku ukijiaminisha...
Fikiria katika ile chopping enzi za usichana uligombania bwana na bidada. Ulishinda wewe ukanyakua bwana. Bidada ali kumind mbaya.
Ulipoenda chuo mliachana na yule mwanume. Sasa umepata...
IGP Simon Sirro >
"Umemuoa Mwanamke ni makubaliano sio Mtoto wako mnakorofishana unampiga unamfundisha nini? wewe ni nani kwake? kama unaona ndoa imekuwa na matatizo achana nae tafuta mwingine...
Wote tumekuwa katika mapenzi. Kwa bahati mbaya mapenzi huwa yanaumiza na watu tunaumia sana hadi baadaye ndio hayo maumive yanatupa mafundisho. Tusaidiane kwa kuandika visa mbalimbali vya...
Habarini wadau.
Nianze kwa kumshukuru Mungu na kuwashukuru wana Jf waliowahi kunipa mawazo na kunitia moyo.
Pia niwashukuru hata wale walionitumia comment za kejeli na kunicheka.Ishu iko hivi...
Nina mwanamke wangu huyu nishawahi leta story yake humu mara kadhaa! Kweli tuna mawasiliano mazuri yanayoridhisha mno.
Tatizo linakuja kama mimi na loose hisia.Nimejiapia kamwe sitomuacha lakini...
Dunia inaenda kasi sana na ujana unazidi tokomea,lakini katika nyakati tofauti hapa duniani ukweli usio pingika katika starehe zote duniani mapenzi ni namba moja, muunganiko wa kiuno na kiuno...
Hi everyone in here,
Kabla ya kukutana na Linda, nilikuwa sina hamu yyte ya kuingia kwenye mahusiano, maana mahusiano yalichonifanya sitakuja kusahau kamwe!
Linda, ni binti mrembo sana, sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.