Natamani neti ingekuwa inazuia ukimwi-jk

Natamani neti ingekuwa inazuia ukimwi-jk

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,918
Reaction score
38,244
MH RAIS KIKWETE alisema majuzi kawe anatamani neti ingekuwa inazuia ukimwi...amesikitika sana kwa jinsi watu wanavyousambaza kwa makusudi akaapa kufa nao sahan moja ...rais kikwete alikuwa katik moja yakampen zake za dar es salaam...na kumtangza bint wake wa CCM mgombea UBUNGE..

Kwa kweli inasikitisha sana kwa jinsi huu ugonjwa unavyoambukizwa yaani natamani neti ingetumika kuzuia kuambukiza ukimwi atleast wengi wangepona...mmmh mh rais sasa ile neti yote ukivaa shugulini kunakuwa na sera tena jamani.....
 
Angekuwa specific neti ya aina gani ile ya kuvulia samaki au neti ya mbu
 
nafikiri neti ya kuvulia samaki, lol!
 
Neti na matundu yote itazuia VVUs kweli?.....a practical joker...next atasema ''natamani magari yangekuwa yanatumia reli kuzuia kutanua''
 
neti na matundu yote itazuia vvus kweli?.....a practical joker...next atasema ''natamani magari yangekuwa yanatumia reli kuzuia kutanua''

aaaahhhh aaaaahhhh aaaahhhhh jamani ,hilo ndilo wanasema chaguo la mungu unaweza ona upeo wake wa akiili..basi tu wameshakamata madaraka uko juu basi na chini tuwasambaratishe...
 
kwani condom hazizuii?? Angerudia tu ule msemo wake tu kama vipi.'' kiherehere chao''
 
Neti na matundu yote itazuia VVUs kweli?.....a practical joker...next atasema ''natamani magari yangekuwa yanatumia reli kuzuia kutanua''

Ameapply ule usemi wa TANZANIA BILA MALARIA INAWEZEKANA kwamaba hata NETI ZIWE ZA MBU AU KUVULIA SAMAKI INAWEZEKANA KUZUIA UKIMWI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom