Inasikitisha: Nimefanya mapenzi na mwanamke mwenye UKIMWI

Jul 12, 2017
84
77
Nimesex na msichana kama mara 5 hivi lakini ndani ya huo mda kila siku naweza kumpima lakini hataki siku moja usiku akawa anakohoa sana nikawa nina mashaka naye sana nikamuuliza vipi? mbona unakohoa sana akajibu labda sababu mafuta, alikuwa mhudumu wa hotel.

Nikamwambia kesho nikupime malaria akakubali kweli ikabidi nifanye hivyo ni kampima hivi ni kamkuta positive kwa kweli nikashikwa na butwa baadaye nikajikanza kiume nikaenda kituo cha afya ni kapima japo ni pre ikawa negative.

Nikawaeleza wakanipa hizi dawa za PEP, yaani post exposure prophylaxis hizi dawa hutumika ndani ya masaa 72 endapo umepita mazingira hatarishi kama hayo huzuia maambukizi mpaka Leo ni week 6 majibu ni negative.

Kwa kweli siwezi ficha nilikuwa na shiriki kizembe mno napinga bao moja kwa dakika moja mpaka mnaachana asubuhi. Je kuna uwezekano wakutoka salama baada ya siku 90.
 
Umesema ulikua unashiriki ngono kizembe?
Mshukuru Mungu kama bado uko negative
 
Mshukuru muumba wake kama utakuwa salama after 90 days!utubu na kusali!
 
Mshukuru MUNGU, ila subiri hizo Siku zako 90 zifike, hapa Kati Kati wakati unasubiri funga na kuomba, next time usichanganywe na makalio.
 
Mzee ni kawaida mbona,,,
Sio kila mwanamme kulala na mwanamke mwathirika atapata HIV .
Ila usijipe moyo tumia PEP vizuri afu kapime tena baada ya miez 3 yaan siku 90 then ukisalimika na hapo nunua crate la bia ntakuja kulipa
 
Ngoma ina stori nyingi sana, kuna simulizi nyingi tu kuhusiana na ngoma. After 90 days nenda kapime tena hospitali tofauti tofauti
 
Dah unatupa presha kk nina promise leo ya kula mzigo sasa dah imenywea kwa huu uzi bro
Ila pole sn
 
Ningelikuwa ni wewe ningeenda kupatana na Muunba wangu tu. Hata kukohoa kote hukushtuka? Kweli, ndo maana tunaambiwa tumelishwa limbwata kumba ukichaa wetu tu. Bado unaendelea naye kwa kuwa umepata PEP? Endelea ila usiache kutayarisha hela ya kukusafirisha
 
Back
Top Bottom