Bado nakupenda sana

Nov 25, 2019
9
2
BADO NAKUPENDA SANA:01 "Ni muda sasa umepita, nimejikaza lakini nashindwa kuendelea, ukweli ni kwamba BADO NAKUPENDA SANA, bado Nakupenda Hansy, kuna muda najuta kwanini nilikufahamu, lakini nikikumbuka uzuri wako nasahau yote uliyofanya kwangu nakukumbuka mapenzi yetu kipindi bado yapo moto moto.

Hansy najua huko uliko unafurahia Mpenzi mpya, labda anakazi nzuri zaidi yangu, mzuri zaidi yangu, anajuwa mapenzi kushinda mimi, lakini ni kwanini umeamua kuniacha nateseka peke yangu Hansy, nimejitahidi sana kukufurahisha lakini wapi, nimekufanyia mazuri mengi lakini bado umeniumiza, maumivu haya yananitesa mimi Hansy, kuna wakati nayafurahia kwasababu yananikumbusha uwepo na uzuri wako lakini pindi zijapo.

Kumbukumbu hizi nakonda kwa maumivu nakubaki nikilia Kama mtoto mdogo. Ukweli ni kwamba BADO NAKUPENDA nimeshindwa tengeneza mahusiano mengine nakujikuta nabadili Wanaume kila leo, nitaendelea kuwa hivi mpaka lini na ninashindwa kuziacha hisia hizi ziende, zimening'ang'ania mno, kumbukumbu ulizoniachia ni kumbukumbu tamu na za kuumiza sijui nani atanipenda na kunisahaulisha haya ninayopitia Nakupenda sana Hansy.

BADO NAKUPENDA mno hakuna mwanaume atatokea aje kuchukua nafasi yako endapo mimi naendelea kuishi, najikaza lakini bado nimejaribu kufanya kila njia Kama kuifungia namba yako eti nikihisi ipo siku utanipigia, wakati najuwa wazi huwezi nipigia tena kwani ulipo unafuraha sanaa, nimejaribu kukufungia WhatsApp (WhatsApp block) eti nisione chochote from me lakini hujali

Story zangu zngne znapatika Namba 0754520438 Kwa sh 3000 na vitabu vyangu ni sh 10000 ambavyo ni chozi LA mwanamke na maisha Bila wazazi na hadith zingine nyingi zipo katika page yangu ya Instagram Agathadastorywriter
Screenshot_20191129-151914.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom