Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote. Mwanaume ninaemuhitaji...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwanaume mwenye uhitaji wa kuwa na mke naomba aje private tuzungumze ili tujenge maisha, mimi ni mwajiriwa serikalini sector ya afya, umri 28 karibu sana, kama hauko na malengo ya mke usjisumbue...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Natafuta mke atakaekubaliana na hali yangu nina shida ya nguvu za kiume na uume mdogo, umri wangu miaka 48. Mwenye kujali tuwasiliane kwa email hii mbilimbi4@gmail.com au PM
1 Reactions
2 Replies
1K Views
I am a christian young man in my late twenties. I am looking for a girlfriend with future aims in life if everything goes well with us. Minimum education: diploma Age: at least 24 and no more...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
I' wish nipate man atakae nipenda na promise nitampenda sana.
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Mimi ni kijana wa miaka 25, sina kazi wala sina kibarua, elimu yangu ni degree ni mwalimu wa arts ila serikali imekataa kuniajiri ni mfupi kupitiliza na mweusi tena mweusi kweli kweli. Nahitaji...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Upuuzi
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hello JF, Mimi ni kijana wa miaka 31, nina elimu ya chuo kikuu na nimeajiriwa na kampuni moja hapa jijini Dsm. Ni mrefu wa wastani, mnene wa wastani, rangi maji ya kunde na mkristo. Natafuta...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
nipo single natafuta wa kuanzia nae tarehe 14.2.2013 mpaka milele awe mwanaume mkristo kuanzia miaka 38 na kuendelea kama yupo tayari anipm msg zote zitajibiwa
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hi wana jamii, Mimi ni kijana niliyejiajiri, elimu yangu chuo kikuu, mkristo, umri wangu miaka 27. Natafuta rafiki wa kike aliye Moshi/Arusha umri 18 - 24, dini yeyote, ila awe mchangamfu. Awe...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Natafuta mchumba mstaarabu na anayaejielewa ambaye baadae baaada ya kufahamiana na kujuana tabia na misimamo tukiridhiana tuoane. Vigezo ni tabia njema, sichagui umri wala kabila wala dini, mimi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nishapata [emoji41][emoji41][emoji125][emoji125]
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau nashindwa Kupata Jawabu Kama Mapenzi NI Hisia Za Mtu Binafsi Kwanini Vijana Wakianzisha Mahusiano Na Wanawake wakubwa Inakuwa Gumzo?:rolleyes::mad::mad: Lakini Vibabu Inakuwa Kawaida Tyuu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa Msichana/Mwanamke yeyote alietayari basi aweke Coment yake hapa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi wakuu, Nimejisikia mzigo moyoni kuwashirikisha wale wote ambao tunatafuta wenzi wetu wa maisha ni vema tukashiriki katika semina ya MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE ya KUPANDA NA KUVUNA Tarehe...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau Nahitaji mchumba wa kike aliyetayari kuishi maisha ya ndoa mida mfupi baada ya kujuana (angalau miezi miwili ya kujuana). kikubwa awe na maadili ya kiislamu, umri angalau isizidi miaka 24...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu Wana jf, Natafuta marafiki( male and female) wa kushare nao ideas za kimaisha especially mambo ya kimaendeleo, Mm ni msichana (25yrs) Elimu yangu bachelor degree Mjasiriamali Naamin...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanabodi kheri ya mwaka Mpya 2017!!!!! Napenda kuwatangazia kuwa mwaka huu mungu akinijalia nitatoka katika maisha ya useja na kuanza maisha ya ndoa ila Sina mchumba hivyo naleta tangazo langu...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari zenu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, niko chuo kikuu kimojawapo hapa Tanzania, natafuta msichana ambaye yuko serious tukajuana kiundani ikiwezekana hadi kucheck afya then tukawa...
0 Reactions
4 Replies
788 Views
Back
Top Bottom